Hakuna mawasiliano ya kiroho kati ya wafu

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,223
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,223 2,000
Niliwahi kufika Kaole Bagamoyo kule kwenye makumbusho... Pale kuna kaburi moja maarufu sana... Wamezikwa watu wawili kwa pamoja mke na mume ambao walipendana sana kiasi kwamba walikufa pamoja...
Roho ndio nishati ya mwili, yaani ndio pumzi ya uzima kwenye mwili... Bila roho mwili ni mfu na haukawii kuharibika... Kati ya hivi vitu viwili, roho na mwili kuna kitu cha tatu ambacho ni nafsi ama utambulisho... Nafsi ni matokeo ya muunganiko wa roho na mwili... Nafsi ndio software ya uhai inayobeba muktadha na miamala yote kwenye mwili wenye roho kuanzia, kuweka kumbukumbu, kupanga jambo, kutoa maamuzi, hisia nk nk.... Nje ya nafsi kwenye utenganisho wa mwili na roho hakuna kinachoendelea
Kwenye vitabu vya kiimani, kwenye kipengele cha mahusiano na ndoa hasa kwa wakristo.. Kuna maneno yanasema... NITAKUPENDA HADI KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA....
Mapenzi ni hisia... Hisia huzaliwa, hukua, huzeeka na hatimaye hukoma kuwa yaani hufa.. Yaani hisia zikifa wawili hutengana na kuachana... Lakini kama bado wako hai kuna wakati hukumbukana, ndio maana baadhi hurudiana...
Hii ni tofauti kabisa kwenye KIFO... Mwisho wa mawasiliano yenu kihisia ama kindugu ni kifo... Roho zinapofikia ukomo wake mwilini na kusema hakuna mawasiliano tena... Kila moja huchukua njia yake kwenye vast galaxy... Ulimwengu mpana usio na kikomo....
Hii inathibitishwa pia kwenye mambo ya kiimani kwamba hata huko mbinguni, peponi au jehanum hakuna featuring wala mawasiliano yoyote... Kila roho inasimama yenyewe
Codes zote za kifamilia, kirafiki, ndugu na mahusiano mengine yoyote yale hukatika na kukoma kuwa pale ufu unapotamalaki... Reincarnation pia inatoa ithibati zinazofanana na hizo... Simulizi zote za reincarnation sio kati ya roho na roho bali kati ya mwili wenye roho na roho na kinyume chake...
Simulizi za ndoto za kutokewa na marehemu ni kati ya mwili wenye roho na roho... Hakuna hata siku moja mtu alishawahi kutokewa ndotoni na wapendwa wote wawili kwa wakati mmoja mfano wazazi na wakakwambia kwa pamoja huko waliko kukoje ama kuna nini...
Mara nyingi kama si zote utatokewa na mmoja tuu tena katika vague image kwakuwa yeye si mtu kamili tena... Kiubinadamu tu na katika bali ya kuoneshana upendo mtaahidiana kupendana milele lakini kiuhalisia ni kudanganyana live kwakuwa mwisho wa mawasiliano yenu ni KIFO... Baada ya hapo hakuna kitu tena....
 
Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
9,115
Points
2,000
Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
9,115 2,000

4 hours no reply Why,

Asante sana mkuu kwa Elimu yako kwa hiyo unataka kusema kwamba hao waliokufa na kuzikwa pamoja hapo bagamoyo ni kazi bure hakuna muungano wowote wa kiroho na Nafsi zao huko waendako?

Pili Kwa Nini Upendo/Mapenzi/Kujuana ni kwa Dunia tu na sio mbinguni kule kwenye upande wa kiroho mkuu ina maana Ukifa Memory yako yote inakuwa Erase(Futika) na unaenda kuanza New chapter nieleweshe hapo kidogo.
 
Mada ilikuwa inafanyiwa screening.... Siku hizi ukipost intelligence mada haiendi hewani moja kwa moja
Ishu za hisia, fikra na mawazo ni mambo ya kimwili katika dunia iliyobeba mwili uharibikao.. Mwili wenye kikomo cha kuwa... Baada ya hapo roho ikishaacha mwili huenda zake into the vast world... Ikiwa wakati huo ni energy huru... Ambayo imeshavuka zile boundaries za vikomo vya kidunia
Memory haifutiki, history yako yote hubaki na nafsi isiyopo tena... Lakini kukiwa na alama ulizoacha
 
Ok sawa mkuu
 
N

nsasa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
229
Points
500
N

nsasa

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
229 500
Ni nn hua kinatokea Mshana Jr
Unakuta unaota unaongea na mtu aliewah kufa anakuambia ufanye kitu flan kitafanikiwa na ukikifanya kinafanikiwa kwel
Wat happening
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,223
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,223 2,000
Ni nn hua kinatokea Mshana Jr
Unakuta unaota unaongea na mtu aliewah kufa anakuambia ufanye kitu flan kitafanikiwa na ukikifanya kinafanikiwa kwel
Wat happening
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,223
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,223 2,000
Ni nn hua kinatokea Mshana Jr
Unakuta unaota unaongea na mtu aliewah kufa anakuambia ufanye kitu flan kitafanikiwa na ukikifanya kinafanikiwa kwel
Wat happening
Naona sijaeleweka vema ni kwamba mawasiliano ni kati ya mfu na aliye hai na si kati ya mfu na mfu kuna mada nimekuwekea hapo hebu isome
 
