Hakuna baraka, hakuna laana, hakuna karma

kwa hiyo wanao pewagwa laana na wazazi wao wanakuwa machizi huwa kinatokea nini hapo
Ukiona mtu amekuwa chizi fahamu hata wasingepewa hizo laana wangekuwa machizi tu.
Hata wangebarikiwa na hao wazazi wao wangekuwa machizi tu.
 
Sawa umesema hakuna karma wala laana bila supportive references. Unataka tuamini au tusome tu nakupita hivi?
Wanaosema Kuna laana na karma ndio walete supportive references, mimi ninayekuambia havipo siwajibiki kuleta supportive references.
 
wewe siyo wa kwanza, kuna hata neno kwa watu waliokata tamaa na maisha kama wewe inaitwa nihilism, you see hakuna kipya ulichokiandika plus kuna tiba ya nihilism ...
 
Watu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.

Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,

Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
Mkuu,

Inawezekana hakuna baraka, laana wala karma kwa maana ya kwamba hakuna Mungu aliyekaa juu anayerekodi matendo ya watu na kuwahukumu. Hii ni hadithi tu. Myth.

Lakini katika sociology myths hata kama si za kweli, zinakuwa na maana fulani, ile maana ya "hadithi hii inatufundisha nini?" inakuwapo tu, tena pengine maana ya msingi sana, hata kama hadithi yenyewe inaonekana ya kutunga tu.

Kwa hiyo, kuna namna ambayo "baraka, laana na karma" zipo, kutokana na mifumo ya watu tu.

Nitakupa mifano.

Kuna siku tulikuwa tunazungumzia haya mambo. Rafiki yangu mmoja akatoa story yake inaelezea vizuri hili jambo.

Huyu jamaa si mtu wa kutoatoa sana pesa kwa ombaomba. Lakini siku hiyo akajikuta tu mjini katoa. Sasa inaonekana katika kurudisha ile wallet mfukoni, kwa namna moja au nyingine wallet ikaanguka, bila yeye kujua, halafu yeye akaingia kwenye treni akatoweka.

Sasa, kuna mtu aliona tukio lote, kuanzia jamaa alivyotoa pesa kwa ombaomba, mpaka akaangusha wallet, lakini alikuwa mbali kidogo hakuweza kumuwahi kumpa rafiki yangu wallet yake.

Yule mtu akaiokota ile wallet. Alichofanya aliangalia kwenye wallet akakuta kuna ID na card ya bank moja kubwa (shout out to TD Bank, Toronto, Canada). Akaichukua ile wallet akaipeleka kwenye hiyo bank, akawaambia watu wa bank huyu mteja wenu kaangusha wallet mtafuteni mumrudishie. Apparently katika hii jamii bank inaaminika sana kwa jambo kama hili.

Watu wa bank wakamtafuta mteja wao, rafiki yangu. Wakamwambia kuna wallet yako imeokotwa imerudishwa hapa, njoo uichukue.

Akaenda kuichukua. Akakuta ID na cards zake zote, na pesa kidogo, zote kamili.

Lakini akakuta na ujumbe umeandikwa kwenye kikaratasi, umeandikwa "A person who gives to the homeless should not lose his wallet"

Yani yule aliyeokota ile wallet aliona kuwa huyu jamaa ana roho nzuri sana anasaidia ombaomba, haitakiwi apoteze wallet yake.

Kwa hiyo hapo kuna karma fulani watu wamejitengenezea tu. Pengine huyu jamaa rafiki yangu angempiga teke yule ombaomba, huyu aliyeokota wallet angeona huyu mshenzi tu, wala simrudishii wallet yake.

In fact kwenye evolutionary psychology bila hiyo altruism hata tusingekuwapo, kwa sababu ili wewe ukue moaka kujitegemea inabidi wawepo wazazi au wakezi wa kukulea ukiwa mdogo. Kuendeleza vizazi tu kunahitaji aina fulani ya manufactured karma.

Mimi pia kitu kama hicho kilishawahi kunitokea. Kuna siku nilienda kununua viatu, sasa katika kuwa excited kukaa chini kujaribu viatu, ili niweze kukaa vizuri, ilinibidi nitoe wallet mfukoni niiweke kwenye kiti cha kujaribia viatu. Nikisema kuwa naiweka hapa mara moja nikimaliza kujaribu viatu nairudisha mfukoni. Lakini nikaisahau hapo.

Sasa mimi kawaida ID na card ninayotumia kwa wakati huo siweki kwenye wallet (avoiding a single point of failure), naweka kwenye cover la simu, kwa sababu simu nipo nayo muda wote.

Basi nikatoka mpaka kwenda kulipia, nikatoa simu, nikalipia kwa card iliyopo kwenye cover la simu, nikaondoka. Kumbe wallet yangu nimeiacha kwenye kiti cha kujaribia viatu. Sasa nazunguka zunguka kwenye gari kuna kitu kikaniambia jikague mbona kama kuna kitu hakiko sawa, kujikagua nikakuta wallet haipo.

Nikasema ngoja nizifuate nyendo zangu zote nianze pale kwenye duka la viatu.

Kufika sehemu ya kulipia nikawaambia wale wafanyakazi wa dukani nimepoteza wallet yangu nafikiri nimeipotezea hapa. Wakaniambia kweli kuna mtu kaleta wallet hapa ameiokota. Wakaniuliza jina langu kuangalia kama naweza kutaja jina linaloonekana kwenye cards zilizomo ndani ya ile wallet. Uzuri nilikuwa mpaka na ID kwenye cover la simu, nikawaonesha, wakanipa wallet yangu.

Sasa mimi nimeishi sehenu nyingi (US) kuanzia uswazi mpaka suburbs za matawi ya juu kidogo, nikajiuliza, hapa kilichosaidia kuipata hii wallet kirahisi hivi ni nini? Nikaona hapa ni kwa sababu ni ushuani, ingekuwa uswazi kwa kiasi kikubwa nisingeipata.

Nikajiuliza, kwa nini iwe hivyo?

Nikaona ni mifumo ya kijamii ambayo watu wamejiwekea. Yani wewe unapookota wallet ya mwenzako na kuipeleka sehemu salama au kumrudishia, kitendo hicho kinaongeza imani katika jamii, hata yule unayemrudishia wallet naye siku nyingine akiokota wallet ya mtu mwingine, atakumbuka mimi nishawahi kupoteza wallet yangu, nikarudishiwa, na yeye ataisalimisha au kukurudishia.

Kwa hivyo, ukiangalia karma katika muktadha huu, utaona kuwa karma si natural law kama "every action has an equal and oppoaite reaction" , ila ni mfumo ambao watu wanajitengenezea jatika jamii. Mfumo ambao ikinwatu waishi vizuri inawabidi waufuate. Na jamii ambazo haziufuati, kwa mfano jamii ambazo zinauana uana tu bila kuheshimu karma, zikizidisha kuishi hivyo, zitatoweka tu.

Karma is not "every action has an equal and oppoaite reacgion" it is more like "what goes afmround, comes around".

Ukiwa katika jamii ya watu ambao wakiokota wallet hawarudishi, na wewe ukikubali tabia hiyo, chances are kuna siku na wewe utapoteza wallet halafu atakayeokota hatakurudishia.

Ukiwa katika jamii ambayo watu wanaokota wallet za wengine na kuwarudishia, na wewe unafanya hivyo, unaongeza hiyo hali ya jamii kuwa na amana, na siku ukipoteza wallet yako, chances are utarudishiwa tu.
 
iko hivi, sisi binadamu wote hakuna asietenda dhambi kwaiyo ivo vitu sijui baraka laana nk humpata mtu yeyote wakati wowote bila kujali chochote sababu wote ni watenda dhambi
 
Mkuu rafiki yako aliyepoteza wallet labda asingeipoteza kama asingekuwa anaitoa mara kwa mara kusaidia ombaomba, lakini pia labda ilikuwa ni bahati tu aliidondosha akaonwa na mtu mwema ambaye angeweza kumrudishia bila kujali kama alisaidia au hakumsaidia ombaomba. Ushahidi upo wa watu wengi waliosaidia ombaomba wakaishia kupoteza pesa zao au kupata matatizo ya kifedha na wakaacha kabisa kusaidia ombaomba wakiamini wanaweza kuwa ni chuma ulete au mikosi.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

Kuhusu altruism, hii ni theory ya kisayansi kabisa katika evolution inayoonyesha jinsi gani inaongeza survival ya species au groups kuanzia kwa binadamu mpaka wanyama wengine na hata wadudu kama nyuki, Sina shida nayo. Inawezekana hizo Imani za laana, baraka na karma zanasaidia katika kuongeza altruism lakini hiyo itakuwa spillover benefits tu na sio lengo kuu la watu wanaoamini haya mambo ambalo ni jambo jema tu, tunaweza kusema Hallelujah.
 
