Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,635
Reaction score
81,535
Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani.

Je dini zinafundisha ukweli , ?
Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi.

Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu.

Hii dunia Ina miaka 2000s ya kuhesabu Ila kiuhalisia hii dunia Ina miaka mingi inayozidi 2000s

Maarifa uliyonayo yapo ya aina tatu

-Kufundishwa
-mambo uliyoyapitia
-mambo waliopitia watu

Kwahiyo unaweza Ku -gain new experience in life kupitia mapito yako , au mapito ya watu au kujifunza.

Mvurugano uliopo hapa duniani ni kwamba watu wachache wajinga wameamua kuwaongoza watu wengi wajinga .

Ukiona watu wanabishana kuhusu dini fahamu hao watu ni wajinga na hawajitambui.

Kuwa MTU mwema na MTU safi haina uhusiano na dini.

Kule Bukoba Bibi zetu na Babu they never worship anywhere Ila walikuwa wakiomba Nature inawapa wanachohitaji .

So universe is real , God is real but not religions.

Ikiwa unaacha tamaduni zako unafata tamaduni za watu lazima utadanganywa kuhusu miujiza ya kupokea Gari na Gas.

Maisha ya hapa duniani yamekuwa overrated watu wanajichosha Sana kuamini miujiza ya uongo sijui kwenda kwa waganga at the end Kama utaishi Sana ni 70-100 yrs so ni ujinga to chase nothing.
 
Duh, sijaelewa mkuu. Mfano wameandika tusizini na mke wa mtu. Kwa hiyo sio kweli tupite nae?
Mke wa MTU au Mme wa MTU ni jambo ambalo alikuhitaji kufundishwa na MTU kuhusu hilo .

Ikiwa wanyama they know how to handle it we binadamu unahitaji kuambiwa na dini.

Issue is about conscience ukifanya jambo baya utalisikia lina sound ndani yako na hiyo haina uhusiano na dini.
 
Duh, sijaelewa mkuu. Mfano wameandika tusizini na mke wa mtu. Kwa hiyo sio kweli tupite nae?
Unaona kuzini ni sawa? Unaona kuiba ni sawa? Unaona kuua ni sawa?
Kuna baadhi ya vitu siyo mpaka usome kwenye vitabu vya dini, Kwa asili tu unaona hiki kitu siyo kizuri.
Kwahiyo wewe bila dini ungeweza kulala na mama Yako kingono?
Au kama bila kuja dini ungekuwa unaua watu hovyo?

Mleta mada amesema kuwa mtu mwema Haina uhusiano na dini.
 
Ukweli unao wewe mwenyewe ila kuujua huo ukweli inahitaji jitihada ya miaka 7 na zaidi

Hata wewe mleta mada ni mjinga ( hujui mambo mengi)

Bila hizo dini unazoziona hii leo uchumi wa dunia ungekuwa ICU

Matekani wanamsemo wao
In God we trust
naomba nikuulize hiyo ya wamarekani na hilo neno la IN GOD WE STRUST
Unajua ni mungu yupi huyo wanae muamini maana kuna mungu wa nuru na giza
 
Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani.

Je dini zinafundisha ukweli , ?
Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli.

Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu.

Hii dunia Ina miaka 2000s ya kuhesabu Ila kiuhalisia hii dunia Ina miaka mingi inayozidi 2000s

Maarifa uliyonayo yapo ya aina tatu

-Kufundishwa
-mambo uliyoyapitia
-mambo waliopitia watu

Kwahiyo unaweza Ku -gain new experience in life kupitia mapito yako , au mapito ya watu au kujifunza.

Mvurugano uliopo hapa duniani ni kwamba watu wachache wajinga weamua kuwaongoza watu wengi wajinga .

Ukiona watu wanabishana kuhusu dini fahamu hao watu ni wajinga na hawajitambui.

Kuwa MTU mwema na MTU safi haina uhusiano na dini.

Kule Bukoba Bibi zetu na Babu they never worship anywhere Ila walikuwa wakiomba Nature inawapa wanachohitaji .

So universe is real , God is real and God exist but religious is scam.

Ikiwa unaacha tamaduni zako unafata tamaduni za watu lazima utadanganywa kuhusu miujiza ya kupokea Gari na Gas.

Maisha ya hapa duniani yamekuwa overrated watu wanajichosha Sana kuamini miujiza ya uongo sijui kwenda kwa waganga at the end Kama utaishi Sana ni 70-100 so ni ujinga to chase nothing.
Mimi dini yangu inafundisha hekima iliyobeba faida tele kimaisha.

Hulazimishwi kuamini na kwanini uteseke na maisha ya watu yasiyokuhusu?

Haitakaa itokee kamwe Binadamu tukawa kitu kimoja kwa kila kitu, labda automatic computerized setting systems of ChatGPT.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Israel na Palestine hakuna dini? Mbona Kila siku watu wanauana?
Dini ndiyo imeleta machafuko zaidi hapa Duniani mkuu
Machafuko mnaleta nyie wanadamu kwa kushindwa kuelewa maana halisi ya hizo DINI.

Niletee kifungu kinachoeleza taifa fulani likampge fulani.
 
Machafuko mnaleta nyie wanadamu kwa kushindwa kuelewa maana halisi ya hizo DINI.

Niletee kifungu kinachoeleza taifa fulani likampge fulani.
Kama machafuko tunayaleta sisi binadamu basi dini imeshindwa kutusaidia mkuu mpaka hapo
 
Ukweli unao wewe mwenyewe ila kuujua huo ukweli inahitaji jitihada ya miaka 7 na zaidi

Hata wewe mleta mada ni mjinga ( hujui mambo mengi)

Bila hizo dini unazoziona hii leo uchumi wa dunia ungekuwa ICU

Matekani wanamsemo wao
In God we trust
Uchumi upo angel tatu

-Production
-Consumption
-To transfer

Marekani wao wanazalisha wanachohitaji ndani na zaida wanauza .

Marekani wanatumia wanatumia walichonacho .

Na wanarithisha uchumi kwa kizazi kinachokuja next generation.

Ikiwa familia yenu utazingatia Production , consumption na transfer of wealth basi kila atajayezaliwa atakuja kuanzia juu au katikati na sio kuanza zero.

Sasa hayo mambo Kama Tanzania Rais tu akija kutoka madarakani anaacha hazina hakuna kitu
 
Back
Top Bottom