InafahamikaMaridhiano ni Prove kwamba hawakushinda kwa 98%
Kwa maoni yangu,The obvious truth, CCM wanajua kuwa turufu ya maridhiano iko mikononi mwa Chadema na sio chama kingine chochote kati ya vyama 18.
Mbwembwe zote za kina Wasira, Kihongosi, Msajili wa vyama, na vyama shikizi kusema eti, wanaweza kuridhiana bila Chadema kuwepo, zimekuwa kazi bure.
Bila Chadema kushiriki itakuwa kazi bure, yataitwa maridhiano feki, 'cosmetic reconciliation'.
Wanajisahuhulisha kuwa mawazo ya CHADEMA ni mawazo ya wananchi, CHADEMA iko na wananchi wengi kuliko CCM, Huo ndio ukweli.The obvious truth, CCM wanajua kuwa turufu ya maridhiano iko mikononi mwa Chadema na sio chama kingine chochote kati ya vyama 18.
Mbwembwe zote za kina Wasira, Kihongosi, Msajili wa vyama, na vyama shikizi kusema eti, wanaweza kuridhiana bila Chadema kuwepo, zimekuwa kazi bure.
Bila Chadema kushiriki itakuwa kazi bure, yataitwa maridhiano feki, 'cosmetic reconciliation'.
Wanachama wa vyama vya siasa ndio wananchi wenyewe ukiwatoa unabaki na watoto.Kwa maoni yangu,
kwenye maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania vyama vya siasa na misimamo yao useless si muhimu hata kidogo.
Ni muhimu sana,
waTanzania wote wakafanya maridhiano yao ya hiyari bila kuzingatia wanaharakati uchwara wala wanasiasa wasio na agenda na hiyo itasaidia sana kuyafikia malengo ya kupata katiba mpya ya waTanzania wote kwa ufanisi zaidi na bila vikwazo vyovyote vile.
Nadhani vyama vya siasa viachwe na porojo zao, lakini pia kuna vyama vingine vimehifadhi vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao ni maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu.
So, vyama vya siasa visiwe sehemu ya maridhiano ispokua, wananchi waje pamoja kwenye maridhiano hayo ya hiyari kama waTanzania na si vinginevyo.
Nadhani itapendeza zaidi π
napendekeza waende kwenye maridhiano kama waTanzania huru na sio kwa kuzingatia misimamo useless ya vyama vyao na itapendeza zaidi πWanachama wa vyama vya siasa ndio wananchi wenyewe ukiwatoa unabaki na watoto.
Kabla ya uchaguzi Chadema walishauri kuwe na maridhiano CCM kwa uroho wa madaraka wakakataa, leo wamesahau nini kwanza kuna vyama 18.napendekeza waende kwenye maridhiano kama waTanzania huru na sio kwa kuzingatia misimamo useless ya vyama vyao na itapendeza zaidi π
Yeriko Nyerere jifunze siasa,Kwa maoni yangu,
kwenye maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania vyama vya siasa na misimamo yao useless si muhimu hata kidogo.
Ni muhimu sana,
waTanzania wote wakafanya maridhiano yao ya hiyari bila kuzingatia wanaharakati uchwara wala wanasiasa wasio na agenda na hiyo itasaidia sana kuyafikia malengo ya kupata katiba mpya ya waTanzania wote kwa ufanisi zaidi na bila vikwazo vyovyote vile.
Nadhani vyama vya siasa viachwe na porojo zao, lakini pia kuna vyama vingine vimehifadhi vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao ni maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu.
So, vyama vya siasa visiwe sehemu ya maridhiano ispokua, wananchi waje pamoja kwenye maridhiano hayo ya hiyari kama waTanzania na si vinginevyo.
