Hakuna mawasiliano ya kiroho kati ya wafu

Mwenyezi Mungu ametupa akili na ufahamu. Tuitafute Elimu.
Tusiingize mambo ya individual woga hapa.
Kama una woga wa imani, acha intellectuals watoe mondo tuelimike.
 
Ni nn hua kinatokea Mshana Jr
Unakuta unaota unaongea na mtu aliewah kufa anakuambia ufanye kitu flan kitafanikiwa na ukikifanya kinafanikiwa kwel
Wat happening
Mtu akiishakufa hawezi kutokea tena hata ndotoni. Hao ni mashetani wanakuingiza mkenge

2 KOR. 11:14 -15

14Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. 15Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.
 
ndugu mshanar!!!hyo kazi ya mochwari imekufanya uwe mwendawazimu na kuwa na theory au nadharia mbali mbali za kufikirika!!!!hasa ukizitazama maiti usoni unajenga taswira fulani hv ambayo haina uhalisia!!!bado kifo ni fumbo ambalo hadi sasa mwanadamu ameshindwa kulifumbua!!!!!maneno ya dini bado ni ngonjera zisizo tosheleza hisia zetu!!!ikitokea siku mtu akafa akafufuka tukamuuliza maswali alikokua tutapata picha angalau!!!!hata yesu hakutoa picha halisi ya nini kilijiri huko!angekuwepo ningemuuliza mengi!!!
 
Asante kwa kuchangia.. Hata mimi mwanzoni nilikuwa na mawazo kama haya yako mpaka nilipotoka nje ya box... Ni ngumu sana kumweleweshq mtu ladha ya soda kama hajawahi kuinywa.... Ni ngumu zaidi kama ukimwekea aonje lakini hataki huku akiendelea kushikilia msimamo wake

kutoka nje ya box?mshanar inamaana kuna maisha mengine zaidi ya haya?hebu niambie 2021 raisi wa tz atakuwa nani?hebu kachungulie uje uniambie!!!!naamini hutokasirika kwa homework hiyo!!!!!mambo ya ajabu haya!!!
 
Sijui umetafsiri vipi hilo neno lakini naamini umelichanganya na kutoa utabiri
kutoka nje ya box?mshanar inamaana kuna maisha mengine zaidi ya haya?hebu niambie 2021 raisi wa tz atakuwa nani?hebu kachungulie uje uniambie!!!!naamini hutokasirika kwa homework hiyo!!!!!mambo ya ajabu haya!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom