juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,041
Mzee Mwanakijiji,una maoni gani na hii power crisis tangu Jk aingie madarakani?unafikiri ni uzembe tu,matokeo ya uzembe fulani huko nyuma,economic sabotage(mnyukano wa mafisadi),kutengeneza mazingira ya ufisadi present na ujao au nini?nauliza hivi kwa kuwa siamini kama wasomi walioko serikalini wanaweza kuendesha mambo kijinga hivi!hainiingii akilini kama huu ni uzembe tu!
Last edited by a moderator: