Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

Maisha yetu wanadamu yanasiri kubwa mnoo, pia nimeamin tumeumbwa kwa mioyo yenye chuki na husda, hii ni baada ya kufanya uchunguz takriban wa miaka minne nimegundua katika swala la mafanikio hakuna mwema, labda tu (mama yako mzazi).
Hili limejidhihirisha kwa marafiki zangu wa karbu, ambao tume husttle pamoja kwa muda mrefu ,lakin linapokuja suala la maanikio yangu wameoneshwa kutopendezewa kabisa na wengine kushindwa kuficha hisia zao na kuaonesha chuki za waziwaz kwangu au kufuta urafiki kabsa.
SOMO:-
i/Tambua hakuna anaependa umpite kimaendeleo au uwe na mafanikio makubwa kuzidi ww, chakufanya Pambana kwa siri sana mpaka pale utakapo fanikiwa waone wenyewe kwa macho yao
ii/Epuka kuweka mipango yako/mfumo(USIRI) wako wa kimaisha kwao, maana ni sawa na kuuza raman ya vita kwa adui yako
iii/Usimpe faida mtu asiye kupa faida katika maisha yako
iv/Soma tabia za marafiki / ndugu zako ili ujue unaishi nae vipi ili asiwe kikwazo katika njia yako ya mafanikio
v/Epuka kutumiwa kama daraja la mafanikio ya wengine hapa ni kuwa mtu wa kutoa ushaur sana au kupanga mipango ya mafanikio kwa kushirikisha hawa wasio wema kwako
vi/HAKUNA MWEMA KWENYE MAISHA YAKO.
mkuu kweli kabisa usemayo,, mda mwingine hata mpenzi wako anaweza akawa anakuonea wivu pale unaposonga mbele
 
pia umenikumbusha mbali sanaaaaaa, kuna kipindi nlikuwa na uhisiano na binti flani ambaye alinizidi kwa kila kitu kuanzi kipato na mengineyo,, cha ajabu nikiwa nampa michakato ya mm kujiongezea kipato akawa anasema napenda ubaki ivo ivo na umasikini wako ili wanawake wasikutamani,,

hicho ulichoandika umenikumbusha mkuu
 
Kuna wengine kila siku anapiga picha akiingia ofisini, anweka status za kazi hadi mood zake ktk mtandao hii unampa enemies kujua your tracks....siku ukianguka wanajua a to z yako kupiyia mtandao tuu
Niliacha kutumia mitandao kama FB baada ya kuona haina faida zaidi ya kujichoresha tu. Niligundua unatengeneza maadui wengi sana through pictures na status
 
Mkuu wewe umeleta hoja nyingine nzuri na iliosahauli, kuna baadhi ya wazazi ambao pia wanakuwa kikwazo cha mafanikio ya watoto wao kwa makusudi kabisa hata hao kina mama ambao kila mtu huonyesha kuwaamini asilimia nyingi..mifano hai ipo! muhimu ni kuwa makini zaidi na mtu yeyote linapokuja swala zima la harakati za kimafanikio.
Tena hawa ndio wanakuumiza vibaya sana.. Kwanza humfikirii kama ni mbaya wako ukilie na yeye anakusaidia ukiondoka anakuramba kisogo .. Siamini mtu zaidi ya mimi [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom