HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

... I love this thread.. ...Its honest, I know God love it too!! AND knows that am a good single Man!!!
 
Nakuunga mkono mama,its true watu wanapenda sana ku-pretend!hebu niambie,unakutana na mdada,she told u she's saved,nasali kanisa flan nampenda Yesu nk nk,then at the end of the day anakuwa mchunaji/anakuchuna ki-mafia mafia!
Acha niseme mkasa wa karibun niliokutana nao,wkend ile ya christmas nilikuwa car wash ya maeneo flan ya mbez!nikamkuta mdada mmoja naye kaja kuosha gari,so katika kukaa pale kusubir magar yamalizwe kuosha si tukaanza ku-chat chat..akanambia anasali pale Efatha,she's saved nk!okwey nikasema fine,she will b innocent one,tukabadilishana na number.sasa drama zikaanza hapa,juz saturday nikawa napanda mbez,kama bahat akanisms akaniuliza mzima,nikamjib poa napita mitaa ya mbez,n she says,sorry can u buy engine oil for me n then ukifika hapa Jogoo unipitishie.nikamwambia poa,nikatafuta oil,nikamwambia nimepata hiyo BP premium oil for Tsh 60,000/.nikamuuliza ninunue,akajibu yes, its ok!nikanunua,sasa kufika mbezi nampa oil yake,u know what she says?thank you,I missed u so much,n just like that she left without refunding!mind u hatuna any relation/sijawah onyesha namtaka hata siku moja!if ur saved why taking people for granted?wokovu ndo unataka hivo?yaan nilichoka!

Hahahaaaaaaaa! MJINI MIPANGO!!!!!!! Umekopwa yakhe!! Angepataje hiyo OIL!!!!!!! Ciello kijana KAKOPWA HUKU!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Is this the same as 'fake it till you make it'?

It is to an extent, although a bit more complex than that.

If you "fake it until you make it" with a deceptive intent, obviously that's malicious and I do not endorse that.

I am looking at this from the point of view that total cleanliness/ transparency at inception is a quixotic goal, and any baby steps towards it are to be encouraged.

Kama watu wote wangeanika mambo yao yooote on the first date asilimia kubwa sana ya relationships zisingewezekana.

People have a right to privacy, as much as guided and reasonable transparency remain a key issue. There is balance somewhere.

You can't bee too open too quick as that tends to scare people away no matter who you are. On the other hand, you can't be too deceptive as that will ruin the good faith in a relationship.
 
It's okay not to be msafi since we are all "not wasafi", the more important point is direction. Unatoka kwenye kutokuwa msafi kwenda kutokuwa msafi zaidi au unaelekea kwenye usafi zaidi?

it's also okay kuzuga usafi kwa sababu kuzuga usafi kunaonyesha mtu angalau ana haiba ya kibinadamu ya kutaka kuonekana msafi.

Kuna tofauti kati ya mtu ambaye hajaoga halafu kapiga perfume na kuosha kwapa na kupiga deodorant na mtu ambaye hajaoga wala kunawa uso, na hajali.

Wote hawajaoga, lakini huyu aliyeosha kwapa na kupiga perfume na deodorant angalau anajitahidi asiwe outright offensive.

uko sahihi sana Kiranga, yapaswa tutambue kwamba sote tu watenda dhambi na tumepungukiwa na tukufu wa Mungu, lkn pia kwa kuwa wadhambai kwetu hakutufanyi tupite kifua mbele kwamba sasa mm ni mdhambi hapana.

kwakufanya hivyo inamaana unakuwa unawashuhudia wenzio nao wawe watenda dhambi kama wewe ama la unataka kuonyesha kwamba wewe huna aibu juu ya dhambi uzitendazo.

istoshe wapo watu wengi tu wasafi na hawa huwa nasema labda hawajakutana na mazingira ya kuwa wadhambi ila wakikutana anayo lazima wadondoke dhambini. hapa usafi tusiuone kwenye ngono tu bali kwenye kila eneo la maisha. manake tukisema kwenye ngono tu wapo wengi watakao tushinda kwa kipengele cha kuweza kuikimbia zinaa lkn kwenye vipengele vingine vya maisha wakawa poor.

mwnadamu yyte aliye mkamilifu anategemewa sana awe na nidham sana hata kwenye makosa yake binafsi na ukijiona kwamba huna nidhamu hata kwenye makosa basi jua wewe huna maadili.(teacher's philosophy RIP Dr Mbele)
 
Last edited by a moderator:
hana hata moja lol
wewe nae i doubt it huna zoote lol

HAHAHAAAAAA! MPE MPE HUYO!!!!! MKUKI KWA KITIMOTO !!!!!!!

Hata wewe mkuu The Boss HUNAAAAAAAA!!!!!!! BISHAAAAAAAAA???????
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaa! MJINI MIPANGO!!!!!!! Umekopwa yakhe!! Angepataje hiyo OIL!!!!!!! Ciello kijana KAKOPWA HUKU!!!!!!!!

