Hakuna kampuni ya ujenzi wa barabara isiyotoa asilima 10%

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,832
Reaction score
15,622
Kama kuna mtu mwenye kampuni ambayo haitoi 10%. Nasikia kampuni za kichina ndiyo kabisa ndiyo maana wanashinda kila tender

Kama kuna kampuni haitoi 10% na ina mradi mkubwa iseme hapa tuna data zote
 
Ipo, kuna njia unawez kuitumia usitoe mkuu. Ishi na mimi vizur
 
Kama kuna mtu mwenye kampuni ambayo haitoi 10%. Nasikia kampuni za kichina ndiyo kabisa ndiyo maana wanashinda kila tender

Kama kuna kampuni haitoi 10% na ina mradi mkubwa iseme hapa tuna data zote
Mimi nina kampuni yangu hilo Ni zoezi la kawaida
 
Back
Top Bottom