Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
Baada ya waziri Wasira kuikashifu kambi rasmi ya upinzani na baraza kivuli la Mbowe, kumezuka mabishano makubwa na kutupiana vijembe kwa ukali na kwenda mbele zaidi kutumia maneno yasiyo na busara.
Mh. Mbowe kaonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa kwa kuvumilia matusi ya waziri.
Zogo lilianza pale Mh. Mbowe aliposema serikali iliyopo madarakani ni DHAIFU.
Mh. Mbowe kaonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa kwa kuvumilia matusi ya waziri.
Zogo lilianza pale Mh. Mbowe aliposema serikali iliyopo madarakani ni DHAIFU.