Haki sawa

Haki sawa

Mwambie huyo! na asubiri kunyonyesha tu, na siku mkewe akimwambia leo avae kitenge atavaa.

mwenzangu, huyu mtoa mada akazane na asilegeze hapo. Huyo bibie keshaanza kuleta tabia za ajabu nadhan hata hao wa haki sawa wanaosimama kwenye majukwaa hawasemi hayo wala kufanya nyumbani kwao
 
Aibu aibu..... nilimsema mpaka akanikoma Jana. Akapanga vitu vyake eti anarudi kwao. Nikamwambia akasimulie yaliyotokea bila kupotosha lolote, akaogopa na kurudi ndani....
Namuandalia somo lake LA wajibu wake wa ndani!!!

huyo anamapungufu kweli. Yaani kuambiwa ukweli ndo anataka kuondoka? Alikuwa anakubeep tu huyo ndo maana hakuondoka. Tena dawa ndo hiyo hiyo na usimsaidie kazi za nyumbani huyo. Hadi asahau hayo mawazo yake ya ajab ajab
 
Sizan kama alimka tu akawa na kaz ya kuosha vyombo na kununua nyama vikaz vya nyumban huonekana vidogo lakin huwa haviishi usipoangalia unaweza kujikuta hupumziki

kazi gani hizo za kukosa kupumzika au uchoke asubuhi hivyo? Tena wako wawili zao, loh. Tusitetee tu, mara nyengine tunazidi.
 
mwenzangu, huyu mtoa mada akazane na asilegeze hapo. Huyo bibie keshaanza kuleta tabia za ajabu nadhan hata hao wa haki sawa wanaosimama kwenye majukwaa hawasemi hayo wala kufanya nyumbani kwao

Mi ndo mwisho wa reli. Ataisoma namba.
 
Kwani angensaidia angepungukiwa nn lakn?

Huyu dada angu sijui mkurya au mchaga!!!! Kwa kupenda ligi za hoja hujambo. Hahahaaaa...
Msalimu mumeo. Natamani nimwone siku moja...
 
Huyu dada angu sijui mkurya au mchaga!!!! Kwa kupenda ligi za hoja hujambo. Hahahaaaa...
Msalimu mumeo. Natamani nimwone siku moja...

Shukuru hukunioa mie mana ungeivunja ndoa kabla hata ya kumaliza mwez
 
kazi gani hizo za kukosa kupumzika au uchoke asubuhi hivyo? Tena wako wawili zao, loh. Tusitetee tu, mara nyengine tunazidi.

kuna baadhi ya wanawake sijui wanawaza nn, yaan mwanamke mzima haoni hata aibu ananuna kisa hajasaidiwa kuosha vyombo au kupika!! Hvi kaz yake ni nn hasa? Aisee ningekuwa mm angekoma kuniropokea ujinga kama huo naamin angeshika adabu hata kama hakufundishwa na wazaz wake shiiiiiit!
 
Ashatulia. Nilimpa somo la kujitafakari akatulia.... nahisi makundi na kopi and pesti ndo shida alonayo.
 
Sio kweli. Mimi mbishi.... napenda challenge. Na ya ndani yanabaki ndani. Labda ungekimbia wewe

Thubutu hayo madogo tu umeyaleta hapa na mkeo akataka kurud kwao ukampa vitisho badala ya kumbembeleza yangu mie ndo usingeyaweza asilan
 
Thubutu hayo madogo tu umeyaleta hapa na mkeo akataka kurud kwao ukampa vitisho badala ya kumbembeleza yangu mie ndo usingeyaweza asilan

Hahahahaaa..... nimelileta hapa km funzo na sio vinginevyo dada angu
 
Back
Top Bottom