Mkuu rafiki yako aliyepoteza wallet labda asingeipoteza kama asingekuwa anaitoa mara kwa mara kusaidia ombaomba, lakini pia labda ilikuwa ni bahati tu aliidondosha akaonwa na mtu mwema ambaye angeweza kumrudishia bila kujali kama alisaidia au hakumsaidia ombaomba. Ushahidi upo wa watu wengi waliosaidia ombaomba wakaishia kupoteza pesa zao au kupata matatizo ya kifedha na wakaacha kabisa kusaidia ombaomba wakiamini wanaweza kuwa ni chuma ulete au mikosi.
You are missing the larger point.

Kwamba watu wanavyozidi kufanyiana matendo mazuri kwenye jamii, ndiyo uwezekano wa wao kufanyiwa matendo mazuri unazidi.

Treat society as a system, and every good action as contributing to the probability of good things happening to you (good karma), and the opposite.

The more everybody does good, including you, the better chance of good things happening to you.

The reverse is also true.

Hata barabarani, kila mtumiaji wa barabara akimuheshimu mwingine (respecting traffic laws, putting pedestrian first etc), anaongeza nafasi za yeye kuheshimiwa akiwa kwenye uhitaji wa kuheshimiwa.

Na katika mfumo ambao kila mtu anamchomekea mwenzake, hampi nafasi, haheshimu pedestrians hata kwenye Zebra crossing, chances are hata yeye kuna siku hataheshimiwa hivyohivyo.

This is a question of actions and probability in a closed system.

You have to look at it as a systemic issue, not at the individual level. Because it is about systemic equilibrium, not about one person.
 
Mkuu,

Inawezekana hakuna baraka, laana wala karma kwa maana ya kwamba hakuna Mungu aliyekaa juu anayerekodi matendo ya watu na kuwahukumu. Hii ni hadithi tu. Myth.

Lakini katika sociology myths hata kama si za kweli, zinakuwa na maana fulani, ile maana ya "hadithi hii inatufundisha nini?" inakuwapo tu, tena pengine maana ya msingi sana, hata kama hadithi yenyewe inaonekana ya kutunga tu.

Kwa hiyo, kuna namna ambayo "baraka, laana na karma" zipo, kutokana na mifumo ya watu tu.

Nitakupa mifano.

Kuna siku tulikuwa tunazungumzia haya mambo. Rafiki yangu mmoja akatoa story yake inaelezea vizuri hili jambo.

Huyu jamaa si mtu wa kutoatoa sana pesa kwa ombaomba. Lakini siku hiyo akajikuta tu mjini katoa. Sasa inaonekana katika kurudisha ile wallet mfukoni, kwa namna moja au nyingine wallet ikaanguka, bila yeye kujua, halafu yeye akaingia kwenye treni akatoweka.

Sasa, kuna mtu aliona tukio lote, kuanzia jamaa alivyotoa pesa kwa ombaomba, mpaka akaangusha wallet, lakini alikuwa mbali kidogo hakuweza kumuwahi kumpa rafiki yangu wallet yake.

Yule mtu akaiokota ile wallet. Alichofanya aliangalia kwenye wallet akakuta kuna ID na card ya bank moja kubwa (shout out to TD Bank, Toronto, Canada). Akaichukua ile wallet akaipeleka kwenye hiyo bank, akawaambia watu wa bank huyu mteja wenu kaangusha wallet mtafuteni mumrudishie. Apparently katika hii jamii bank inaaminika sana kwa jambo kama hili.

