Afadhali hata kama wangekuwa wanavimbiwa! Tatizo wanamatumbo kama ile "blackhole" kwenye galaxy! Hawashibi, hawatosheki, hawashibi?!Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo.
Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu wengi wakitaka UWAZI na USHIRIKISHWAJI kwa wananchi wauone mkataba.
Taifa hili halina utaratibu huo, halijawahi na halitathubutu kufanya hilo. Taifa lililojaa viongozi WABINFSI, WEZI na VIBARAKA wabeba maslahi ya nchi kwa ajili ya MATUMBO yao hawatakubali hili.
Hapa tunaiangalia Tanzania Nchi yetu acha mambo ya Kisichana
Ya kutajataja MabwanaHahaha mambo ya kischana yakoje
Ya kutajataja Mabwana
Watu wana masilahi yao tofauti tofauti kwenye siasa sasa sijui hao watu wataongonishwa na nini?Hili jambo ni la Watanzania wote bila kujali Itikadi za Vyama vyao
Inakuwa ni Okoa Jahazi Movement.
Babu achana na mbowe hapa mada ni kuhusu mikataba kuwekwa wazi raia nao wShirikishwe*TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!
Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.
Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?
Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Tunahitaji kuuona na kuhusishwa na si maneno ya kwenye vipaza sauti.Job kashasema mradi una manufaa sana na JPM alipotoshwa.
Kuna lingine?
Imeisha hiyoooooTunahitaji kuuona na kuhusishwa na si maneno ya kwenye vipaza sauti.