Uzi maalum: Visa vilivyowahi kukutokea ukipata tiba kwa mganga wa kienyeji

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Wakuu habari,pasi na shaka wengi wetu tumewahi kuhudhuria kwa mganga/waganga wa kienyeji kwa shida mbalimbali za miili yetu na maisha kwa ujumla.Nishee nanyi visa/madhira niliyowahi kuvisikia toka kwa watu wangu wa karibu ktk kutafuta uzima kwa wataalamu hawa;

1. Mzee jirani alipelekwa baharini usiku wa saa8 ili kuaguliwa,huko alikutana na watu wengi wakiwa na waganga wao,hakuna aliekuwa bize kumshangaa mwenzake,gari za kifahari zilikuwepo,kila mtu alikuwa na vifaa vyake vya kazi,mwenye mbuzi,kondoo,kuku,vyungu n.k,
Tiba ya mzee ilianza,mtaalamu alichanganya dawa kwenye chungu chenye moto,ubani na madawa ya marashi yanayopalia puani,sharti alilopewa mzee ni aingie Baharini mpaka maji yafike usawa wa shingo yake ndio atupe kile chungu kwa mbele na asigeuke nyuma.

Shida mwanaharamu,mzee alijitwisha chungu,hatua moja baada ya nyingine akielekea kwenye maji ya shingo(size),huku akipaliwa na moshi wa dawa na joto kali la mvuke kutoka kwenye chungu alichojitwisha kichwani.

Hakuna masharti mepesi kwa mganga,alipofikia maji size ya kifua chake,mawimbi yalianza kumpiga usoni na kumfanya ashindwe kupumua vizuri,hivyo alikitupa chungu kilichokua na dawa kabla ya kufikia maji ya shingo na kuharibu tiba ile. Mganga alimfokea sana na kumlaumu kwa kuharibu tiba. Ilibidi ipangwe siku nyingine kwa ajili ya kutekeleza tiba ile

2. Kisa cha pili,Mzee safari hii hakurudi kule kwa awali,ila masharti hayakuwahi kuwa mepesi,mganga wa pili alimtaka mzee akaoge barabarani,barabara ya lami kwenye pilikapilika za watu na biashara. Dawa iliandaliwa kwenye beseni ikiwa kwenye hali ya kimiminika.

Sharti likijirudia la kujitwisha(rejea mganga #1),safari hii akitokea nyumbani kwake mpk barabarani,kama ujuavyo beseni likijaa maji,ile kujitwisha beseni likamwaga maji tiba ikaharibika kwani hakutakiwa kumwaga hata tone mpk afike barabarani ambapo angetakiwa kuoga akiwa uchi wa mnyama.

Mganga alirudia kutengeneza dawa nyingine,safari hii alimtwisha mwenyewe ili tiba isiharibe,mzee alijitahidi kutembea kwa umakini na hakumwaga hata tone la maji mpk akafika barabarani.

Note:hakuna raia anaemwona ila yeye anawaona kwa jinsi alivyotengenezwa na mtaalamu kishirikina)

Kufika amefika,ishu ikawa atavuaje nguo aoge na yeye anaona kama watu wote wanamuangalia,mbaya zaidi sio mbali na nyumbani kwake,baada ya tafakuri dawa hii ilimwagwa na mzee akarudi nyumbani kupumzika
Visa ni vingi,hatuwezi kuvimaliza kwa andiko moja.

Ongezea kisa chochote ulichowahi kukutana nacho au kukisikia kwenye kutafuta tiba/uzima,mali au shida yoyote iliyokupeleka au kumpeleka jamaa yako kwa mganga wa kienyeji

................
Sheikh23
 
Mimi hapa niliwahi kwenda kwa Mganga kwa shida Fulani
Mganga akanipa Dawa Kisha akaniambia nikitoka hapa nisishikane mkono na mtu yeyote Wala kugusana Bega kutwa nzima

Basi safari ikaanza chaajabu ile natoka pale nje nikajikuta nampelekea mkono jamaa ambaye alikuwa msaidizi wa yule Mganga bahati nzuri jamaa akanikwepa

Kimbembe nilipofika nyumbani, nakumbuka ilikua jioni nikiwa gheto najiandaa kwenda kuoga
Kuna jamaa niliyekua nalala naye nakumbuka siku hiyo alikuja na rafiki yake akanitambulisha chaajabu yule jamaa akawa ananiletea mkono ili tusalimiane

Nikawa nampelekea nikakumbuka ghafla nikaurudisha ingawa nilikua nishamgusa, aisee sitasahau hii kitu
Uchawi upo pia waganga wa kweli wapo.
 
