Hii movie kali sana
13 hours Secret soldier
Kuna movie niliiona sikuikariri jina; kuna soldiers kama wa3 wanapewa mission wakamuue kiongozi wa waasi Jangwani, baada ya kufika mission ikiendelea mmoja akafa kwa mabomu ambayo yapo pale jangwani yaliangushwa kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe yakajifukia na mchanga wa jangwani (ukikanyaga bahati mbaya linalipuka)
sasa huyu starring na mwenzie katika pitapita jangwani mwenzie akakanyaga bomu likalipuka na yy hatua moja mbele akakanyaga bomu , ikabidi asitoe mguu akanya mawasiliano ya rescue unit ambayo ilikuja kufika 24 hours later muda wote huo akiwa kakanyaga palepale usiku kucha anang'!atwa na mbwa mwitu,
baada ya waokozi kuja ikaja kugundulika hakukanyaga bomu ila ameteseka bure tu[emoji2]
hakuna mtu kaiona hii jamani anipe jina.