Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

Mh kaka huyo wako kiboko. Wangu alitaka niache chuo niishi nae.. akijua kabisa nitabaki kitaa sina raman. Nikakataa kabisa. Baadae alipoona nimemzidi kila kitu akanitema lakin nilishukuru Mungu maana iila ninachofanya alijitahid sana kunirudisha nyuma.
nilipaki bus,
 
Maisha yana mengi ya kujifunza kila iitwapo leo,maisha ni siri kama kilivyo "kifo",binadamu si mtu wa kumtegemea moja kwa moja katika kufanikisha malengo yako/kuanza hatua mpya ya maisha,..

Lakini pamoja na hayo tunaye Mungu ambaye ni muaminifu,tena si kama binadamu hata aseme uongo...tumtegemee yeye kwa kila jambo na kwa kila kitu,ili atuoneshe njia sahihi na watu sahihi kwa wakati sahihi.
KABISA!!!!
 
naunga mkono hoja, tabia unazozilalamikia tunazo sana sana WAAFRIKA aka ngozi nyeusi.
ni watu wanafki hatari
Wengi hatutumii hii formula
7256710d786eee9a18731f588730c937.jpg
 
Back
Top Bottom