Nadhani itapendeza zaidi π
Maridhiano yatasimamiwa na akina nani ?!napendekeza waende kwenye maridhiano kama waTanzania huru na sio kwa kuzingatia misimamo useless ya vyama vyao na itapendeza zaidi π
Du! kumbe Tlaatlaah ndiye Yericko NyerereYeriko Nyerere jifunze siasa,
Maridhiano ya kweli ni faida kwa CCM, Na hili maridhiano yawe ya kweli yasiongozwe na CCM, Yenyewe iweke njia na kutengeneza mjumuisho wa makundi yote ya kijamii ambayo yatakuwa yanawakilisha uhalisia wa Utanzania.
CHADEMA wana sehemu muhimu ya maridhiano kwa kuwa wao ni waathirika wakubwa wa mfumo kandamizi wa CCM ambapo kwa nyakati kadhaa CCM imetumia vyombo vya ulinzi na usalama kuionea CHADEMA Sababu ya nguvu iliyonayo kwa wananchi vitendo kama kuiba uchaguzi, kufunga na hata kupoteza viongozi wake kama Ben Saanane,Mdude Nyagali ,Mzee Kibao na hata Kijana mdogo Soka.
Lakini kitendo cha Mwenyekiti wa CHADEMA kushambuliwa kwa risasi waziwazi na watu wasiojulikana kwenye makazi ya viongozi palipo na camera, ambapo mpaka sasa waliofanya hivyo hawajajulikana.
Mambo hayo yote wananchi bila kujali vyama vyetu hatupendwi nayo.
hakuna haja ya ya kuacha mjadala mahususi uliopo mezani na kugeukia kupotoshana gentleman na itapendeza zaidi πDu! kumbe Tlaatlaah ndiye Yericko Nyerere
Kupotosha nini be specific.hakuna haja ya ya kuacha mjadala mahususi uliopo mezani na kugeukia kupotoshana gentleman na itapendeza zaidi π
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote, ni vizuri yakasimamiwa na wananchi wenyewe wa Tanzania, regardless ya vyama vyao vya siasa, dini au makabila yao πMaridhiano yatasimamiwa na akina nani ?!
Umesema misimamo ya vyama ni useless !
kuacha mjadala mahususi mezani na kujadili majina ya eti sijui huyu au yule ni nani, ni kupotoshana na kujaribu kukimbia au kupindisha mjadala mahususi mezani πKupotosha nini be specific.
Gentleman,Yeriko Nyerere jifunze siasa,
Maridhiano ya kweli ni faida kwa CCM, Na hili maridhiano yawe ya kweli yasiongozwe na CCM, Yenyewe iweke njia na kutengeneza mjumuisho wa makundi yote ya kijamii ambayo yatakuwa yanawakilisha uhalisia wa Utanzania.
CHADEMA wana sehemu muhimu ya maridhiano kwa kuwa wao ni waathirika wakubwa wa mfumo kandamizi wa CCM ambapo kwa nyakati kadhaa CCM imetumia vyombo vya ulinzi na usalama kuionea CHADEMA Sababu ya nguvu iliyonayo kwa wananchi vitendo kama kuiba uchaguzi, kufunga na hata kupoteza viongozi wake kama Ben Saanane,Mdude Nyagali ,Mzee Kibao na hata Kijana mdogo Soka.
Lakini kitendo cha Mwenyekiti wa CHADEMA kushambuliwa kwa risasi waziwazi na watu wasiojulikana kwenye makazi ya viongozi palipo na camera, ambapo mpaka sasa waliofanya hivyo hawajajulikana.
Mambo hayo yote wananchi bila kujali vyama vyetu hatupendwi nayo.
hakuna mTanzania anaweza kukubali ushauri wa vyama vya siasa vinavyotumiwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kujaribu kufanya uasi na Mapinduzi dhidi ya serikali sikivu ya CCM.Kabla ya uchaguzi Chadema walishauri kuwe na maridhiano CCM kwa uroho wa madaraka wakakataa, leo wamesahau nini kwanza kuna vyama 18.