Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,906
- 150,216
umenikumbusha huyu mtu kwenye Showdown in Little TokyoDolph Lundgren alikuwa balaa mule
umenikumbusha huyu mtu kwenye Showdown in Little TokyoDolph Lundgren alikuwa balaa mule
usicheke ile movie iliisha kiboya sana
kama sisimizi ..Always movie kuhusu Vietnam war, wavietnam hawaishi na muda wote ni hatari
daaaah sijui watakuja kutudanganya na part 2Sijui jamaa walituchukuliaje
Mkuu umenihamasisha kwelikweli
Ngoja niipakue
Weka trela hapaHii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.
Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
daaaah sijui watakuja kutudanganya na part 2
umenikumbusha huyu mtu kwenye Showdown in Little Tokyo
samurai mmoja hatari sanaHumo kuna mtu wa kuitwa Hidetoshi Tagawa, roho mbaya sana
Wewe ulikulia kijijini, Sisi wa mjini huwezi kutuambia kitu zaidi ya Silvester Stallon.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Endeleza Mkuu..Hii movie nimeiona zamani hebu nijaribu kukumbuka leo...
Utamu wa hii movie kwanza ni story yake ambayo ni kisa cha kweli kilichotokea katika vita kuu ya pili ya dunia.
Story iko hivi, wanajeshi wa Marekani wakiwa vitani wanapigwa kipondo cha kufa mtu hali iliyopelekea wengi wao kupoteza maisha.
Sasa baadhi ya miili inarejeshwa kwenda kuzikwa Marekani.
Mama mmoja anapewa habari kuwa watoto wake watatu wamefariki katika uwanja wa kivita, mama analia sana lakini anawaambia watoto wake walikuwa wanne, hivyo kuna mmoja atakuwa aksalia kwenye uwanja wa kivita.
Basi kinatumwa kikosi kwa ajili ya kwenda kumtafuta mtoto wa nne wa yule mama, ambaye ni private ryan.
Wanamkuta private ryan katika uwanja wa vita anakiwasha kweri kweriiii (in mwendazake's voice) katika hali ya kushangaza private ryan anagoma kurudi nyumbani
Balaa sasa lipo hapo...
alafu kuna ile nyingine yake ya operation scorpionHumo kuna mtu wa kuitwa Hidetoshi Tagawa, roho mbaya sana
Endeleza Mkuu..
Hii movie ni kama upo kwenye uwanja wa vita kweli ukiwa unaiangaliadaaaaaah kweli na hii wazee wa riffle walikuwa wanakichafua haswa
"there is no mercy for coward"If one is get killed you take his rifle and shoot....and if you get killed another get the rifle and shoot.....
madirector walikuwa wako serious sanaHii movie ni kama upo kwenye uwanja wa vita kweli ukiwa unaiangalia
Bunduki wanazo tumia na uwezo wao wa kushot on target ndio vilinifurahisha sana kwenye hii moviemadirector walikuwa wako serious sana
Endelea epsode ya pili.wengine hatuna muda wa kuiangali.Hii movie nimeiona zamani hebu nijaribu kukumbuka leo...