Mkuu, kutokuwa na ushahidi wa moja kwa moja si sawa na kuwa na ushahidi kwamba jambo hilo halipo. Unaweza kutoamini baraka, laana au karma, lakini kusema hakuna kabisa ni hitimisho linalohitaji kutetewa pia.Watu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.
Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,
Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
Akili ya vitoto vilivyokulia kinondoni hivi, mitaa imejaa mashoga alafu vinasema hamna laanaWatu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.
Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,
Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
Nimekuelewa ya ma diktekta yanazidi kupeta huku wakitesa watu na kuua bila lolote kuwazuiaLeta ushahidi kuna Sungura anayezungumza aliwafundisha wenzake mbinu za kumtega Fisi.
Inamaanisha alishaisikia sehemu hivyo anajaribu ku-negiate kile ambacho alisikia kikiwa kinafundishwa au hata alipokisoma.Kama havipo wwe umeitoa wap? Hiyo misamiati
Hii ilikuwa mada kwenye uzi mwingine naona amerukia kuanzisha hukuMkuu kwani kwa siku huwa una wastani wa kuandika nyuzi ngapi humu?