Watu wa bank wakamtafuta mteja wao, rafiki yangu. Wakamwambia kuna wallet yako imeokotwa imerudishwa hapa, njoo uichukue.

Akaenda kuichukua. Akakuta ID na cards zake zote, na pesa kidogo, zote kamili.

Lakini akakuta na ujumbe umeandikwa kwenye kikaratasi, umeandikwa "A person who gives to the homeless should not lose his wallet"

Yani yule aliyeokota ile wallet aliona kuwa huyu jamaa ana roho nzuri sana anasaidia ombaomba, haitakiwi apoteze wallet yake.

Kwa hiyo hapo kuna karma fulani watu wamejitengenezea tu. Pengine huyu jamaa rafiki yangu angempiga teke yule ombaomba, huyu aliyeokota wallet angeona huyu mshenzi tu, wala simrudishii wallet yake.

In fact kwenye evolutionary psychology bila hiyo altruism hata tusingekuwapo, kwa sababu ili wewe ukue moaka kujitegemea inabidi wawepo wazazi au wakezi wa kukulea ukiwa mdogo. Kuendeleza vizazi tu kunahitaji aina fulani ya manufactured karma.

Mimi pia kitu kama hicho kilishawahi kunitokea. Kuna siku nilienda kununua viatu, sasa katika kuwa excited kukaa chini kujaribu viatu, ili niweze kukaa vizuri, ilinibidi nitoe wallet mfukoni niiweke kwenye kiti cha kujaribia viatu. Nikisema kuwa naiweka hapa mara moja nikimaliza kujaribu viatu nairudisha mfukoni. Lakini nikaisahau hapo.

Sasa mimi kawaida ID na card ninayotumia kwa wakati huo siweki kwenye wallet (avoiding a single point of failure), naweka kwenye cover la simu, kwa sababu simu nipo nayo muda wote.

Basi nikatoka mpaka kwenda kulipia, nikatoa simu, nikalipia kwa card iliyopo kwenye cover la simu, nikaondoka. Kumbe wallet yangu nimeiacha kwenye kiti cha kujaribia viatu. Sasa nazunguka zunguka kwenye gari kuna kitu kikaniambia jikague mbona kama kuna kitu hakiko sawa, kujikagua nikakuta wallet haipo.

Nikasema ngoja nizifuate nyendo zangu zote nianze pale kwenye duka la viatu.

Kufika sehemu ya kulipia nikawaambia wale wafanyakazi wa dukani nimepoteza wallet yangu nafikiri nimeipotezea hapa. Wakaniambia kweli kuna mtu kaleta wallet hapa ameiokota. Wakaniuliza jina langu kuangalia kama naweza kutaja jina linaloonekana kwenye cards zilizomo ndani ya ile wallet. Uzuri nilikuwa mpaka na ID kwenye cover la simu, nikawaonesha, wakanipa wallet yangu.

Sasa mimi nimeishi sehenu nyingi (US) kuanzia uswazi mpaka suburbs za matawi ya juu kidogo, nikajiuliza, hapa kilichosaidia kuipata hii wallet kirahisi hivi ni nini? Nikaona hapa ni kwa sababu ni ushuani, ingekuwa uswazi kwa kiasi kikubwa nisingeipata.

Nikajiuliza, kwa nini iwe hivyo?

Nikaona ni mifumo ya kijamii ambayo watu wamejiwekea. Yani wewe unapookota wallet ya mwenzako na kuipeleka sehemu salama au kumrudishia, kitendo hicho kinaongeza imani katika jamii, hata yule unayemrudishia wallet naye siku nyingine akiokota wallet ya mtu mwingine, atakumbuka mimi nishawahi kupoteza wallet yangu, nikarudishiwa, na yeye ataisalimisha au kukurudishia.

Kwa hivyo, ukiangalia karma katika muktadha huu, utaona kuwa karma si natural law kama "every action has an equal and oppoaite reaction" , ila ni mfumo ambao watu wanajitengenezea jatika jamii. Mfumo ambao ikinwatu waishi vizuri inawabidi waufuate. Na jamii ambazo haziufuati, kwa mfano jamii ambazo zinauana uana tu bila kuheshimu karma, zikizidisha kuishi hivyo, zitatoweka tu.

