Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Nilishaandika Uzi huu sikuizi millitary movies za kipuuzi sana kuna hii 12 hours wanaisifia bure,kuna ile nyingine jamaa anakimbia na kipenzi yaani upuuzi mtupu..Warhouse takataka zamani muvi za kivita zilikua muvi bana Lone survivor,Furry,Na hiyo saving private ryan watu wanadedi mpaka unadata
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Movie hiyo nimeiangalia zaid ya mala 50 halafu niliyoiangalia zaid na zaid ni bad boys 1, ikifwatiwa na salt.... Na nyingine nyingi unipe bapa la konyagi unifungie mapazia, kuwe na mchemsho.... Halafu ni kapensi kadogooo na top 🍺🍻😂😂😂😂 nakuwa ndani sitaonekana nje kabsaaa
 
Born to kill
na we were soldiers ndo best kwangu na nyingine ya michael dudi nimesahau jina lake!
 
Back
Top Bottom