Hakuna kigezo wala sababu za CHADEMA kuongozi nchii hii

Mi nimetoa hoja jibuni kwa hoja ninyi wanachama wa cdm wa kwenye jf na fb..lakini kwenye kura mnakuwa mko kwenye bar mnakunywa beer kura hampigi ndo mtakishinda chadema...cdm wanataka ongoza nchi wameachia waongoze majiji matatu lakini hakuna kitu kazi kugombania kupanda gari ya meya tu na majungu basi..wenzeni cc wanazidi tekeleza ahadi na leo gari moshi limeanza jijini dar es salaam, huku kwetu kilombero daraja tayari naona linaanzwa jengwa...
Umekula kitimoto yenye funza sio bure
 
Binafsi sio kama hiki chama kinaweza ongoza nchi hii..kwanza ni chama ambacho kinaonekana ni kijikundi tu cha watu wawili watatu na sio taasisi ya kichama cha siasa.... Tumewapa jiji la mwanza limewashinda ,arusha limewashinda na moshi sasa nalo linawashinda ..sasa nawaza je wakipewa nchi hii wataweza..
nikikiangalia hiki chama naona kama ni ng'o ya watu fulani tu....sio taasisi ya kuangoza nchii hii
we kweli CHIPUO nchi i mikononi mwa nani sasa kuto kuwa na maendeleo analaumiwa nani? ndocha kweli wewe wenzio wanachapana humo.oooh we kuamshwa tu GIZANI umengangania usichokijua.MACHO HUONI (giza) hata kwa mikono huisi hicho nini? nyanya kweli ni nyanya hata uipake rangi.
 
baada ya kuwapa ukawaruhusu wakusanye kodi halafu wapitishe bungeni,halafu unadiriki kusema nimetoa hoja watu waijadili,hiyo hoja unajua nikushauri ipeleke mkutano mkuu wa ccmmunaweza ukapata uteuzi ili uje ututungie sera,bure kabisa
 
Chadema ni NGO.
,,,,

huwa unalipwa overtime double au mara moja na nusu maanake we upo tu saa zote kama jini,,,,,,,,,,cdm sasa ni chama kikuu cha upinzani nenda chumbani ukaongee na mkeo cuf saa hizi ni usiku

Mi nimetoa hoja jibuni kwa hoja ninyi wanachama wa cdm wa kwenye jf na fb..lakini kwenye kura mnakuwa mko kwenye bar mnakunywa beer kura hampigi ndo mtakishinda chadema...cdm wanataka ongoza nchi wameachia waongoze majiji matatu lakini hakuna kitu kazi kugombania kupanda gari ya meya tu na majungu basi..wenzeni cc wanazidi tekeleza ahadi na leo gari moshi limeanza jijini dar es salaam, huku kwetu kilombero daraja tayari naona linaanzwa jengwa...

Wewe Kibe Naona siasa bado sana!!

Tatizo lako unafikiri kila mtu anayeandika humu au kuipinga CCM lazima awe mwanachama?? Watu tunaandika humu kwa ajili ya Utaifa wetu. Sasa kama wewe umo humu kwa maslahi ya chama, hilo ni shauri yako .............. Ndiyo maana unashindwa kuwaelewa wachangiaji kwa thread yako!! Propaganda zilishakudia mno.......................!!!!!!!
 
Mleta hii mada asamehewe jamani na pia ee Mungu baba uliyeumba vyote vilivyomo akiwemo mleta hoja hii{GAMBA}kwa maneno yake yakila dalili ya ufinyi wa fikra kutokujitambua ulioambatana na uvivu na kukumbwa na wale maadui watatu•Ee Mungu umuumbie moyo safi wakujitambua na kuelewa umuhimu wa uwepo wake na faida yake kwa nchi yake na mwisho kabisa anaonekana anajuhudi lakini maarifa hana basi ukamtwalie ee Mungu.walau siku atambue nini maana ya GWANDA na Gamba. Na tuseme aminaaa
 
Kweli huna tofauti na mulugo-tanganyika is affiliated from zimbabwe and pemba islanda kwikwikwikwikwi kwani TANU siikianza jama CDM mbona iliweza,wacha waweze wasiweze potelea mbali kwani CCM mama na baba yetu kwete ne efoo kitangama kya nsire
odee ode nsarie mae, kwani hajui awazalo
 
Kama Mulugo bado ni waziri wa elimu , hakuna atakayeshindwa kuendesha nchi hii, kama mwanasheria mkuu ni werema hakuna atakayeshindwa kuongoza nchi hii, na kama Jk ameweza ......
 