Karma is not "every action has an equal and oppoaite reacgion" it is more like "what goes afmround, comes around".

Ukiwa katika jamii ya watu ambao wakiokota wallet hawarudishi, na wewe ukikubali tabia hiyo, chances are kuna siku na wewe utapoteza wallet halafu atakayeokota hatakurudishia.

Ukiwa katika jamii ambayo watu wanaokota wallet za wengine na kuwarudishia, na wewe unafanya hivyo, unaongeza hiyo hali ya jamii kuwa na amana, na siku ukipoteza wallet yako, chances are utarudishiwa tu.
Hizo paragraph mbili za mwisho kuhusu jamii za watu wanaorudisha vitu vya watu vinavyopotea nafikiri ni suala la "high trust societies vs low trust societies".

Jamii ambazo watu wakiokota mali au pesa wanamtafuta mwenyewe, watu hawauani hovyo, hawadhulimiani hovyo n.k ni jamii ambazo ni high trust societies, watu wanaishi hivyo bila kujali au kufikiria kabisa mambo ya karma, laana na baraka mfano nchi za Scandinavia na nyingi za Ulaya ambazo kwanza hata wananchi wengi ni atheists tu, ukija kwenye low trust societies na masikini kama za Africa, Pakistan, India na nyinginezo ambazo wanaamini sana kwenye laana, baraka na karma watu hata hawarudishi wallet au kitu cha mtu wakiokota, zimejaa dhuluma, wizi na upuuzi wa kila aina.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hizo paragraph mbili za mwisho kuhusu jamii za watu wanaorudisha vitu vya watu vinavyopotea nafikiri ni suala la high trust societies vs low trust societies. Jamii ambazo watu wakiokota mali au pesa wanamtafuta mwenyewe, watu hawauani hovyo, hawadhulimiani hovyo n.k ni jamii ambazo ni high trust societies, watu wanaishi hivyo bila kujali au kufikiria kabisa mambo ya karma, laana na baraka mfano nchi za Scandinavia na nyingi za Ulaya ambazo kwanza hata wananchi wengi ni atheists tu, ukija kwenye low trust societies na masikini kama za Africa, Pakistan, India na nyinginezo ambazo wanaamini sana kwenye laana, baraka na karma watu hata hawarudishi wallet au kitu cha mtu wakiokota, zimejaa dhuluma, wizi na upuuzi wa kila aina.
Ndiyo maana nikaanza kwa kusema karma kama law of nature au thawabu unayopata kutoka kwa Mungu haipo.

Ila, karma kama mambo mazuri kuweza kukutokea kutokana na mazuri unayoyafanya katika jamii, kwenye jamii ambayo inaweka msisitizo kwenye kufanya mambo mazuri (ambayo ndiyo hiyo high trust society) ipo.

Karma kimsingi ni "if you do good, good will come to you, and vice versa".

Wewe kutokuwa jambazi kunachangia wewe kuishibkatika jamii ambayo ujambazi si kitu cha kawaida, na wewe kutoingikiwa na majambazi.

Wewe ujianza kuhalalisha ujambazi, polepole jamii ikaukubaki ujambazi, basi hata wewe siku moja itaingikiwa na majambazi.

Kwenye high trust society hii ipo, ndiyo imejengewa mambo mengi, kuna norms, kuna sheria, kuna integrity, kuna fairness. Kimsingi ni mfumo wa karma uliotengenezwa na watu badala ya mfumo wa karma wa natural law au hukumu ya Mungu.
 
Ukiona mtu amekuwa chizi fahamu hata wasingepewa hizo laana wangekuwa machizi tu.
Hata wangebarikiwa na hao wazazi wao wangekuwa machizi tu.
Aya bhana ila usitende mabaya mabaya wazazi wako ukitegemea hakuna laana kikulambe!
 
Yupo huko kwenye mawazo yako ya kufikirika.

Kiuhalisia hayupo na wala huwezi kuthibitisha yupo.

Hakuna Mungu, Hakuna shetani hakuna uchawi.

Hakuna baraka, hakuna laana. Hakuna karma.
Mungu yupo, baraka na laana zipo ila uchawi ni michezo ya akili
 
Back
Top Bottom