nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
- Thread starter
- #121
anabariki juhudi zilizotokana na muongozo wake ulijue hilo
Km mwongozo upo, basi usijitume. Subiri wakati wako.
anabariki juhudi zilizotokana na muongozo wake ulijue hilo
Km mwongozo upo, basi usijitume. Subiri wakati wako.
Hahahaaaa..... group discussion zimewaharibu vyuoni. Hata thinking capacity ni ndogo kweli!!! Hope hujaolewa na nyumba ishakushinda mpaka hapo. Telecom Eng. Ninunuliwe nyama???? Heheheheeee.... I am always responsible.

najituma huku nikisubiri
ujue ndio maana ndoa nyingi znavunjika kwasababu ya hayo..... Mtu anajijua ni mwanamke na najua majukum yake halafu anakuja anabana pua et nimsaidie kupika ******* zima na kibao usoni nyamaf.... Kwa mtindo huo kwann housegirl na mchepuko wasichukue nafas
unayosema ni kweli na yaliwezekana kirahisi sana enzi hizo wanaume walipokuwa wana-play roles zao kama baba wa familia aka bread earners, na mke anakaa nyumbani. automatically, mama anajikuta anakuwa na role ya kutunza family.
waulize hawa wanaume wa siku hizi kama wanatimiza majukumu yao kama baba wa familia. wanataka mke akatafute hela, akitoka huko aje alee family. majukumu ya school fees, kununua chakula, ujenzi wagawane sawasawa na wake zao, ila ya nyumbani yabakie kuwa ya mke tu. waweza kuta mtoa mada hata hiyo hela ya nyama hakuitoa yeye, kaitoa mkewe
Duh! Telecom Eng. hongera kwa degree, ni ya kwanza nini mbona masifa kibao? anyway, kupitia thread yako, views zako khs family, na jinsi unavyomuelezea wife wako nimeiona jinsi thinking capacity yako ilivyo kubwa engineer
kwenye red! endelea kuhope kwamba sijaolewa na nyumba inanishinda
kwenye blue, to be a responsible husband is not a function of educational achievement/ profession.. Telecom Eng. has nothing to do with kununua nyama. Kuna watu hawana hata degree, lakini bado wananunua nyama.
Kudharau majukumu na wajibu wao ndio kitanzi chao wenyewe. Watazinduka SAA kumi jioni.... mercury (hg) aweze kazi , kwa nini wao washindwe na wote ni wanawake?! Basi wakubali uke wenza.
I love you ICHANA. Well said.
sasa hapo unanipeleka malkit mzee. Hyo mercury (hg) hata siijui. Wengne tumeishia la pili B
aisee!... Bora umeongea ukweli ambao wenzako wanaukwepa.. Nmekupenda buree
Hii ni theory zaidi. Mtu anajenga tabia kati ya umri upi? Wadada wengi wasomi huolewa kuanzia miaka 26. Anajifunza nini kwa mume?
^^
Bahati mbaya ni kuwa, ni theory ambayo si ya darasani bali itokanayo na uzoefu.. Ukioa mwanamke yeyote, hesabu siku 23 za mwanzo wa ndoa yenu ndipo mwanamke hujipenyeza aendane na wewe! Na hapa ndipo mwanaume utafanya kosa kubwa au mwelekeo uupendao maisha yako yote. Acheni maisha ya tamthiliya mrejee katika uhalisia wetu.

hii beigin imeleta shida zote hizi za kudai usawa, haya mambo hayakuwepo bana, sasa hata kazi zao wanataka tufanye kiza haki sawa, this is too much, usipofanya wanuniwa na huduma utaisikia kwa jirani. loh !!!