Kuna mwaka mmoja 2003 nadhani, alikuja mganga mmoja toka Congo ,alifikia hotel inaitwa Triz Motel pale mbezi beach( YA MAREHEMU KIMAMBI ) Inasemekana yule mganga walimleta kina J. Kapuya kwajili ya ishu zao ,

Palikuwa na watu wengi maarufu wanaenda pale kwa huyo mganga ikiwemo wasanii,
Sasa bwana namimi kipindi hiko Kuna ishu ilikuwa inanitatiza ,kwaiyo kwa mujibu wa mganga ilipaswa nisafishwe nyota Kwanza kabla ya mambo mengine, Mi nikamkubaria mganga,

Basi akaniandikia vifaa ambavyo vinaitajika kuvileta, masufulia makubwa mawili mapya kabisa, na hela za sarafu za zamani, nikamuachia Laki moja ya vifaa na ya kazi yangu,
Basi akinipangia siku nzuri kwangu kufanyiwa kazi ni Alhamis,
Basi ikafika alhamisi saa nne nikaenda ,kufika pale ndani kulikuwa na msanii Kanumba na dada mmoja hivi nae ni maarufu Hadi leo ,na yule mama Abduli muigizaji,
Basi walivyotoka wao ikiwa zamu yangu kuingia kwa mganga ,kufika akaniambia ushafika boss,haya kaa hapo subiri niwashe moto dakika sifuri, basi bwana akawasha moto akabandika maji kwenye ile sufuria mpya ,

Baada ya dakika kadhaa maji yakachemka haswaa, akayamimina kwenye ndoo, akatumbukiza na zile sarafu za zamani mnemne,
Tukaenda sehemu maalum hili aniogeshe sasa maji Yale yenye dawa,

Kufika kule pahala pakuogea, Sasa bwana kabla yakuanza kuniogesha kwanza nikatia mkono kwenye ndoo ,maana maji pamoja nakuwa kayapooza,hila yalikuwa yanafuka moshi balaa, kutia mkono aisee nikakuta maji Ni ya moto mno,

Nikamuambia Kaka haya maji Bado Ni ya moto Sanaa yatanibabua mwili kabisa Ni hatari,
Eti akasema hakuna wewe tu muoga,haya unayaona ya moto,lakini kwa uwezo wa mizimu nikikumwagia tu hayaunguzi"

Nikamuambia hapana tuyapooze tu mkuu, Basi akayapooza lakini kiroho upande,

UNAJUA HAWA waganga ukiwaendekeza wanaweza wakakuua hivihivi aisee,

sikuile jamaa Kama angenimwagia Yale maji huenda saizi naitwa marehemu au ni mlemavu fulani!!!
 
Vipi alikusaidia lakini?
 
umenikumbusha clip flan mganga kamnyoa jamaa bonge la kipara alaf akaanza kumpaka unga huku anamzibua makofi ya kufa mtu alimtwanga hasa Yan kile kichwa lazma kilivimba
 
