Jestina JF-Expert Member Jan 6, 2011 4,831 1,710 Oct 30, 2011 Thread starter #2 wakati wa kukatakata v itunguu lol
K kisukari JF-Expert Member Jul 16, 2010 4,604 4,110 Oct 30, 2011 #7 ukiwa karibu na moto ukikata vitunguu,hautoki machozi
Cantalisia JF-Expert Member Sep 26, 2011 5,222 2,929 Oct 31, 2011 #9 Haaa haaa haaa du nimeipenda hii zinauzwa wapi!
Vinci JF-Expert Member Jul 6, 2009 2,638 668 Oct 31, 2011 #10 asieee...hapo ni geto, masela wanajiandalia msosi..
Mwita25 JF-Expert Member Apr 15, 2011 3,831 1,165 Nov 1, 2011 #12 Kila siku kitu hichohicho tu. Unatujazia server bure tu hapa.
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,653 52,443 Nov 1, 2011 #13 Najuwa wasichana hampendi ile kitunguu inavyoingia kwenye macho, kazi kwenu, sisi akina mama macho yameshakomaa inabidi tuzoee hivyo hivyo.
Najuwa wasichana hampendi ile kitunguu inavyoingia kwenye macho, kazi kwenu, sisi akina mama macho yameshakomaa inabidi tuzoee hivyo hivyo.