Magoigoi ya kike kuhusu haki sawa.

Magoigoi ya kike kuhusu haki sawa.

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
62,118
Reaction score
179,961
Afrika kuna magoigoi ya kike ambayo hata hayajui maana ya haki sawa 🤔

Ukiyaambia mwanamke kwenye haki sawa anatakiwa alipe , kwenye matumizi kwa haki sawa na mwanaume ananuna😅😅

Hii ni zaidi kwa wanawake wa kimatumbi ambao wanataka mfumo dume wa kuhudumiwa na huku wanataka haki sawa😅

Ndio hapa unazaliwa msemo wanawake hawajui wanataka nini 🤣
 
Mkuu,

Hizi ni hoja za kifalsafa tu au unaunganisha maumivu ya ulivyotendwa?
 
Back
Top Bottom