Hakuna kitu kizuri kama familia nzuri

Hakuna kitu kizuri kama familia nzuri

Saa

Saaana! Kimbembe mnapokutana wote mmeshaota meno 32 na mmeshaonja ndimu na chumvi. Hata hivyo bado tutiane moyo na kusaidiana mawazo ya kuupata ubavu wako! Maombi, utulivu.... vinahusika sana
Aisse hii ngumu kumeza jamani sasa sisi ambao tumeham hama sana tushapotezana na marafiki wetu wa utototni itakuwaje jamani?????
 
Natamani niwe na familia nzuri na ya kuigwa na wengine.
Mungu nisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu haombwi mkate akatoa kitumbua mkuu,tama yako ni nzuri sana endelea kuomba itimizwe bila kusahau na wewe unaplay part ya kuja kuwa mshiriki bora kabisa wa familia yako

Hakuna kitu kizuri kama familia nzuri mkuu
 
ya
Unakuta mtu anafamilia ila mtaani anaishi kama bachelor
yaani mkuu ndo hao ambao mimi huwa nawangalia siwamalizi sijui wanaona familia inachosha?sasa kama ndo hivyo sijui alioa au kuolewa kwa ajili gani?ndo hapo unapokuja kukubali kuwa akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Tukumbuke KILA MTU ANAPENDA FURAHA MAISHANI. Na usidhani kwamba kila familia inaweza kukupa faraja katika wakati wako mgumu. Wanaume tumekuwa wahanga sana katika hili hasa pale mambo yanapoyumba mpaka kipato kupungua. Utajuta.

Unapoona familia sio nzuri na haina furaha, kuna vitu vingi sn katikati, hasa vinavyowahusu baba na mama wa familia husika.

Kukosa urafiki, wivu, tamaa, kununa nuna, visasi, hasira, mwanamke kutaka kumcontrol mwanaume, kufichaficha siri, dharau, etc, ni kati ya mambo mengine mengi yanayosababisha familia nyingi kukosa furaha.

Kuna wanawake wengine (sio wote), wanashindwa kucontrol ulimi wao, hasa TONE, wanapoongea na wanaume, na muda mwingine kushindwa kutofautisha tone anayotumia akiwa anaongea na mume wake na housegal. Hili huleta magomvi mengi sn.

Wanaume hatupendi kuwa controlled na mwanamke, so inapoonekana kuna chembechembe hizo, lazima tutaonesha ubabe wa kiaina. So amani itatoweka kimtindo.

Uko sawa kabisa mkuu

Na naelewa hilo na ndio maana pale mwanzoni kabisa nimesema kuna wanaume na wanawake ambao wanapuuzia familia zao.

Lakini utambue kuwa kuamua kuishi maisha ya kibabe hakumkomoi tu huyo mwenzi wako, ukumbuke kuna watoto ambao wanakuhitaji na wewe kumkomoa mama yao means hata wao wanakuwa katika wakati mgumu

Na hilo pia halibadilishi the fact that muda utaenda utazeeka na utaiihitaji sana familia yako labda watoto walau kama mkeo alikuwa kimeo, utawezaje kudai ukaribu pamoja nao wakati wewe hukuweza kuwafanywa wawe karibu yako wakati walipokuwa wanakuhitaji zaidi??

Kuna njia nyingi za kutafuta suluhu mkuu, za kupata nusu shari kuliko shari kamili

Na pia mkuu mara nyingi ndoa ikiyumba kwa sababu ya uchumi kuyumba usikimbilie kutafuta mchawi au kupoit fingers kwa yule aliyekuacha

Jikumbushe ni nini msingi wa mapenzi yenu yaliyowafanya muingie katika ndoa??

Trust me mkuu na huu ndo ukweli ikiwa msingi wenu wa kuingia ndoani iliikuwa upendo na kujenga familia pamoja hata uyumbe vipi kiuchumi mkeo hawezi kutoka kwako kwa sababu sio uchumi uliowaunganisha

Lakini kama mliunganishwa na mengine tofauti na upendo basi hayo mengine yakitoweka jiandae kisaikolojia coz lolote laweza kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Family first", hakuna kitu kizuri kama kuishi kwa kupendana na kufanya kazi kwa ajili ya familia yako.
Yeah sure hongera kwa kuhisi hivyo mkuu ni hisia ambazo sio rahisi kuzielezea hakuna maneno stahiki yanayoweza kufafanua kwa undani hisia hizi

Hakuna raha kama kuwa kazini ukijua kuna watu nyumbani wananingojea kwa hamu

Kuna watu wanathamini sana uwepo wangu

Kuna watu watanifanya nitabasamu hata kama nina stress za kazini

Kuna watu watafanya kila wanachokiweza kuhakikisha nina furahia maisha

Kuna watu watakuwa na mimi hata nini kinipate

Wow hisia nzuri sana hizi, hisia ambazo najiulizaga ikiwa kuna watu hawajawahi kuzihisi kwa sababu ya aina ya maisha wanayoyaishi they dont care kabisa abt the institutuon called family aisee

Wengine wamesha-give up, kwao familia sio kitu coz hawapati furaha. Hayo uliyoongea kwao ni msamiati tu.

Tuwaombee tu Blue G.
 
Yote hayo sababu ni kutovunja ukimya wanandoa mnapokuwa marafiki hamtaona haya kuambiana ukweli pindi mmoja wapo anapokosea.binafsi Mr wangu atakuwa rafiki yangu mkuu.
kumbe hujaolewa.??

Tatizo mkiolewa at ule usafi mnaacha..ile unakuja geto na vibikin vipya visafi,huko chini umenyoa na kunang'aa,unanukia nk mnavipotezea sana.
Ule u cute na u modal mnauacha mwishoni mnakua mabonge na mitumbo

Tunapenda mupendeze ati.

NB;hapa naongelea wale wanaopewa kila kitu eg pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa kabisa mkuu

Na naelewa hilo na ndio maana pale mwanzoni kabisa nimesema kuna wanaume na wanawake ambao wanapuuzia familia zao.

Lakini utambue kuwa kuamua kuishi maisha ya kibabe hakumkomoi tu huyo mwenzi wako, ukumbuke kuna watoto ambao wanakuhitaji na wewe kumkomoa mama yao means hata wao wanakuwa katika wakati mgumu

Na hilo pia halibadilishi the fact that muda utaenda utazeeka na utaiihitaji sana familia yako labda watoto walau kama mkeo alikuwa kimeo, utawezaje kudai ukaribu pamoja nao wakati wewe hukuweza kuwafanywa wawe karibu yako wakati walipokuwa wanakuhitaji zaidi??

Kuna njia nyingi za kutafuta suluhu mkuu, za kupata nusu shari kuliko shari kamili

Na pia mkuu mara nyingi ndoa ikiyumba kwa sababu ya uchumi kuyumba usikimbilie kutafuta mchawi au kupoit fingers kwa yule aliyekuacha

Jikumbushe ni nini msingi wa mapenzi yenu yaliyowafanya muingie katika ndoa??

Trust me mkuu na huu ndo ukweli ikiwa msingi wenu wa kuingia ndoani iliikuwa upendo na kujenga familia pamoja hata uyumbe vipi kiuchumi mkeo hawezi kutoka kwako kwa sababu sio uchumi uliowaunganisha

Lakini kama mliunganishwa na mengine tofauti na upendo basi hayo mengine yakitoweka jiandae kisaikolojia coz lolote laweza kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo haimaanishi UNAMKOMOA, na wala haina maana ya kumkomoa, but ni kum-alert kwmb baba nipo, na what she is doing is not proper. That's how we men are. Hata ufanyeje, manhood ikiwa ignored, mwanamke hawezi kubaki salama.

Hatuishi kwa kukomoana, na haimaanishi kugombana kwetu wazazi, basi tuwashirikishe watoto katika magomvi yetu, HAPANA.

Ni bora kabla hujaingia kwenye hii taasisi ya ndoa, tafuta ukweli kwanza kujua wanaume/ wanawake wanataka na wanapenda nini.

Kama wewe ndoa yako ipo salama na ina furaha, mshukuru Mungu kwa sababu yawezekana ni padre au mchungaji huyo huyo aliyefungisha ndoa yako yenye furaha, ndiye aliyefungisha ndoa ambayo leo ina divorce.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe hujaolewa.??

Tatizo mkiolewa at ule usafi mnaacha..ile unakuja geto na vibikin vipya visafi,huko chini umenyoa na kunang'aa,unanukia nk mnavipotezea sana.
Ule u cute na u modal mnauacha mwishoni mnakua mabonge na mitumbo

Tunapenda mupendeze ati.

NB;hapa naongelea wale wanaopewa kila kitu eg pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh! Sasa hayo uliyoeleza ndo unatakiwa uvunje ukimya kama comment yangu inavyosema.na usisahau vilevile wanaume wengi sukuhizi wameacha majukumu yao ya kuhudumia familia wanawake ndo wanahangaika.but usiache kumuomba Mungu upate wa kufanan nae na kama unae timiza wajibu wako kama mume na mkeo atimize wajibu wake.ndoa yenu iwe ya baraka.
 
amina sana jamoon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom