Hakuna aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe

TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Haiwezi thibitika kwamba hizi pesa zimefanyiwa kitu gani mkuu maana serikali ilipewa siku 21 ku justify pesa inetumika kwa matumizi gani na kwa namna gani? Lakini ilishindwa kutoa majibu watanzania hamko makini kufatilia utaratibu wa matumizi ya pesa za umma kama alivyofafanua mama mtumishi wa LAAC na PAC kwa maelezo xaidi cheki page ya mange ya instagram kila kitu kipo wazi kama hauna instagram nenda youtube maana mjadala wa CAG ushafungwa kwa kutokupewa justification ya hizo pesa
 
nimemsikiliza slow slow alipomjibu ZZ "baba atakayemwoa mama yako baada ya baba yako unatakiwa kumuheshimu kama baba yako" kwa namna hiyo utapata majibu yenye kueleweka
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Mbona haiwi makosa katika kumsifia?Ukikubali sifa ukubali na kukosolewa labda uwe Almighty Allah.
Mheshimiwa Rais ana nia njema lakini je wanaomzunguka nao wana nia njema kama yake?
Ukweli ni kuwa anasaidiwa kufanya "house cleaning".
 
mi nadhani watanzania wanachotaka ndio icho kusikia na wanaombea zisiwe zimepotea kishambaaa, ..magufuli ndio raisi ulitaka anyoshewe mkono nani sasa mbona JK alinyoshewa hadi miguu kwene ufisad wowote ule ndani ya hii nchii huu is magufuli..swala wajibu tu hoja basi
 
Haya Zito kashinda na kawa rais wa makalai

Wewe ndio zwazwa haswa hoja ya maana unailetea utani si bora ungekaa kimya kama mwenye kufuja hizo hela angalao. kukaa kimya ni hekima sana
 
Majibu yamekwisha tolewa na Kafulila na Polepole. Kwa kuwa wewe na wenzio ni robot mtaendelea kuulizia mpaka mje kuwekewa CD nyingine. Hilo tunalijua karibu CD itaanza ku scratch
sasa mbona Polepole hajajibu chochte juu ya hizo pesa atakafulila kajibu jibu kama anabashiri tu,.nadhani mtu wa serikali ndio mwenye nafasi nzuri ya kujibu sio kafulila na polepole ndo maana weshindwa kujibu maana sio watendaji wa serikali hawa
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Siku 21 maafisa masuhuli walishindwa kumuonesha cag wapi pesa ipo saiv wataweza?mjadala umehamia bungeni huo walishindwa kulitatua
Screenshot_20180419-125450.jpg
 
Majibu yamekwisha tolewa na Kafulila na Polepole. Kwa kuwa wewe na wenzio ni robot mtaendelea kuulizia mpaka mje kuwekewa CD nyingine. Hilo tunalijua karibu CD itaanza ku scratch
Kwa hiyo kafulila na pole pole hao ndio wenye mamlaka ya kujibu hilo swali??
 
TUNAWEZA KUWA NA HOJA YA MSINGI SANA KUHOJI JUU YA HIZI PESA ILA TUNAKOSEA KUMNYOOSHEA MAGUFULI YA KWAMBA HIZI PESA kaweka mfukoni mwake hapa tu ndipo tunapokosea.....And what if ikithibitika hizi pesa HAZIJAFANYIWA MCHEZO BWOWOTE MCHAFU kama WENZETU upinzani WANAVYOTUMIA NGUVU NYINGI kutuaminisha hivyo???
Mkuu, mpaka wathibitishe ndiyo tutaamini. Yeye kama boss kwa sasa ni lazima aubebe msalaba

Mbona wakati wa sifa anapewa yeye halafu kwenye lawama anatafutwa wa kutupiwa!!
 
Mpaka sasa sijaona aliyeweza kujibu hoja ya Zitto Kabwe juu ya upotezu wa 1.5trilion zaid ya kumbeza, hii hoja ya upotevu wa 1.5trillion ni hoja ya kitaalamu Audit report ni ya Controllera and Audit General!

Inashangaza kwamba mpaka CAG anandaa final draft ya report serikali ilishindwa kueleza zilipo pesa za watz ni aibu na ni ufisadi wa hali ya juu tokea nchi hii ipate uhuru, kwa hali hii maisha ya watanzania yanaachaje kuwa magumu?

Hili jambo si la kisiasa hata kdg, ni swala linalogusa maisha ya kila mtanzania, wanaotetea huu ujinga ni watu wanaolinda nafasi zao na wanufaika wa huu mfumo mbovu wa serikali!

Tuache siasa, serikali ituambie 1.5 trillion za watanzania zimekwenda wapi?

ndugu.. kwani aliyoyaeleza polepole hayajakuingia akilini kabisa. cag katoa docment yenye kila kitu.. aliyoyasema zitto yamo na aliyasema polepole yamo. sasa ni kila mtu na uelewa wake.
 
Mbona haiwi makosa katika kumsifia?Ukikubali sifa ukubali na kukosolewa labda uwe Almighty Allah.
Mheshimiwa Rais ana nia njema lakini je wanaomzunguka nao wana nia njema kama yake?
Ukweli ni kuwa anasaidiwa kufanya "house cleaning".
Nia njema huoneshwa kwa vitendo. Huyo jamaa HANA nia njema.
 
Back
Top Bottom