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
473
Points
250
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
473 250
Niliwahi kufika Kaole Bagamoyo kule kwenye makumbusho... Pale kuna kaburi moja maarufu sana... Wamezikwa watu wawili kwa pamoja mke na mume ambao walipendana sana kiasi kwamba walikufa pamoja...
Roho ndio nishati ya mwili, yaani ndio pumzi ya uzima kwenye mwili... Bila roho mwili ni mfu na haukawii kuharibika... Kati ya hivi vitu viwili, roho na mwili kuna kitu cha tatu ambacho ni nafsi ama utambulisho... Nafsi ni matokeo ya muunganiko wa roho na mwili... Nafsi ndio software ya uhai inayobeba muktadha na miamala yote kwenye mwili wenye roho kuanzia, kuweka kumbukumbu, kupanga jambo, kutoa maamuzi, hisia nk nk.... Nje ya nafsi kwenye utenganisho wa mwili na roho hakuna kinachoendelea
Kwenye vitabu vya kiimani, kwenye kipengele cha mahusiano na ndoa hasa kwa wakristo.. Kuna maneno yanasema... NITAKUPENDA HADI KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA....
Mapenzi ni hisia... Hisia huzaliwa, hukua, huzeeka na hatimaye hukoma kuwa yaani hufa.. Yaani hisia zikifa wawili hutengana na kuachana... Lakini kama bado wako hai kuna wakati hukumbukana, ndio maana baadhi hurudiana...
Hii ni tofauti kabisa kwenye KIFO... Mwisho wa mawasiliano yenu kihisia ama kindugu ni kifo... Roho zinapofikia ukomo wake mwilini na kusema hakuna mawasiliano tena... Kila moja huchukua njia yake kwenye vast galaxy... Ulimwengu mpana usio na kikomo....
Hii inathibitishwa pia kwenye mambo ya kiimani kwamba hata huko mbinguni, peponi au jehanum hakuna featuring wala mawasiliano yoyote... Kila roho inasimama yenyewe
Codes zote za kifamilia, kirafiki, ndugu na mahusiano mengine yoyote yale hukatika na kukoma kuwa pale ufu unapotamalaki... Reincarnation pia inatoa ithibati zinazofanana na hizo... Simulizi zote za reincarnation sio kati ya roho na roho bali kati ya mwili wenye roho na roho na kinyume chake...
Simulizi za ndoto za kutokewa na marehemu ni kati ya mwili wenye roho na roho... Hakuna hata siku moja mtu alishawahi kutokewa ndotoni na wapendwa wote wawili kwa wakati mmoja mfano wazazi na wakakwambia kwa pamoja huko waliko kukoje ama kuna nini...
Mara nyingi kama si zote utatokewa na mmoja tuu tena katika vague image kwakuwa yeye si mtu kamili tena... Kiubinadamu tu na katika bali ya kuoneshana upendo mtaahidiana kupendana milele lakini kiuhalisia ni kudanganyana live kwakuwa mwisho wa mawasiliano yenu ni KIFO... Baada ya hapo hakuna kitu tena....
Mshana Leo umeongea kiislamu...
Sorry UMESILIMU NINI??
 
Hakuna ulichoongea Ila ni ukweli mtuuu.
BIG UP
 
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
1,964
Points
2,000
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
1,964 2,000
Ni kweli wafu wanawasiliana na watu walio hai?

Kama hawawasiliani inakuaje mtu aliyefiwa na mpwendwa wake unakuta anahama ile nyumba au chumba wakichokuwa wanalala wote..?

Wafu wanaweza kutuzuru sisi binadamu tulio hai au sisi ndio tunaweza kuwazuru wao kwa sababu sisi tunamwili na roho
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,223
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,223 2,000
Ni kweli wafu wanawasiliana na watu walio hai?

Kama hawawasiliani inakuaje mtu aliyefiwa na mpwendwa wake unakuta anahama ile nyumba au chumba wakichokuwa wanalala wote..?

Wafu wanaweza kutuzuru sisi binadamu tulio hai au sisi ndio tunaweza kuwazuru wao kwa sababu sisi tunamwili na roho
Wana mawasiliano na walio hai lakini si wenyewe kwa wenyewe
 
Aiba

Aiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
566
Points
1,000
Aiba

Aiba

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
566 1,000
Roho ikitoka zinatulia au zinakuwa inazunguka ndani ya uwo ulimwengu na vp mtu anayefanya meditation ni roho inatoka nje ya mwili au nafsi inauacha mwili
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,223
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,223 2,000
Roho ikitoka zinatulia au zinakuwa inazunguka ndani ya uwo ulimwengu na vp mtu anayefanya meditation ni roho inatoka nje ya mwili au nafsi inauacha mwili
Kuna partial leave na total leave
Partial leave ni ile inayofanywa na meditators na wale wanaofanya astral projection
Total leave ni ile roho inapotengana na mwili kwa maana ya kifo.... Katika hili ndio inakuja dhana ya mapepo jehanum na paradiso
Daima roho isiyotulia kaburini hugeuka pepo na kutangatabga huko na huko.... Huku roho iliyotulia hugeuka dormant energy
 
Lovery

Lovery

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Messages
1,186
Points
2,000
Lovery

Lovery

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2014
1,186 2,000
Nilisimuliwa na mtu alipewa dawa ya nusu kaputi, anadai akiwa hajitambui kimwili alienda sehemu kuna shimo likafunguka akazama huko, akakutana na watu kama hapa duniani ila wapo busy sana kila mmoja na mambo yake, aliulizwa na mmoja wa wakazi wa kule kwamba je umefata nini huku na wewe wakati muda wako bado?

Je mambo kama haya yanakaaje kiroho?
 
Forum statistics

Threads 1,293,769
Members 497,735
Posts 31,152,863
Top