Hakuna baraka, hakuna laana, hakuna karma

Hakuna baraka, hakuna laana, hakuna karma

Watu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.

Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,

Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
Laana ipo baraka ipo na karma ipo
 
Hakuna Mungu.

Hakuna Shetani.

Hakuna Uchawi.
Kusema hakuna Mungu, hakuna Shetani wala uchawi si uthibitisho kwamba havipo; ni msimamo wako kuhusu uwepo wao. Vivyo hivyo, kuamini kwamba vipo hakuthibitishi moja kwa moja kwamba vipo. Hoja si nani anachoamini, bali ni ushahidi gani unaounga mkono anachokiamini.
 
Yah ni kweli hakuna laana wala karma,Unahisi ukifanya mabaya hakuna mahali utalipa?kirahisi tu inaishia hivyo kwamba umeua mtu hujaonekana hakuna athari yoyote?
Wazungu walioua mababu zetu utumwani hiyo karma imewafanya nini?

Wazungu wameiba, wamepora, wameua waafrika na kudhulumu mali zetu. Lakini hakuna karma yoyote imewapata.

Wazungu wamezidi kuendelea sisi waafrika tumebaki tukiteseka mpaka leo hii!!

Hakuna karma!

Hii Dunia ukiwa mnyonge na legelege utaonewa tu na hakuna karma yoyote itawapata watesi wako.
 
Mungu yupo, shetani sijui ila uchawi hakuna
Yupo huko kwenye mawazo yako ya kufikirika.

Kiuhalisia hayupo na wala huwezi kuthibitisha yupo.

Hakuna Mungu, Hakuna shetani hakuna uchawi.

Hakuna baraka, hakuna laana. Hakuna karma.
 
Yah ni kweli hakuna laana wala karma,Unahisi ukifanya mabaya hakuna mahali utalipa?kirahisi tu inaishia hivyo kwamba umeua mtu hujaonekana hakuna athari yoyote?
Mbona wazungu wakoloni waarabu waliwatesa wazee wetu na kuwaua mbona hawapati karma ndo kwanza mataifa yao ndo yanazidi kuendelea kutuzidi...
Au karma ni kwa watu weusi tu?
 
Kusema hakuna Mungu, hakuna Shetani wala uchawi si uthibitisho kwamba havipo; ni msimamo wako kuhusu uwepo wao. Vivyo hivyo, kuamini kwamba vipo hakuthibitishi moja kwa moja kwamba vipo. Hoja si nani anachoamini, bali ni ushahidi gani unaounga mkono anachokiamini.
Hakuna Mungu, Hakuna Shetani, Hakuna Uchawi.

Hakuna Karma, Hakuna Baraka, Hakuna laana.
 
Ukishaleta mambo ya imani tu, inabaki kuwa utashi wa mtu binafsi kuamini anachotaka. Ndio maana hatawewe unawezakuamini chochote na mtu asikubughudhi. Shida inaanza pale unapotaka kuona wenye imani au mwelekeo tofauti na wako wanakosea au hawako sahihi.
 
Yupo huko kwenye mawazo yako ya kufikirika.

Kiuhalisia hayupo na wala huwezi kuthibitisha yupo.

Hakuna Mungu, Hakuna shetani hakuna uchawi.

Hakuna baraka, hakuna laana. Hakuna karma.
mtu wa mwilini hawezi kutambua ya rohon maana kwake ni upuuzi tu.
 
Uwezo wako wa kufikiri bila shaka ni mdogo sana, akili yako imelalia kwenye mambo bayana ya kawaida sana.
 
Watu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.

Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,

Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
Sawa umesema hakuna karma wala laana bila supportive references. Unataka tuamini au tusome tu nakupita hivi?
 
mtu wa mwilini hawezi kutambua ya rohon maana kwake ni upuuzi tu.
Hata hiyo roho haipo.

Hakuna roho.

Hakuna Mungu.

Hakuna Shetani.

Hakuna Uchawi.

Hakuna mapepo.

Hakuna majini.

Hakuna Baraka

Hakuna laana.

Hakuna karma.

Vyote hivi ni ILLUSIONS tu.

Havipo.
 
Watu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.

Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,

Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
ok. :1Head:
 
Back
Top Bottom