Kukopwa ki-mafia mafia jaman? Pretender wako wengi sana!ndo maana nakuunga mkono wengi wanazuga na kujikausha,bt deep inside they know what they wish n want!
 
Last edited by a moderator:
Siku hazigandi by jide aka binti machoz....nadhani hamuyajali maumivu yangu moyoni na wala hampendi kwangu yatokee mazurikila mtu ana dhambi usijihesabie haki, hakuna aliye msafiiii
... Na kama hakuna aliye msafi? Then relatively tunajisikia WOTE wasafiiiiii!!! Life goes on!!!
 
Hornestly huu ni ukweli mchungu.
"
Mimi sio muumini sana wa ku-dig past ya mpenzi wangu,ninaamini katika kubadilika.
"
Usikubali jana ikuamulie leo iweje.
Maisha yana vibwanga vyake,walio wasafi wanachafuliwa na wachafu.
"
Sijui tutajificha wapi!

HAPO NDO KUNA UNFAIR GAME!!!!!!!!!!!

Mimi ndo maana IM DOING MY WORST NOW NA KUENJOY THE GOODIES MAKSUDIKALLY BUT ILL CHANGE TRUST ME AND GO FOR THE BETTER!!!!!!!!!

We unajitunzaaa mwenzio kajiachia achia na kuchafua chafu kila mahali! Kaenjoy IRRESPONSIBLY afu mnadai PAST HAIZINGATIWI?????????? NANI KASEMA??????????????

PAST MUHIMU SANA KWENYE KUJUA FUTURE!!!!!!!
 
Haahahaaaaaaaa! Ticha im way past that Illusion!!!!!! Msamaha is an Illusion so as kumfanya mkosewa Dillusional asiweze kuelewa facts na trics!!!!!!!!

Utu uzima huu ukifanya kitu ume intend 100% and you only ask forgiveness so as not to face the Consequences of your Actions!!!!!!!! Woga tu ule wa kudance the tune ya playin ndo unafanya watu wa apologise in the firts place!!!!!!! PEOPLE SHOULD PAY FOR THE CRIMES THEY COMMIT AGAINST OTHERS!!!! PERIOD! Ndoo maana WAKOSEFU HAWAOMBI MSAMAHA UNTILL UWAKAMATE READY HENDED NDO INAKUWA NO WAY OUT SASA INAKUWA IF YOU CANT COMVISE ME! COMFUSE ME!!!!!!! Ndo mtu anaanza kujifanya kujuta Blah! Blah! Blah!!!

For Instance CHEATTING!!!!!

Umemuona a guy Hot! Ukatamani, you made a CHOICE ya kumpa ubuyu wako!!!!! Then
ukanogewa!!!!! Mumeo akikifumania ndo unaanza ooh! Im so so sorry! Nisamehe! Hizo zote unampa ILLUSIONS ili wae Dellusional asikuache!!!!!! ILA UTAMU WA KUCHEAT UMEUFAIDI WEEE AND THAT CANT BE UNDONE!!!!! CAN IT??????

mmmh! ninachoweza kusema ni kwamba huwez kusema kisa mm ni mkosa basi niishi maisha ya kuwa mkosa hapana. na pia usiwe mtu wa kukosa nidham kwa makosa yako uliyotenda. so far kila mtu anahitaj privacy ya maisha yake, so siwez kukuhukumu eti kwasababu najua watu ni wakosa hapana.

nijuavyo binadamu yyte anapaswa kuwa na nidham hata kwenye makosa yake na ukiona huna nidham hiyo basi jua wewe huna maadili.
 
Asanteeee so ni bora mtu ukajilia ujana wako mapema zen kijua kikikaribia kuzama u change for the better
kukopwa ki-mafia mafia jaman? Pretender wako wengi sana!ndo maana nakuunga mkono wengi wanazuga na kujikausha,bt deep inside they know what they wish n want!
 
It is to an extent, although a bit more complex than that.

If you "fake it until you make it" with a deceptive intent, obviously that's malicious and I do not endorse that.

I am looking at this from the point of view that total cleanliness/ transparency at inception is a quixotic goal, and any baby steps towards it are to be encouraged.

Kama watu wote wangeanika mambo yao yooote on the first date asilimia kubwa sana ya relationships zisingewezekana.

People have a right to privacy, as much as guided and reasonable transparency remain a key issue. There is balance somewhere.

You can't bee too open too quick as that tends to scare people away no matter who you are. On the other hand, you can't be too deceptive as that will ruin the good faith in a relationship.


Hakunaaaaaaaa!!!!!! Yaani fooling your fellows ndo unaita PRIVACY!!!!!!!!???????? Aaaaaaah Wapi! Thats a Con na ni illegal!

Mambo yako ya ubishani nje ya mada siyataki! Nakutahadharisha!
 
Back
Top Bottom