Kweli Mkuu,hupaswi kuwakubalia kila jambo,tafakuri ni muhimu sana
 
achana na waganga kabs yaan , siku nmeenda kwa witch doctor kwa shida fulani hivi, nkamkuta anamuhudumia mteja wa kike, ambaye nae uyo alienda kwa ishu za biashara, nlpofika nlikarbishwa kilingen, huku mteja nae yupo humo, umo ndani nikijarbu kuibia ibia macho kwa mteja yule nione akifanywa nn, chaajabu kuna msaidiz wa mganga alkuja na vipisi vya wembe na kumkabiz bos wake, bila uoga yule dada aliambiwa avue nguo zoootee ili achanjwe daaa nlistukaa kwa aibu mpka mganga akahisi mm nmeshangaa kusikia hivo, na akanambia ''kijana kama unaona kero toka nje subir uyu dada atoke naww utarudi",. yaan yule dada wala hakuwa na ofu kuonyesha kuwa hakua mgeni kwa kaz izo...tangu siku hiyo niliamn kwel waganga wanaona mengii na wana siri za wengi na nyingii..namm ulipofika muda wangu nilihudumiwa, lkn baada ya kutoka hapo nkaona uganga ni upuuzi tuu, nkatupilia mbali madaw yake, na kuupuuzia mbal, mpka leo stak habar zao, wala kukanyaga vilingeni maana ushirikina ni utumwa....japo ushirikina ni mbaya, lkn kufuata dini za wageni ni utumwa mbaya kulko....Tuamni Muumba yupo, na tufnye kazi kwa bidii, tuzd kupendana ili chuki cha kurogana na kuarbiana maisha zifie mbali....ushirikina si mzur, waganga si wazuri..Tutafte pesa
 
Kuna mwaka mmoja 2003 nadhani, alikuja mganga mmoja toka Congo ,alifikia hotel inaitwa Triz Motel pale mbezi beach( YA MAREHEMU KIMAMBI ) Inasemekana yule mganga walimleta kina J. Kapuya kwajili ya ishu zao ,

Palikuwa na watu wengi maarufu wanaenda pale kwa huyo mganga ikiwemo wasanii,
Sasa bwana namimi kipindi hiko Kuna ishu ilikuwa inanitatiza ,kwaiyo kwa mujibu wa mganga ilipaswa nisafishwe nyota Kwanza kabla ya mambo mengine, Mi nikamkubaria mganga,

Basi akaniandikia vifaa ambavyo vinaitajika kuvileta, masufulia makubwa mawili mapya kabisa, na hela za sarafu za zamani, nikamuachia Laki moja ya vifaa na ya kazi yangu,
Basi akinipangia siku nzuri kwangu kufanyiwa kazi ni Alhamis,
Basi ikafika alhamisi saa nne nikaenda ,kufika pale ndani kulikuwa na msanii Kanumba na dada mmoja hivi nae ni maarufu Hadi leo ,na yule mama Abduli muigizaji,
Basi walivyotoka wao ikiwa zamu yangu kuingia kwa mganga ,kufika akaniambia ushafika boss,haya kaa hapo subiri niwashe moto dakika sifuri, basi bwana akawasha moto akabandika maji kwenye ile sufuria mpya ,

Baada ya dakika kadhaa maji yakachemka haswaa, akayamimina kwenye ndoo, akatumbukiza na zile sarafu za zamani mnemne,
Tukaenda sehemu maalum hili aniogeshe sasa maji Yale yenye dawa,

Kufika kule pahala pakuogea, Sasa bwana kabla yakuanza kuniogesha kwanza nikatia mkono kwenye ndoo ,maana maji pamoja nakuwa kayapooza,hila yalikuwa yanafuka moshi balaa, kutia mkono aisee nikakuta maji Ni ya moto mno,

Nikamuambia Kaka haya maji Bado Ni ya moto Sanaa yatanibabua mwili kabisa Ni hatari,
Eti akasema hakuna wewe tu muoga,haya unayaona ya moto,lakini kwa uwezo wa mizimu nikikumwagia tu hayaunguzi"

Nikamuambia hapana tuyapooze tu mkuu, Basi akayapooza lakini kiroho upande,

UNAJUA HAWA waganga ukiwaendekeza wanaweza wakakuua hivihivi aisee,

sikuile jamaa Kama angenimwagia Yale maji huenda saizi naitwa marehemu au ni mlemavu fulani!!!
Kanumba huyu huyu mkuu?
 
Back
Top Bottom