Hakuna kigezo wala sababu za CHADEMA kuongozi nchii hii

Siku nyingine andika hivi '' HAKUNA KIGEZO WALA SABABU KWA SERA ZA CHADEMA KUTUMIKA KUONGOZA NCHI'' Ondoa notion ya individuality CDM ni taasisis kosoa sera zake.
 
Kibe ana hoja nzuri tu. Tupunguze jazba tumjibu kwa hoja tu ili n yeye awe campaigner wetu tukakapokuwa tunaelekea Ikulu kurudisha na kuwafanya watanzania wafaidi rasilimali za nchi yetu.
 
namuunga mkono mtoa mada bado chadema ni kajitaasis tu kalikoonea sehem moja ya nchi yaani kaskazini kusin hawasikiki
tutawapaje nchi wakati hawaenea vya kutosha wao hawana plan wanakazana na sehem wanazokubalika sehem nyingine wanaogopa kwenda
kwa hiyo bado sana cdm kuongoza nchi
mamgo Bora waambie ukiwaeleza wabishi mana chama hakina hata viongozi wa vitongoji utapateje ushindi kwa tz ninyi cdm....wamebaki kila kampeni kala mara arusha moshi na mwanza ... Sasa hiyo akili na majigambo ya kusema mtachukua nchi kwa sanduku la kura mtachukuaje wakati chama chenyewe anacho slaa mbowe ofisini dar es salaam?.. Hata dar penyewe hata viongozi wa cdm kwenye vitongoji hakuna......... Cdm ni kama ng'o ya babu slaa....
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo kwani si vyote vimesajiliwa na Msajili wa vyama basi pia ccm ni kijikundi 2 au kimesajiliwa mbinguni? peleka ujinga wko mbele ukekuwa mbele Iraq u dnt deserve to be in TZ.
:shut-mouth:
 
kakojoe ulale...

ha ha ha .kweliiii eehh chama anacho babu slaa,mbowe ofisini dar es salaam...dar tu hata viongozi wa vitongoji hakuna ndo mana uchaguzi wa udiwani tu viongozi wa kitaifa ndo wanaenda piga kampeni... Swali sasa 2015 mtaweza kupiga kampeni kote?
Mjichunguze upya cdm mchukue hatua msibaki na ndoto za kuchukua nchi 2015 si kazi ndogo ..msifikiri rahisi kama kutumbukiza tonge mdomoni.
 
CCM wameweza? Kwa binafsi yako like you said, nyie ni nani hadi msema mmewapa kwa maana ume accuse CDM kuwa kikundi cha watu, je nyie mnaogawa nchi ni kina nani kama si kikundi cha majangili?
 
watanzania wangapi hao?wengi wa watanzania bado wanaimani na ccm na matokeo ya udiwani ya 28/10/2012 yamethibitisha... Viongozi wote wa cdm wamezunguka kupiga kampeni lakini wapi viti 5 tu, kati ya 29.... Ninyi tu cdm wawili watatu wa jf.
Sisi bado tunaamani kubwa na serikali ya ccm kama hutaki kanywe sumu..... Na ahadi tunatekelezewa.

hicho siyo kigezo, matokeo ya ununuaji wa kadi ya kupigia kura, wizi wa kura na ugawaji wa rushwa, ushindi wa rushwa ndiyo unayojivunia, kama ni kijana umepotea na utavuna ulichopanda kama ni mzee utakufa kifo cha aibu kwa kuiba haki za watanzania.

kweli rushwa imekupofusha fikra na macho yako hata huoni yale unayopaswa kuyaona kwa manufaa ya watoto wako na tanzania ijayo
 
Back
Top Bottom