Hakuna kitu kizuri kama familia nzuri

Hakuna kitu kizuri kama familia nzuri

Kuna watu ni walevi, wazinzi nk na ukiwauliza anakwambia mkewe hana sababu yoyote ktk kuchangia yeye kuwa hivyo. Hivyo ni kuwa yawezekana malezi aliyopitia kutoka ktk familia yake yalimfanya akawa hivyo alivyo, au aina ya marafiki wanaomzunguka. Kama wewe ni mnywaji na umezungukwa na maraiki waleviwakaa baa hadi saa8 usiku wana nafasi kubwa ya kukuinfluence ukawa kama wao ikiwa hauna msingi mzuri wa familia.

Lakini kwa yeyote ambae kwake familia ni jambo la msingi kupita yote, yaani kila akifanyacho anaifikiria familia yake kwanza, hawezi kuruhusu kitu chochote kibaya kiingilie familia yake.

Kwamaana hiyo twapaswa kujenga familia bora ambazo tungependa watoto/wajukuu na hata vining'ina wetu wajivunie na watamani kuendeleza msingi/misingi ya kuwa na familia bora.
Madini ya tanzanite aya mkuu safi sana aisee [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nilimaliza mazaga zaga yote kabla ya kuoa,ili nikioa nitulie kwa kujua hakuna cha ajabu ambacho sijafanya.

Kurukaruka kwa sasa ni kutafuta magonjwa na kuvunja amani ya nyumba tu.
Sawa mkuu all the best you and your family
 
Haiwezi ikawa familia bora kama ni mmoja tu ndio anahangaika kuifanya iwe familia bora, inapaswa iwe juhudi za wote. Ukiwa unajenga mwenzio anabomoa hakuna familia hapo.
Kabisa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

Ila inaumiza sana aisee

Pale mmoja anapojitahidi sana kuimarisha familia then mwingine haoni sababu ya kufanya hivyo
 
Kabisa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

Ila inaumiza sana aisee

Pale mmoja anapojitahidi sana kuimarisha familia then mwingine haoni sababu ya kufanya hivyo
Mzazi unapaswa kuwa role model wa kwanza wa mtoto, hivyo kabla ya kuwa na familia unapaswa ujiulize kama kweli uko tayari. Mtoto anayekuja atakua katika familia ya aina gani, ungependa mwanao atamani kuwa baba/mama kama wewe? Je mwanao atatamani awe na mume/mke kama wewe?

Kila mmoja apambane na familia yake, na kwa wale ambao tuko kwenye hiyo safari basi tuzijenge familia zetu kabla ya kuwa nazo.

Mkuu shukrani sana kwa somo hili zuri.
[HASHTAG]#familyisagreatthingtohave[/HASHTAG]
[HASHTAG]#itstartswithyou[/HASHTAG]
 
Hapa mtu akiulizwa kumbukumbu yake ya mwisho/mwanzo (yaan deepest), ni kwamba alijikuta tu tayari yupo katika familia fulani yenye TARATIBU zake.
Hii ina maana tabia zako ni matokeo ya Uongozi na usimamizi wa wale walioasisi familia hiyo. Kwa maana halisi, UTARATIBU wao ndio umekutengeneza wewe.
Basi, kwa maana hiyo, Mume na Mke ndio wenye kuamua familia iweje. Mkishindwa kuelewana familia iendeje, lazima mambo yabadilike.
Kwa hiyo, tukiwa tunakumbushana umuhimu wa familia, tukumbushane maelewano kwanza. Nadhani ni vizuri ukianzisha familia na mtu anayekufaa na atakayefaa kujenga familia, badala ya kumtafuta so called true love wa kwenye telenovela.
Its about whats needed. Not whats wanted.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mzazi unapaswa kuwa role model wa kwanza wa mtoto, hivyo kabla ya kuwa na familia unapaswa ujiulize kama kweli uko tayari. Mtoto anayekuja atakua katika familia ya aina gani, ungependa mwanao atamani kuwa baba/mama kama wewe? Je mwanao atatamani awe na mume/mke kama wewe?

Kila mmoja apambane na familia yake, na kwa wale ambao tuko kwenye hiyo safari basi tuzijenge familia zetu kabla ya kuwa nazo.

Mkuu shukrani sana kwa somo hili zuri.
[HASHTAG]#familyisagreatthingtohave[/HASHTAG]
[HASHTAG]#itstartswithyou[/HASHTAG]
sure mkuu na ndio maana mara nyingi unaambiwa kabla hujaoa au kuolewa jaribu kuangalia namna familia ya yule utakaye kujenga naye familia ikoje

ndo maana pia wanasema angalia sana wanaume wapigaji wa wake zao utakuja kujua baba yake alikuwa mpigaji na ndio maana hata yeye anapiga maanake role model wake ni baba na ndio anaona ndio njia sahihi ya kumtreat mkewe

hata wanwake wanaotaka kuwapanda waume zao kichwani utakuja kujua kuwa mama zao walikuwa hivyo pia

which means kazi ya mzazi kumfanya motto wake aje kuwa na familia imara na thabiti ni kubwa sana
 
Shukran kwako mkuu; kwa thread hii muhimu hasa kipindi hiki chenye kukithiri malalamiko ya mahusiano. Umetukumbusha kuwa ni jukumu letu kuyaweka sawa. Tusisubiri kuumbiwa malaika.
Karibu mkuu

Ni kweli hakuna kitu kizuri kama familia nzuri tuzithamini.
 