CCM inaongoza nchi ngapi vile hapa Africa? Kenya vyama vichanga kabisa vinaongoza nchi kwa nini CDM isifanye makubwa?
 
Hoja yako isipotolewa kishabiki shabiki au kipuuzi puuzi na majibu yake kutoka kwa watu wote lazima yawe ya staha. Chama hakikuhusu na hujui mikakati yake unatema pumba ukitarajia kupewa majibu ya kistaarabu!
 
Mtoa mada ni ndama akalale anafikiri Kuna mtanzania mwenye akili timamu bdo anaipenda ccm? Kama yupo ni ndondocha kwa kule Kwetu kusini.
 
Binafsi sio kama hiki chama kinaweza ongoza nchi hii..kwanza ni chama ambacho kinaonekana ni kijikundi tu cha watu wawili watatu na sio taasisi ya kichama cha siasa.... Tumewapa jiji la mwanza limewashinda ,arusha limewashinda na moshi sasa nalo linawashinda ..sasa nawaza je wakipewa nchi hii wataweza..<br>nikikiangalia hiki chama naona kama ni ng'o ya watu fulani tu....sio taasisi ya kuangoza nchii hii

Toa maelezo ya ufafanuzi ndugu, inawezekana una hoja ya msingi hapa
 
Binafsi sio kama hiki chama kinaweza ongoza nchi hii..kwanza ni chama ambacho kinaonekana ni kijikundi tu cha watu wawili watatu na sio taasisi ya kichama cha siasa.... Tumewapa jiji la mwanza limewashinda ,arusha limewashinda na moshi sasa nalo linawashinda ..sasa nawaza je wakipewa nchi hii wataweza..<br>nikikiangalia hiki chama naona kama ni ng'o ya watu fulani tu....sio taasisi ya kuangoza nchii hii

vilaza waache wakale mtori vijiweni na matusi yao ,
 
Binafsi sio kama hiki chama kinaweza ongoza nchi hii..kwanza ni chama ambacho kinaonekana ni kijikundi tu cha watu wawili watatu na sio taasisi ya kichama cha siasa.... Tumewapa jiji la mwanza limewashinda ,arusha limewashinda na moshi sasa nalo linawashinda ..sasa nawaza je wakipewa nchi hii wataweza..<br>nikikiangalia hiki chama naona kama ni ng'o ya watu fulani tu....sio taasisi ya kuangoza nchii hii

Ban nyingi huja tunapowajibu watu wanaojiona wao ni MIUNGU wenye uwezo wa kumpa mtu kitu na kumnyang'anya!.. Wao wanapenda kujiona ni mapolisi, watawala na wenye mamlaka yote. kumbe ni vijitu vinavyoambulia vijisenti vya rushwa pale ambapo wapinzani wamewasha moto kuwadhibiti mafisadi.
 
Ukijadiliana na kichaa na mlevi huwezi kupat jawabu lenyemaana. Huyu mpiga debe wa chama cha majambazi unategemea utajadiliana nae nini. Kwake yeye wizi wa richmond, epa, iptl, Meremeta NDIO MAENDELEO YALOLETWA NA CHAMA CHAKE. MRABAHA WA ASILIMIA TATU KWAKE SIO TATIZO. Anachojua huyo ni kuvaa magamba. Huyo kwake chama chake kimefanikiwa. Cdm wameshindwa nini. Hana takwimu. Wala haelezi ni chama gani sasa kinaweza. Kwa maana mikataba ya kifisadi ilofanya na nyinyiem hayo ndo mafanikio anayoyajua. Huko uswis watu wameficha hela. miwani ya huyu mlevi haioni. Achojua yeye cdm imeshindwa huko alioktaja bila data. Kafie mbali makapi ya magamba wewe. Huna mpya kama bwana zako unaowatumikia. Mwana wa mafisadi.
 
Back
Top Bottom