Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
Hii research irudie tena brooo..
Nijuavyo Mimi mwanzoni wanajaribu kukutenga kisaikolojia na familia yako kisha kukufanya umsikilize kwa kila kitu asemacho na ukitende atakavyo. Thereafter reactions zako zinaweka mambo sawa na kuzoweana.
hujanielewa au umeelewa tofauti.... Usipoonesha msimamo wako ww kuwa kipi hupendi na kipi unapenda na unataka afuate yapi yeye ataanza na haya: mfano anakuomba umsaidie kuosha vyombo na kufua nguo ww unakubali hapo anakunote, sku nyingne atakuomba umsaidie kupika ukikubali ananote,, baadaye tena anaanza kukubembeleza umsaidie kaz mbalimbali ww ukikubali ndio anakuteka hvyo... Kwasababu hujaonesha msimamo wako. Lakn mm binafsi sijawahi kununiwa kwasababu anajua msimamo alishapewa maelekezo kitambo