Mambo ya kimungu hayawezi kujibiwa na akili za kibinadamu .heri wanao amini bila kuona
Lakini ni wakati huohuo Mungu huyo huyo anatuasa tukaitafute elimu...
Tuna ruhusa ya kuingilia maisha ya Mungu. Yohana 4:24 "Mungu ni Roho, na watu wanaomwabudu lazima wamwabudu kwa Roho na Ukweli" Ubatizo wa kiroho unakuhusu mkuu. Find your Trueself cause that is the Getaway to the Spirit.Elimu ya kiroho na mwili kifo ni fumbo la imani .hivyo kuendelea kuoji maisha baada ya kifo .ni kuingilia maisha ya mungu
Na maandiko ya sema yatako kubaliwa duniani na Mimi niyakubali .tatizo mwanadamu kimaumbile ana wasi wasi
[emoji108]Sio wasiwasi bali ni kukosa ukamilifu...
Kikomo Cha mujukumu ni lazima ndio maana kwa mungu hakuna Babu wa Bibi
Na mfano mtu akibatizwa leo au akafunga ndoa Leo anakuwa sawa na walio na sifa hiyo hatakama ni zaidi ya miaka 100
Roho ipo tuu na haendi popote kwani haina nafasi. Imeumbwa kwa mfano wa mungu hivyo hainekani kwa macho ya mwili, haisikiki kwa masikio ya mwili bali kwa jicho la kiroho. Third Eye.Hakuna doctor anae weza kukwambia roho imeenda wapi?
Wafu hukiona kifo masaa machache kabla hakijawafika.... Wengine hukiona hata siku chache kabla.... Hasa kama kuna kitu wanawiwa katika maisha yao
Roho iko moja tuu, bali nafsi ziko nyingi, wakati wa kifo kunatokea uchakavu na ulegevu wa nafsi ambayo iko imberede kweny severa layers of bodies from outside (Physica body )to most inside (Spirit), the more outer bodies zinavyo give up awareness inshift towards next inside body, most of our inside bodies zinaingiliana, kuanzia Astra level ambayo ndio body awareness yetu inaturiaga huko wakati tumelala usingizi ili our physical body ipate pumzika na mapurukushani ya kutwa na mwili upate nguvu. Kumbuka Astra body ndio bado inakuwa na access na traces za kumbukumbu, kwa sababu Mzee alikuwa guilt na kifo kilimkaribia, na mtoto alikuwa na chuki, huyu akiwa usingizini na Mzee akiwa near death huku aki focus kuomba msamaha, wakikutana huko subconciously na kuombana msamaha na kusameheana.
Kumbuka nafsi ni Inajengeka pale kunapokuwa kano la kumtumikia mungu, to be indenier of doing God's wishes, unajenga ubinafsi au na kujitenga, kujiona, kwaasilia we are Ones with God but nafsi gives another quality ya utengano, then tunajiona, tunatamani kupata, kujisikia, hamu, lakini tuna endup kupata vyauongo ( not real ) kwa hiyo hatuliziki. We feel like something is missing and therefore we became not perfect na mara nyingi watu hufa wakiwa sio wakamilifu. Wakati tukiwa hai tunajenga mazoea fulani ambayo yakuwa makubwa sana (Strong Personaliies) hizi haziachiki kiurahisi, tunakuwz attached to them, vitu kama Mali, Ndugu, Wake, Waume, Beliefs, Visasi, ahadi na Powers za aina mbalimbali matokeo yake tunasita kuyayusha nafsi tunakwama kwenye higher planes of lifes (non complete body of life hawatuwezi rudi wala kwenda) mpaka kile kilichokukwamisha nacho kiangamie. Na hii inaexplain haya masimulizi, sio normal, inategemea umekwamia wapi wengine wanateseka sana kwa bado na inner bodies na some they feel ni mateso nature hairuhusu kuzaliwa tena kwenye hali kama hiyo kwani utaleta kituko au miujiza isiyotarajiwa. Na ikitokea kwa bahati mbaya ndio unasikia mtoto kazaliwa kuzangumza then akafa. Iliuzaliwe tena yaani kuingia kwenye mimba lazima uwe free from past life personalities. Ndio maana vitabu vya dini vinatamka watoto wachanga na hawana dhambi kama malaika wa mungu akili zao hazija pevuka kuanza kuwajengea mazoea.YOU will be greeted by your deceased loved ones when you die, according to these people who claim to have briefly passed over to the afterlife.
One person, Virginie R, from France, said that she was greeted by her little brother who did of leukaemia when he was 12.
Without giving away how Virginie suffered her near death experience (NDE), she said: “I was advancing towards a white light, at the end of this Passing into or through a tunnel, which was very bright.
My little brother Philippe, who died 12 years before, took me by the hand and was smiling to me while taking me in front of the light. A strong, but not nasty voice, asked me why I wanted to die.
“I answered that the absence of my little brother was too hard for me, and that my mother felt resentful towards me because of Philippe's death.”
Another person, William C who was almost fatally injured in a car crash, gave a similar account, saying: “I looked in front of me and saw my deceased grandmother. She was standing just in front of the 'White Light.'
“The light radiated warmth, light, love and anything I needed to know. I also noticed other figures off to the left of me.
“They seemed peaceful in pairs holding each other and swaying with the music. My grandmother delivered the choice to me. I could stay with her or go back to my life.
“She told me that if I stayed, everything would be OK. She said that if I went back to my body, it would be the most challenging experience I would ever endure.”
Lauren K, who was hit by a car, said: “I left my body and went into an aura of all white light! It was totally warm and Peaceful, pure Love emanating through me and around me.
At that moment, my Grandfather, who had passed away earlier that year, appeared to me and we embraced. ‘My darling, you have a decision to make.’
“I knew the decision was to stay or to come back. At that moment, I had an opportunity to view my life.”
Msinikumbushe siku niliyouguza ndugu yangu wa kiume dakika chache kabla hajafariki aliniita akataka kuniambia kitu sasa kulikuwa na watu wengi nikamwambia baadae mwisho akakata kauri nikawaza sijui alikuwa anataka kuniambia nini?[emoji24][emoji24]
Kila kitu kwenye maisha ni kujifunza hata siku ya kufa tunapaswa kujifunza tunakufaje, roho inatokaje na mengineyo. Thanks Mshana kwa mafundisho yanayofikirisha
Umesema kwamba 'nafsi' ni matokeo ya muunganiko wa roho na mwili. Swali: roho inapotengana na mwili (mwili kuharibika), nafsi nayo inatoweka?
Hii reincarnation ipo kweli au ndio bado Mungu ameweka confidential maisha yetu ya kiroho.Hahaaa labda umpate kwenye reincarnation lakini sio mbinguni
Umesema kwamba 'nafsi' ni matokeo ya muunganiko wa roho na mwili. Swali: roho inapotengana na mwili (mwili kuharibika), nafsi nayo inatoweka?
Kwa hiyo roho ikisha jitenga na mwili inakuwa kama roboti tu! Roho ni nini basi?