Nilimaanisha kwamba ukifanya mambo yako kimya kimya bila kuwa mbeambea na maisha yako hakuna atakaekuloga Mrkwa lipi mkuu
Nilimaanisha kwamba ukifanya mambo yako kimya kimya bila kuwa mbeambea na maisha yako hakuna atakaekuloga Mrkwa lipi mkuu
BINADAM wapende ila usiwaaminiMkuu wewe umeleta hoja nyingine nzuri na iliosahauli, kuna baadhi ya wazazi ambao pia wanakuwa kikwazo cha mafanikio ya watoto wao kwa makusudi kabisa hata hao kina mama ambao kila mtu huonyesha kuwaamini asilimia nyingi..mifano hai ipo! muhimu ni kuwa makini zaidi na mtu yeyote linapokuja swala zima la harakati za kimafanikio.
mh jamani mama hawezi fanya kitu kama hicho...hata baba pia...mzazi akufanyie hivo ili iweje? labda kama hajakuzaa yeyeWazazi siyo wote wanao penda mafanikio ya watoto.Akina Baba siyo wabaya kama Akina mama.Akina mama anaweza kubisha hodi mpaka kwa mganga ,changanya na unafiki wao hutagundua kabisa.
Kuna wazazi wapo hivyo Mimi nimeshawahi kuona usiombe yakukutemh jamani mama hawezi fanya kitu kama hicho...hata baba pia...mzazi akufanyie hivo ili iweje? labda kama hajakuzaa yeye
Wadhungu, wahindi, waarabu, wachina hao ndiyo wanakuua kabisa kwa sababu ya uwivu!naunga mkono hoja, tabia unazozilalamikia tunazo sana sana WAAFRIKA aka ngozi nyeusi.
ni watu wanafki hatari
Respect no trustBINADAM wapende ila usiwaamini
Wadhungu, wahindi, waarabu, wachina hao ndiyo wanakuua kabisa kwa sababu ya uwivu!
Jifunze ku jithamini!
Alaaa!
Umenikimbusha mbali sana kuna jamaa wakati tupo chuo aliwahi nipa class mark (/namba ya kitab) ya uongowaafrika wengi ndo tuna tabia hiyo sana ya kutotakiana mafanikio! mfano chuo /shule unakuta mtu ana materials au projects nzuri ambazo kazidownload kutoka katika internet! Ila anaona taabu kumpa na mwenzie anufaike (au kumwachia mwenzie pindi YEYE ANAPOHITIMU MASOMO) kisa et kwa kuwa yeye kahaso/katumia gharama kuzitafuta. Mbaya zaidi anasahau kuwa wasingekuwepo wenye roho nzuri wakaweka hayo material /au projects ktk internet kwa ajili ya wengine kUtumia free ,basi na yeye asingepata. YAAN mtu anakuwa mchoyo hata kwa vitu ambavyo kapata free kutoka kwa wengine.
Ngozi nyeupe wangekuwa wachoyo au wenye roho mabaya kama sisi ,sidhani kama teknolojia ingekuwa imefika hapa !
Wao huwa wanamtindo wa kuachiana project ili wengine waendeleze. AISEEEEE ni shida sana. ALLAH NDO MTEGEMEWA (wallahu musta'anu)
Kweli nmeona Wazazi wakisnichi kijana wao asifanikiwe live kabisa sijasimuliwaKuna wazazi wapo hivyo Mimi nimeshawahi kuona usiombe yakukute
Much respect sana kwenye comment yako ulichesema ndio unaniongelea mimi sasa inauma lakini only God's know.undugu hamna siku hizi,mama yako ndiye anapendezwa na wewe kwenye kufanikiwa kwako, hawa wengine wapo bize na familia zao tu wamejaa chuki na roho mbaya japo ni vigumu kukuambia direct but ukiwa na upeo ni rahisi sana kuwaona
ili iweje sasa...labda kama hamjazaa yeye...maana mafanikio ya mtoto ni ya mzazi pia...Kweli nmeona Wazazi wakisnichi kijana wao asifanikiwe live kabisa sijasimuliwa
ili iweje sasa...labda kama hamjazaa yeye...maana mafanikio ya mtoto ni ya mzazi piaKuna wazazi wapo hivyo Mimi nimeshawahi kuona usiombe yakukute
Mimi in mwaka wa NNE sasa situmii fb, isipokuwa Mara chache sanaNiliacha kutumia mitandao kama FB baada ya kuona haina faida zaidi ya kujichoresha tu. Niligundua unatengeneza maadui wengi sana through pictures na status
Mh kaka huyo wako kiboko. Wangu alitaka niache chuo niishi nae.. akijua kabisa nitabaki kitaa sina raman. Nikakataa kabisa. Baadae alipoona nimemzidi kila kitu akanitema lakin nilishukuru Mungu maana iila ninachofanya alijitahid sana kunirudisha nyuma.pia umenikumbusha mbali sanaaaaaa, kuna kipindi nlikuwa na uhisiano na binti flani ambaye alinizidi kwa kila kitu kuanzi kipato na mengineyo,, cha ajabu nikiwa nampa michakato ya mm kujiongezea kipato akawa anasema napenda ubaki ivo ivo na umasikini wako ili wanawake wasikutamani,,
hicho ulichoandika umenikumbusha mkuu
Duh kuna ukweli hapaWazazi siyo wote wanao penda mafanikio ya watoto.Akina Baba siyo wabaya kama Akina mama.Akina mama anaweza kubisha hodi mpaka kwa mganga ,changanya na unafiki wao hutagundua kabisa.
Nashukuru this time sipo interested kabisa na mitandao ya kijamii. Natumia WhatsApp just kwa kuwasiliana hasa nikiwa mbali na bongoMimi in mwaka wa NNE sasa situmii fb, isipokuwa Mara chache sana
Mmhh jaman unataka uniambie Luna wazazi wakkiume hawafurahii mafanikio ya watoto wao??Ukweli mtu. Anaefurahia mafanikio yko ni wazazi wako hasa mama
hapo huenda mkeo na mama kimenuka, au umemkana mama au baba,, hapo ndo yale mambo ya radhiKuna wazazi wapo hivyo Mimi nimeshawahi kuona usiombe yakukute