sure mkuu na ndio maana mara nyingi unaambiwa kabla hujaoa au kuolewa jaribu kuangalia namna familia ya yule utakaye kujenga naye familia ikoje

ndo maana pia wanasema angalia sana wanaume wapigaji wa wake zao utakuja kujua baba yake alikuwa mpigaji na ndio maana hata yeye anapiga maanake role model wake ni baba na ndio anaona ndio njia sahihi ya kumtreat mkewe

hata wanwake wanaotaka kuwapanda waume zao kichwani utakuja kujua kuwa mama zao walikuwa hivyo pia

which means kazi ya mzazi kumfanya motto wake aje kuwa na familia imara na thabiti ni kubwa sana
Kuna external influences pia mkuu like makundi/marafiki.
Na tatizo lingine linakuja kwenye namna ya kuijenga familia, maana familia zote duniani haziwezi kuwa za aina moja maana kuna mtu anaamini ktk violenve na mwingine haamini.
Kuna mwingine anaamini ktk kumuadibu mtoto kwa kumchapa na kuna mwingine haamini. Kuna mwingine anaamini ktk kumpa mtoto uhuru, mwingine haamini,kuna wanaoamini ktk Mungu na wengine hawaamini nk

Kwahiyo mwisho wa siku unajikuta kile ulichomuaminisha mwanao, akiwa exposed kwenye ulimwengu wenye imani tofauti tofauti kuna uwezekano mkubwa wa yeye kubadilika ikiwa hakuwa comfortable/imara na imani ya kwanza.

But all in all we all have guidence,"mlee mwanao katika njia impasayo nae hatoiacha hata atakapokuwa mzee" (sidhani kama mstari huu unalenga dini ama imani yoyote, inalenga jamii kwa ujumla)
Hata akikengeuka kuna uwezekano mkubwa akairejea njia impasayo maana tayari ana muongozo.
 
kweli mkuu external influences zipo,lakini mara nyingi personality ya mtoto inajengwa na vile anavyolelewa na wazazi wake,na anavyolelewa ndio inakuwa tabia yake na utu wake wa ndani,kiasi kwamba hata ikitokea kapata misuko suko ya hapa na pale the person he or she is within will never die anaweza akafanya kulingana na hizo influences lakini sikuzote akawa anasumbuka na asiwe comfortable kwa sababu sivyo alivyo kwa ndani

na kwa sababu tayari two personalities zinakuwa at fight mwisho wa siku ile iliyomo ndani yake aliyolelewa na wazazi wake lazima itaprevail no matter what,kwa sababu ndio yenye nguvu mkuu

So still mzazi ana nafasi kubwa mno ya kumtengenza motto awe mtu wa aina gani na aje awe mke/mume/baba au mama wa aina gani.
 
Umeshawahi ona watoto wa familia moja wanakuwa tofauti kabisaa kitabia? Yaani utafikiri hawakulelewa familia moja? Mf. Mmoja ni padre mwingine jambazi......

Unafiki tatizo ni nini, wazazi wanakosea wapi?
 
yeah intokea mkuu

Na hapo sio kwamba wazazi wamekosea mahali la hasha

na ndio maana mara nyingi ukiangalia familia za namna hii kuna scenario walau tatu

kwanza unakuta huo ujambazi mtoto haanzi kuufanya akiwa nyumbani bado kinda,pengine ataishi nyumbani kama mtu mwema kabisa kisha akitoka akaenda kuwa huru huko ndo atakutana na marafiki au makundi then anakuwa mtu mwingine tofuati kabisa

pili kuna watu ambao wanapeleka watoto zao shule za bweni wakiwa wangali watoto wadogo,wadogo wale ambao ni rahisi sana kushika na kufuata tabia za watu waliomzunguka wazazi wakiamini kuwa kwa kumpeleka motto bweni atapata malezi mazuri na elimu bora kwa wakati mmoja,sasa kwa scenario kama hii kuna kutokea mtoto kujifunza mienendo tabia na nyutu za watu waliomzunguka,kasha akifika nyumbani anajitahidi kuadopt namna ya maisha na tabia za pale ili apatane na wazazi wake ilhali myoni mwake anaona kabisa sio aina ya maisha au tabia ambazo yuko nazo cormfortable,na kwa sababu mara nyingi likizo ni za muda mfupi mara nyingi haiwi rahisi kwa mzazi kugundua badiliko lolote,
then ndo kidogo kidogo mtoto anazoea maisha na tabia za watu waliomzunguka na kujikuta anajengeka na tabia na utu tofauti na wazazi wake.

Tatu kuna wakati wazazi kwa ajiili ya kuhisi kutaka kuwalinda watoto wao wanakuwa overprotective kiasi kwamba wanawabana watoto na sio kuwafundisha,usicheze games,sijui usifanye hiki ama kile kuzuia hata mambo ambayo mtoto anatamani angeyafanya kwa wakati Fulani ila ilimradi tu mama au baba hataki mtoto wwake ayafanye basi yeye anazuia tu,kwa hiyo scenario kama hii mtoto anakuwa kabanwa hayuko huru yuko limited tena sio kwa kupenda inamlazimu awe hivyo maanake anatamani kufanya mambo mengi ambayo mzazi hataki

sasa mtoto wa kwenye mazingira kama haya siku akipata uhuru basi atafanya mambo ambayo wala hata mzazi hujawahi kuimagine atafanya kila kitu kucompasate ule uhuru wa kadri aliokuwa anaukosa.

Lakini sasa kwa scenario ya kwanza na ya tatu ni rahisi mtoto kurudia ule utu ambao wazai wake walikuza kupitia malezi yao kwa sababu nyutu mbili zitakuwa ziko kwa conflict na lazima ule utu wenye nguvu uprevail

ila kwa scenario ya pili mambo ni magumu kidogo mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom