Mimi ni CCM lakini nayakataa Madai ya Msukuma kwamba Bungeni hakuna Wabunge wa Mchongo. Mchongo unaanzia Kwenye Kupita bila Kupingwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Nimemsikia mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku aka Msukuma akisema wao wote mle Bungeni ni Wabunge wa kuchaguliwa waliopatikana kihalali 2020

Msukuma akasisitiza Kuwa Bungeni hakuna Mbunge wa Mchongo

Mimi Johnthebaptist mpiga kura wa Kawe na nyumbani kwetu Iringa mjini namkatalia kabisa Msukuma

Mungu wa Mbinguni awabariki!

Usiogope bwashee ukweli anaujua pamoja na kwamba hana shule kichwani...
Endelea na mambo mengine
 
Hivi msukuma kwa elimu yake ya ngumbaro ni mtu wa kumsikiliza kweli?
Huyu apuuzwe kwani hata dunia hajui inakokwenda , yeye ni mtu wa blah-blah tu.
Ni vyema ktk katiba kuwe na kipengele cha elimu ili mbunge awe na japo diploma au degree.
 
Nimemsikia mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku aka Msukuma akisema wao wote mle Bungeni ni Wabunge wa kuchaguliwa waliopatikana kihalali 2020

Msukuma akasisitiza Kuwa Bungeni hakuna Mbunge wa Mchongo

Mimi Johnthebaptist mpiga kura wa Kawe na nyumbani kwetu Iringa mjini namkatalia kabisa Msukuma

Mungu wa Mbinguni awabariki!

View attachment 2712392
Dish leo limetulia
 
Hata huyo Mbunge wako wa Kawe hakumshinda Halima Mdee na hilo unalifahamu sana. In fact 2020 hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi. Yule jamaa yenu aliharibu sana.
 
Back
Top Bottom