Hakijaeleweka bado

Hakijaeleweka bado

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
1417289705998.jpg
 
Na tatizo lingine ni kwamba gesti zilikuwa adimu sana zamani zile, hata kikieleweka kulikuwa na changamoto ya uwanja was mechi
 
Na tatizo lingine ni kwamba gesti zilikuwa adimu sana zamani zile, hata kikieleweka kulikuwa na changamoto ya uwanja was mechi

kwani hata hapo hapo porini si panafaa sana tena hata hakuna gharama ya kulipia.
 
Na tatizo lingine ni kwamba gesti zilikuwa adimu sana zamani zile, hata kikieleweka kulikuwa na changamoto ya uwanja was mechi

Hakuna changamoto hapo kilieleweka tu poa, kwani wakuu wa usalama barabarani hukuwaona wakifanya yao?
 
Ila kuna hatari za wanyama wadudu miba na kupigwa chabo

Mwanadamu alipewa hadhi ya utawala juu ya kila kitu, hata baada ya kumkosea Mungu wanyama huwa wanatustahi hasa pale tunapoamua kufanya faragha ya kuitumia zawadi tuliyopewa na Mungu katika mazingira kama hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom