Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

Maisha yetu wanadamu yanasiri kubwa mnoo, pia nimeamin tumeumbwa kwa mioyo yenye chuki na husda, hii ni baada ya kufanya uchunguz takriban wa miaka minne nimegundua katika swala la mafanikio hakuna mwema, labda tu (mama yako mzazi).
Hili limejidhihirisha kwa marafiki zangu wa karbu, ambao tume husttle pamoja kwa muda mrefu ,lakin linapokuja suala la maanikio yangu wameoneshwa kutopendezewa kabisa na wengine kushindwa kuficha hisia zao na kuaonesha chuki za waziwaz kwangu au kufuta urafiki kabsa.
SOMO:-
i/Tambua hakuna anaependa umpite kimaendeleo au uwe na mafanikio makubwa kuzidi ww, chakufanya Pambana kwa siri sana mpaka pale utakapo fanikiwa waone wenyewe kwa macho yao
ii/Epuka kuweka mipango yako/mfumo(USIRI) wako wa kimaisha kwao, maana ni sawa na kuuza raman ya vita kwa adui yako
iii/Usimpe faida mtu asiye kupa faida katika maisha yako
iv/Soma tabia za marafiki / ndugu zako ili ujue unaishi nae vipi ili asiwe kikwazo katika njia yako ya mafanikio
v/Epuka kutumiwa kama daraja la mafanikio ya wengine hapa ni kuwa mtu wa kutoa ushaur sana au kupanga mipango ya mafanikio kwa kushirikisha hawa wasio wema kwako
vi/HAKUNA MWEMA KWENYE MAISHA YAKO.
Huu ni uchoyo uliopitiliza kwa nch za kiafrica tu ndio maana tunakufa na utajir wetu rohoni kwa kuhofia utashindwa

Mungu ndie anaepanga tu hakuna wa kukupindua kama ulipangiwa utakufa bila kujenga hata slop ya vyumba viwil hata ubane vp itaishia historia tu tuache fikra za kizamani na za kilozi
 
Maisha yetu wanadamu yanasiri kubwa mnoo, pia nimeamin tumeumbwa kwa mioyo yenye chuki na husda, hii ni baada ya kufanya uchunguz takriban wa miaka minne nimegundua katika swala la mafanikio hakuna mwema, labda tu (mama yako mzazi).
Hili limejidhihirisha kwa marafiki zangu wa karbu, ambao tume husttle pamoja kwa muda mrefu ,lakin linapokuja suala la maanikio yangu wameoneshwa kutopendezewa kabisa na wengine kushindwa kuficha hisia zao na kuaonesha chuki za waziwaz kwangu au kufuta urafiki kabsa.
SOMO:-
i/Tambua hakuna anaependa umpite kimaendeleo au uwe na mafanikio makubwa kuzidi ww, chakufanya Pambana kwa siri sana mpaka pale utakapo fanikiwa waone wenyewe kwa macho yao
ii/Epuka kuweka mipango yako/mfumo(USIRI) wako wa kimaisha kwao, maana ni sawa na kuuza raman ya vita kwa adui yako
iii/Usimpe faida mtu asiye kupa faida katika maisha yako
iv/Soma tabia za marafiki / ndugu zako ili ujue unaishi nae vipi ili asiwe kikwazo katika njia yako ya mafanikio
v/Epuka kutumiwa kama daraja la mafanikio ya wengine hapa ni kuwa mtu wa kutoa ushaur sana au kupanga mipango ya mafanikio kwa kushirikisha hawa wasio wema kwako
vi/HAKUNA MWEMA KWENYE MAISHA YAKO.
Hii ina apply pia kwa ndugu. Angalia nyakati za shida ndugu wengi hawataki hata kukusikia. Ukifanikiwa ndio wanaanza kuonekana.
 
Kinachosikitisha hizi tabia zipo hadi kwenye familia kuna hadi wazazi wanapenda ona watoto wao wanahangaika alafu wanajifanya wao ni manabii eti nilisema mimi nachukia sana Aina hizi za familia
Yani kweli kabisa ulichosema inasikitisha sana.
 
Kuna chuo nimesoma nimekutana na mambo ya ajabu sana ni chuo cha reli sasa field zao hufanyikia hapo hapo sasa sisi wa kada za ufundi wa locomotives tunafanyia katika karakana zao. Daah kuna baadhi ya mafundi unawaomba wakufundishe wanakataa wengine wanakudanganya alafu baadae wanaanza kuongea hawa hamna kitu kabisaa bora wanaotoka VETA ili hali mnajituma kwa bidii katika kazi mnaambulia majungu. Nilijifunza mengi locomotives ikifika ukianza kuandaa vifaa unaambiwa kihelele, ukiwa unasubiri mpaka uitwe unaambiwa mvivu wa kazi. Kimsingi maisha yana mambo mengi sana. Na ni kweli siyo kila unayekuwa nae karibu ni mwema.
 
Maisha yetu wanadamu yanasiri kubwa mnoo, pia nimeamin tumeumbwa kwa mioyo yenye chuki na husda, hii ni baada ya kufanya uchunguz takriban wa miaka minne nimegundua katika swala la mafanikio hakuna mwema, labda tu (mama yako mzazi).
Hili limejidhihirisha kwa marafiki zangu wa karbu, ambao tume husttle pamoja kwa muda mrefu ,lakin linapokuja suala la maanikio yangu wameoneshwa kutopendezewa kabisa na wengine kushindwa kuficha hisia zao na kuaonesha chuki za waziwaz kwangu au kufuta urafiki kabsa.
SOMO:-
i/Tambua hakuna anaependa umpite kimaendeleo au uwe na mafanikio makubwa kuzidi ww, chakufanya Pambana kwa siri sana mpaka pale utakapo fanikiwa waone wenyewe kwa macho yao
ii/Epuka kuweka mipango yako/mfumo(USIRI) wako wa kimaisha kwao, maana ni sawa na kuuza raman ya vita kwa adui yako
iii/Usimpe faida mtu asiye kupa faida katika maisha yako
iv/Soma tabia za marafiki / ndugu zako ili ujue unaishi nae vipi ili asiwe kikwazo katika njia yako ya mafanikio
v/Epuka kutumiwa kama daraja la mafanikio ya wengine hapa ni kuwa mtu wa kutoa ushaur sana au kupanga mipango ya mafanikio kwa kushirikisha hawa wasio wema kwako
vi/HAKUNA MWEMA KWENYE MAISHA YAKO.

haya ya kweli
 
Anayetaka ufanikiwe ni mama tu hao wengine wanaweza kuwa wanakuwekea vikwazo kwa siri wewe ukiwa haujui unaona kama wanakusapoti kumbe moyoni wanaumia
 
Kuna wengine kila siku anapiga picha akiingia ofisini, anweka status za kazi hadi mood zake ktk mtandao hii unampa enemies kujua your tracks....siku ukianguka wanajua a to z yako kupiyia mtandao tuu
Kumbe mbaya pia?
 
Back
Top Bottom