Elections 2020 Hakuna mbunge wa upinzani 2020 atayerudi bungeni

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,445
2,000
Huo ni uchaguzi mkuu kumbuka kuwa watu wana vinyongo vyao mioyoni mwao na hao wanao ilinda ccm watakuwa wachache sana

In God we trust
Unachekesha....!! Kwanini unajipa moyo namna hii jamaa..!!? Haya mliyasema hivihivi mwaka ule wa uchaguz mkaangukia pua..naona mnarudia tena..hamchoki
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,445
2,000
Sisi Mbeya Sugu atarudi,ila sijui mtatuua wangapi.
Mbeya kwa sasa Sugu tumemchoka..aende atafute kazi nyingine...kazi ni mayowe ya ku rap ndio anayaweza..baaasi...siasa za ukweli haziwezi...na wala katika kipindi chote hakuna alichofanya hapa...uozo mtupu..kama kuna lolote kafanya mtu aseme hapa..
 
sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
3,976
2,000
itakuwa ni zamu ya wapiga kura kuunga mkono juhudi za mh rais. Kuna haja gani ya kuwachagua wabunge halafu baadae wahame kisha uitishwe uchaguzi tena? Gharama
 
nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
4,710
2,000
Na hii ndo mbinu wanayoitumia ccm kuwahadaa watu kuwa upinzani hawatarudi hata wakipata kura nyingi. Lengo ni kuwakatisha tamaa wapiga kura ambao wangeenda kuuchagua upinzani. Wakati huo huo wao huwahamasisha wanachama wao kwenda kupiga kura.

Watanzania jitokezeni kwa wingi kupiga kura. Msidanganywe hakuna wa kuwaibia kura mkiwa na nguvu moja
Wapinzani watarudi wengi huenda kuliko hata wa 2015,usiogope vitisho,wewe jiandae kupiga kura tu badala ya kufuata propaganda za ccm kuwa hawatarudi.

Ukiwa dhaifu lazima uibiwe lkn nakumbuka 2010 kuna wabunge walitangazwa baada ya wananchi kukinukisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sophist

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
4,032
2,000
one needs political parties conduct their inward assessment to underscore their impending failures come 2020. When political leaders invest the monthly subventions in their bottomless stomachs, what else would you expect of their post 2020 political field performances?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,830
2,000
Ni ngumu kuamini lakini 2020 hakuna mbunge yeyote wa upinzani atayefanikiwa kurudi bungeni ........

nasema hivyo kutokana na mazingira ya kisiasa ninayoyaona hivi sasa nchini sidhani kama 2020 kama kuna mbunge wa upinzani atayefanikiwa kurejeaSent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nitafurahi sana nikiona Bunge la 2020 hadi la 2025 lote liwe ni la Wabunge wa CCM tupu ili Sera zao nzuri ziweze Kuharakisha Maendeleo ya Watanzania chini ya Rais Dkt. Magufuli kuliko kuwa na Wabunge wa Upinzani ambao Kazi yao ni Kugoma, Kuandamana, Kususa, Kupiga Majungu na Kuendeleza Uswahili na Propaganda za Kipuuzi zisizo hata na Afya na Ustawi wa nchi yetu hii. Namalizia kwa Kusisitiza kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nikiliona Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania la mwaka 2020 lina Wabunge wote wa Chama changu cha Mapinduzi nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa sana na isiyo na Kifani. Wapinzani wakatafute nchi yao nyingine ila siyo Tanzania kwani watatuchelewesha katika Maendeleo tunayoyataka / tunayoyahitaji.
 
Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,015
2,000
Wapinzani watarudi wengi huenda kuliko hata wa 2015,usiogope vitisho,wewe jiandae kupiga kura tu badala ya kufuata propaganda za ccm kuwa hawatarudi.

Ukiwa dhaifu lazima uibiwe lkn nakumbuka 2010 kuna wabunge walitangazwa baada ya wananchi kukinukisha

Sent using Jamii Forums mobile app
umenikumbusha mwanza 2010. nchi yote ilisimama majeshi yote yakatazama jiji la mwanza lakini upinzani ukabeba jiji. namtahadhalisha huyu msukuma. kama jk na mkapa walishindwa kupora jiji hili 2010 wakijua kuwa ICC ipo huyu kosa atakolifanya na kiburi chake kitamcost yeye na waandamizi wake. na hakuna mtz atakaye mtetea. ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,382
2,000
Mbeya kwa sasa Sugu tumemchoka..aende atafute kazi nyingine...kazi ni mayowe ya ku rap ndio anayaweza..baaasi...siasa za ukweli haziwezi...na wala katika kipindi chote hakuna alichofanya hapa...uozo mtupu..kama kuna lolote kafanya mtu aseme hapa..
Unakaa Mbeya sehemu gani? Umekaa na katecno hapo Lumumba unanibania pua hapa.
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
3,764
2,000
Wajinga,wapumbafu,waoga pekee wanaozuia mawazo mbadala kutamalaki. Hata katika nchi za kifalme upo utaratiba wa kutoa mawazo mbadala.Tuache ushamba,acheni demokrasia ishamiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abul Aaliyah77

JF-Expert Member
Mar 9, 2019
572
500
Akil za moshi wa mwenge hz
Binafsi nitafurahi sana nikiona Bunge la 2020 hadi la 2025 lote liwe ni la Wabunge wa CCM tupu ili Sera zao nzuri ziweze Kuharakisha Maendeleo ya Watanzania chini ya Rais Dkt. Magufuli kuliko kuwa na Wabunge wa Upinzani ambao Kazi yao ni Kugoma, Kuandamana, Kususa, Kupiga Majungu na Kuendeleza Uswahili na Propaganda za Kipuuzi zisizo hata na Afya na Ustawi wa nchi yetu hii. Namalizia kwa Kusisitiza kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nikiliona Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania la mwaka 2020 lina Wabunge wote wa Chama changu cha Mapinduzi nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa sana na isiyo na Kifani. Wapinzani wakatafute nchi yao nyingine ila siyo Tanzania kwani watatuchelewesha katika Maendeleo tunayoyataka / tunayoyahitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
5,696
2,000
Wanyarwanda wanapewa mikopo..wanafunzi Watanzania wananyimwa..hakuna kijana atakaepigia kura CCM..labda wale wazazi wao wanafaidika moja kwa moja...Na misukule
 
2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,173
2,000
Ni ngumu kuamini lakini 2020 hakuna mbunge yeyote wa upinzani atayefanikiwa kurudi bungeni ........

nasema hivyo kutokana na mazingira ya kisiasa ninayoyaona hivi sasa nchini sidhani kama 2020 kama kuna mbunge wa upinzani atayefanikiwa kurejeaSent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Wapinzani watarejea lazima. Hata kama ni wapinzani pandikizi. In order To make the world believe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom