You are as virgin as your room mate from A town lol
Asanteeee so ni bora mtu ukajilia ujana wako mapema zen kijua kikikaribia kuzama u change for the better
Hakunaaaaaaaa!!!!!! Yaani fooling your fellows ndo unaita PRIVACY!!!!!!!!???????? Aaaaaaah Wapi! Thats a Con na ni illegal!
Mambo yako ya ubishani nje ya mada siyataki! Nakutahadharisha!
... Na kama hakuna aliye msafi? Then relatively tunajisikia wote wasafiiiiii!!! Life goes on!!!
mmmh! ninachoweza kusema ni kwamba huwez kusema kisa mm ni mkosa basi niishi maisha ya kuwa mkosa hapana. na pia usiwe mtu wa kukosa nidham kwa makosa yako uliyotenda. so far kila mtu anahitaj privacy ya maisha yake, so siwez kukuhukumu eti kwasababu najua watu ni wakosa hapana.
nijuavyo binadamu yyte anapaswa kuwa na nidham hata kwenye makosa yake na ukiona huna nidham hiyo basi jua wewe huna maadili.
Kuna mimi mnayenifahamu,
Kuna mimi ninavyotaka mnifahamamu,
Kuna mimi ninavyojifahama (hapo ndipo kuna skeletons kibao)
Na Mimi halisi (Mungu anavyonifahamu) and what l am capabable of.
Hakunaaaaaaaa!!!!!! Yaani fooling your fellows ndo unaita PRIVACY!!!!!!!!???????? Aaaaaaah Wapi! Thats a Con na ni illegal!
Mambo yako ya ubishani nje ya mada siyataki! Nakutahadharisha!
How many skeletons do u have? lol
That's for me to know n for you to find out!
heri mimi bikra wa kiume nasubiri harusi yangu nijizindue
Kuna mimi mnayenifahamu,
Kuna mimi ninavyotaka mnifahamamu,
Kuna mimi ninavyojifahama (hapo ndipo kuna skeletons kibao)
Na Mimi halisi (Mungu anavyonifahamu) and what l am capabable of.
Nope...
i want to believe you are as perfect as you like people to see..
some skeletons are so scary lol
unaweza lose appetite moja kwa moja lol
Wengine kwa mineno yenu tu mshajitoa ubikira kabla hata ya physical test!
This applies without any shadow of doubt to muanzisha threadNope...
i want to believe you are as perfect as you like people to see..
some skeletons are so scary lol
unaweza lose appetite moja kwa moja lol
Kukopwa ki-mafia mafia jaman? Pretender wako wengi sana!ndo maana nakuunga mkono wengi wanazuga na kujikausha,bt deep inside they know what they wish n want!
I like people to think l am a sturbbon bit.ch, my sweet nature is for my son tu! LOL