Labda za ndimu na limao....hahahahah asanteeee, ila The Boss kuna bikra nyingi ujue ...hahahahah
Hio mitatu ni LITERATURE REVIEW TU!!!!!!!! Tukitoa yote si JAMVI HALITOTOSHA HILI!!!!!? Hio ni kama Sample ya kurepresent evidence!!!!!!! Siku hizi Thread kama unaandika Research Paper!!!!!!!!!
That until that day The dream of lasting peace,
World citizenship
Rule of international morality
Will remain in but a fleeting illusion to be pursued,
But never attained -
Now everywhere is war - war.
Then you must be one ugly human being,never noticed!!!!!cause through experience nimeona wengi wakikanusha doing this not knowing watu tuna first hand informationNONE AND I AM SHOUTING FROM ROOF TOPS AND I CROSS MY HEART AND SWEAR TO MY ALMIGHTY GOD!!!!!!!!! Sijawahiiiiiii!!!!!!!! Sasa usipoamini tena basi! Ila jadili mada mkuu mimi ni kama bahari siishiwi Maajabu mapya!!!!!!!!!
lara 1 mbona sample size yako ni ndogo sana??
hivi wafikiri kweli kwamba hakuna watu wasafi, na je vipi kuhusu wale ambao huwa wanakosea na kutambua kwamba wamekosea na kunyanyuka kisha kujipanga upya??
so far kwa hayo uliyoyasema hapo sioni mahali ambapo nitaweza kugeneralize kwamba hakuna aliye msafi, ingawa nina admit kwamba kila mtu ana weakness yake na upande huu wa pili ni kawaida kwa binadamu yyte kutokutaka uonekane manake hata mbingu na nchi zitakushangaa.
anyway hivi unajua kukosea is a way and not a destination??Hahahaaaaaa! Hapo nimetoa ya wa UMRI wangu tuu na madogo! Ya WATU WAZIMA KAMA OFISINI NIMEYASITIRI NI BALAAAAAAA!!!!!! YANGEGEUKA GUMZO!!!!!!!
Tena hao unaosemea wa kukosa na kutambua makosa yao ni WANAFIKI OF THE HIGHEST DECREE!!!!!!!! Yaani ukosee, ufaidi utamu wote na the goodies za kukosea wenzio, then you got no shame at all!!!! None at all!!!! You are shameless enough kuwaface wale wale victims wako na kuwazuga na VIMANENO VICHACHE NA KUJIFANYA YOU DIDNT INTEND TO!!!!!! AS IF THOSE WORDS WILL UNDO WHAT YOU DID, AND MAKE EVERYTHING ALRIGHT!!!!! As is Nothing happened!!
BULLSHIT!!!!!!! It Hapened and its your fault! Be brave Take responsibility!!!!!!! Every mistake begins with a Choice!!!! If I make a choice that i end up regrating i pay for my crimes and try to compensate my victims!!!!! Tena sijikaushi as if nothing happened!!!!!! Things never get back to being the same!
Then you must be one ugly human being,never noticed!!!!!cause through experience nimeona wengi wakikanusha doing this not knowing watu tuna first hand information
It's okay not to be msafi since we are all "not wasafi", the more important point is direction. Unatoka kwenye kutokuwa msafi kwenda kutokuwa msafi zaidi au unaelekea kwenye usafi zaidi?
it's also okay kuzuga usafi kwa sababu kuzuga usafi kunaonyesha mtu angalau ana haiba ya kibinadamu ya kutaka kuonekana msafi.
Kuna tofauti kati ya mtu ambaye hajaoga halafu kapiga perfume na kuosha kwapa na kupiga deodorant na mtu ambaye hajaoga wala kunawa uso, na hajali.
Wote hawajaoga, lakini huyu aliyeosha kwapa na kupiga perfume na deodorant angalau anajitahidi asiwe outright offensive.
unafikiri anayo ipi?
We unayo yeyote? Lol
Hahahaaaaaa! Hapo nimetoa ya wa UMRI wangu tuu na madogo! Ya WATU WAZIMA KAMA OFISINI NIMEYASITIRI NI BALAAAAAAA!!!!!! YANGEGEUKA GUMZO!!!!!!!
Tena hao unaosemea wa kukosa na kutambua makosa yao ni WANAFIKI OF THE HIGHEST DECREE!!!!!!!! Yaani ukosee, ufaidi utamu wote na the goodies za kukosea wenzio, then you got no shame at all!!!! None at all!!!! You are shameless enough kuwaface wale wale victims wako na kuwazuga na VIMANENO VICHACHE NA KUJIFANYA YOU DIDNT INTEND TO!!!!!! AS IF THOSE WORDS WILL UNDO WHAT YOU DID, AND MAKE EVERYTHING ALRIGHT!!!!! As is Nothing happened!!
BULLSHIT!!!!!!! It Hapened and its your fault! Be brave Take responsibility!!!!!!! Every mistake begins with a Choice!!!! If I make a choice that i end up regrating i pay for my crimes and try to compensate my victims!!!!! Tena sijikaushi as if nothing happened!!!!!! Things never get back to being the same!
tupo tulio wasafi asubuhi nimeoga na jioni nimeoga na nguo zimefuliwa na pasi juu but you can not fight against nature
anyway hivi unajua kukosea is a way and not a destination??
mm huwa hata sikumoja mtu hakosei nikamnyooshea kidole kwamba u mkosa, manake siamini kwamba hata mm ni msafi kiasi hicho. and so far huwa namna mtu nafasi ya kujisahihisha na ninaamini katika kujisahihisha makosa yako mwenyewe.
mfano mm hata kama nimekosea naweza kuyakiri makosa yangu kwa mtu husika na kisha kuendelea na safari yangu, na huwa sitojali mtu anasemaje juu ya kosa langu hili. manake hakuna aliye msafi kiasi hicho. ila i cant air out that someone is wrong doer while i myself am not perfect, and i should not use my weaknesses to justify, possibility of others being the same as me.
Hahahah kwani wewe wajua anayo ipi??
Niliyo nayo mimi waitakini?? Wataka kuichomoa???