Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
mi nafikiri alihitaji housegirl, na siyo mke. mi namshauri ampe talaka halafu atafute hg.
umeona eeeeh kwanza ukimsaidia mke wako kazi kazi inaongeza upendo kati yenu wengi hawajui hili
mi nafikiri alihitaji housegirl, na siyo mke. mi namshauri ampe talaka halafu atafute hg.
hapana hampo wengi
ni bahati sana kupata watu kama nyie possibility ni moja ya kumi waliojaaa huku ni aina ya mtoa mada
hyo tabia inaonesha ulimzoesha tangu mwanzo, asingekuwa kichaa yeye wakukurupuka na kukufanyia hvyo... Mwanamke anaisoma tabia na msimamo wako pale mwanzon mnapooana na atafanya kila kitu kulingana na ww ulivyo mzoesha. Mwanamke sawa na mtoto wa miaka miwili mpaka mitano. Anafanya yale unayotaka ww
ningekuwa mimi ningeenda kununua nyama.after all kitu gani kilikubana ukashindwa kwenda?
mwanamke atabaki kuwa mwanamke na majukum yake yanajulikana na mwanume vivyo hivyo hayo mengne ni kuhurumiana tu ila hapana ulazma
hapana hampo wengi
ni bahati sana kupata watu kama nyie possibility ni moja ya kumi waliojaaa huku ni aina ya mtoa mada
Mmh sijui, bt me nawaona ona na ndo nimesoma kwao
Utaibiwa kwa maneno matamu Wewe missnedy. Kuwa makini. Tofautisha maneno na vitendo.
wapo nakubali lakini wengi wetu tunawapata wanaopretend penzi likiisha utamu kila kitu kwishney
mi nafikiri alihitaji housegirl, na siyo mke. mi namshauri ampe talaka halafu atafute hg.
Juzi ilikuwa pasaka jamani, hapakuwa na ofisi wala chochote. Kupika kg. 1 ya mchele na nusu ya nyama inahitaji kusaidiwa??? Mazingira ya kusaudiwa yako wazi kbs na hayana utata. Wewe unachotetea ktk scenario hii ni nini hasa? Mrsleo.
huwa najiombeaSali sana tu miss neddy
umeona eeeeh kwanza ukimsaidia mke wako kazi kazi inaongeza upendo kati yenu wengi hawajui hili
natofautishaje sasa kwa mfano wako
Uzuri mm mume wangu alinielewa ni mtu wa aina gani toka hajanioa na ckuwahi ku pretend chochote i was really toka mwanzo akaridhika na mm akaniweka ndani hyo imefanya maisha yetu yawe rahisi mana hatuna surprises za tabia
huwa najiombea
naamini mungu atatenda
Bwana usitudanganye mtu hawez kukununia kisa kupika wali na nyama itakuwa kuna mengine may be toka jana yake alifanya sana kazi akaamka amechoka ww umeshindwa hata kumsaidia kwenda buchani kununua nyama au basi yy apike ww osha vyombo pia hukutaka
Kwa hali uliyonayo jitayarishe kwa mshangazo (surprises). Kama umeshindwa kutunza nyumba mkiwa wawili, nina wasiwasi utaweza kuitunza familia ikiongezeka. Nina wasiwasi huyo msaidizi anafanya kila kitu, hata usafi wa "mazingira yako na mumeo" na hiyo ni sumu katika ndoa yako. Haijalishi uwezo mlionao, majukum yaliyopo. Ni muhimu kuwa mama wa nyumba, ni lazima kuongoza nyumba yako...sasa kama unamuachia msaidizi mapema hivi...sijui
huwa najiombea
naamini mungu atatenda