Ongeza danger close nayo ni hatari ila hii 1917 naona wadau wanaitaka nilliichek naona mara chapter 1 mpaka 10 sielewi ovyo vitaSaving Private Rayn inatambulika zaidi katika zile dakika 15 za mwanzo wa film
Dk hizo zinatajwa kuwa ndio scene bora kabisa ya kivita kuwahi kutengenezwa
Top 5 yangu ni
We were solider
Lone survivor
Saving private Rayn
Hacksaw Ridge
Black Hawn Down
We bwana weFury
Ongeza danger close nayo ni hatari ila hii 1917 naona wadau wanaitaka nilliichek naona mara chapter 1 mpaka 10 sielewi ovyo vita
Wewe ndo uko sawa kabisa sema ungeongezea na 13 hours the secret soldier of BhengazSaving Private Rayn inatambulika zaidi katika zile dakika 15 za mwanzo wa film
Dk hizo zinatajwa kuwa ndio scene bora kabisa ya kivita kuwahi kutengenezwa
Top 5 yangu ni
We were solider
Lone survivor
Saving private Rayn
Hacksaw Ridge
Black Hawn Down
Huyu dada kwenye hii movie ninamkubali sana yaani haswa ile style yake ya nywele..huyu mwanadada nilianza kumfahamu kwenye movie moja inaitwa Aeon flux ya 2004.twende mbele turudi nyuma madmax fury road ni bonge moja la filamu haswa kwa wale tunaopenda amsha amsha mwanzo mwisho..Mad Max fury road is a my best movie then others
Behind the enemy line ... You nailed it[emoji625][emoji625][emoji625]Behind enemy line by OWEN WILLISON,,,ans WAR BUS
Lone Survivor nilianza kusoma stori yake wikipedia alafu ndio nikaenda kuicheki.Aisee hii ni kati ya muvi kali sana kwangu