muxar
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,678
- 1,437
Watu wanaofanya mabaya hufanya mazuri kwa wakati wao..Wakati wanapata maendeleo bado kuna majanga mengi yanawakuta, unavyoona wanapata maendeleo tu bila shida zingine?Mbona wazungu wakoloni waarabu waliwatesa wazee wetu na kuwaua mbona hawapati karma ndo kwanza mataifa yao ndo yanazidi kuendelea kutuzidi...
Au karma ni kwa watu weusi tu?
Ukifanya tendo lolote litakurudia kwa aina nyingine...ukiacha imani za kidini ukiwa mwema tu kawaida,haijalishi utaanguka kiasi gani kuna namna tu wema wako utakurudia..hiyo ni asili