Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,829
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Tupe stori kamili
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Tunaweza kujifunza ukweli wa jambo hili kupitia simulizi la "Tajiri na Lazaro"Wana mawasiliano na walio hai lakini si wenyewe kwa wenyewe
Asante Mshana!Kaka ulipotea kidogo.. Karibu tena.. Tunayahitaji mno maarifa yako
Naomba ufafanuzi kama hutojaliAsante Mshana!
Biblia iko wazi juu ya marehemu, wafu.
Simulizi la Tajiri na Lazaro pia simulizi la Yesu mlimani alipowachukuwa Petro na Yohane kwenda kusali yanaeleza ukweli wa roho, ndugu zetu marehemu.
Sisi tulio bado dunia hatujui ni hali gani walizimo ndugu zetu marehemu baada ya kufa. Ingawa, hatahivyo, tunaweza kujua hali walizomo ndugu zetu waliokufa kwa njia ya kuwaombea marehemu.
Kuhusu "Kuwaombea Marehemu" hili ni jambo wazi ambalo unaweza kulifanya kujua ukweli wake.
Kadiri ya masimulizi niliyoyabainisha hapo juu; sio sahihi kuelewa kwamba roho za waliokufa haziwasiliani.
Asante Sana Kaka. Mshana Jr. Tunaomba ufafanuzi kidogo wa zile ibada / misa za kuwaombea marehemu .... Tuelewe zaidi.
Kuhusu simulizi la Tajiri na Lazaro. Wote baada ya kufa, Tajiri na Lazaro; simulizi linasema, Tajiri alimwona Lazaro akifarijiwa na Ibrahim.Naomba ufafanuzi kama hutojali
Kuhusu simulizi la Tajiri na Lazaro. Wote baada ya kufa, Tajiri na Lazaro; simulizi linasema, Tajiri alimwona Lazaro akifarijiwa na Ibrahim.
Nae Tajiri kwa mateso aliyokuwa anayapata, anamwomba Ibrahim amuruhusu aje duniani kuwambia ndugu zake.
Katika simulizi hili la Tajiri na Lazaro pamoja na mafundisho msingi pia latueleza roho zinaishi hivyo zinawasiliana.
Ukweli hapa ni hivi: inawezekanaje kitu au vitu vinachoishi visiwasiliane?
Kwa kweli kama tunawasiliana ni kwa sababu tunaishi.
Tunapofikiri juu ya wafu, ndugu zetu marehemu tunafikri juu ya nini? Mwili? Au Roho?
Kama tunafikiri juu ya mwili au miili, ukishatengana na roho kwa kweli, hauwezi au haiwezi kuwasiliana yenyewe.
Lakini kama tunafikiri ndugu zetu marehemu ni roho, na hivi roho haifi, inaishi; vipi kitu au vitu vinavyoishi visiwasiliane?
Ufahamu wangu juu ya ndugu zetu marehemu, wafu ni kuwa, wao ni Roho. Kuhusu roho yenyewe haifi, inaishi daima.
Sasa, katika mazingira haya, ambayo kimsingi ndio ukweli wenyewe inawezekanaje roho zisiwasiliane zenyewe kwa zenyewe? Au hata na ndugu zao ambao bado wapo safarini kuelekea kuunganika!
Asantee kwa hii elimu asee una madini mazito,. Kama hutojali tafadhali nieleweshe ndoto hii "mara nyingi huota nikiwa katika mazingira ya maji na kupambana na mnyama Mamba" hali hii imenifanya kuwa na tahadhali sana na hiki kiumbe.
Mara zote huwa nashinda lakini Kaka inaogopesha yaani unaota ila unatamani ndoto iishe uamke imagine kitu kama hicho. Hunitokea mara nyingi naweza sema haipiti miezi miwili bila kuota hiki kitu na mara nyingi ni kwenye maji ila ardhini sina kumbukumbu vizuri nachokumbuka niliwahi ota napigana na Paka mara akageuka kuwa Mwanamke mreefu sana mwenye nguvu pale alinizidi nguvu mimi ni mkristo niliita kwa jina la Yesu ndipo akatokea mtu akanishika mkono na pale pale kile kiumbe kilizidiwa na kupotea. Aseee nilishtuka nikaogopa sana.Asante inakutokea mara ngapi? Unashinda ama unashindwa? Je ni majini tu au na ardhini pia?
Tofauti zipi ndugu Mshana Jr unakusudia hapo.Lakini nadhani kuna tofauti kubwa kati ya hawa wanadamu walioishi kipindi cha 'Bible' na hawa kina sisi...
Mara zote huwa nashinda lakini Kaka inaogopesha yaani unaota ila unatamani ndoto iishe uamke imagine kitu kama hicho. Hunitokea mara nyingi naweza sema haipiti miezi miwili bila kuota hiki kitu na mara nyingi ni kwenye maji ila ardhini sina kumbukumbu vizuri nachokumbuka niliwahi ota napigana na Paka mara akageuka kuwa Mwanamke mreefu sana mwenye nguvu pale alinizidi nguvu mimi ni mkristo niliita kwa jina la Yesu ndipo akatokea mtu akanishika mkono na pale pale kile kiumbe kilizidiwa na kupotea. Aseee nilishtuka nikaogopa sana.
Kimsingi hiki unachosema kimesemwa vilevile kwenye biblia.Hawa kwa sehemu kubwa walikuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu.. Yani waliweza kuongea na Mungu... Sisi kuna kitu hakipo sawa kwenye hili
Duh asantee! kweli hii ni elimu pana je, kuna athari yoyote upande wangu?Ni vita ya kiroho ya upande mmoja mamba na maji... Dunia ina pande nane.. Kuna upande huo unaopambana nao uko dhaifu na unajaribiwa kupitia hapo