Excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 19,745
- 10,077
Inasikitisha sana!
Huyu ni kijana msomo kabisa tena elimu ya sheria kutoka chuo kikuu cha Nairobi. Ni mmoja kati ya wale magaidi wa Al shabaab waliopoteza maisha ya watu 147 katika chuo kikuu cha Garissa.
Bado najiuliza swali,
Hivi hawa watu huwa wanalishwa nini mpaka wanafanya haya? Pamoja na kuwa na elimu kubwa hivi lakini kashawishika?
Is it religion matters or what?