Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,336
- 10,896
- Thread starter
- #161
Watoto wengi sana wanazaliwa bila kupangwa hususa Barani Africa!
Yani Mume na Mke wanakutana kimwili mara ujauzito mtoto kazawaliwa lakini wazazi wake hawa kupanga kumzaa imetokea tu!
Uzoefu unaonesha watoto wanaopangwa kuzaliwa Kabla na wazazi wote Wawili huwa wa pekee sana !
Takwimu zinaonesha Walau Kwa % ndogo sana nchi ya Ethiopia imethubutu kuwa na Watu wachache wenye kupanga kuzaa mtoto Kabla hajazaliwa!
Hii kitu ina faida nyingi sana za mwilini na rohoni Kwa mtoto na wanaomzunguka popote duniani ktk maisha Yake yote na hatima Yake !
Kweli Mkuu