Cc Makiseo, Rebecca, n.k.Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia
Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume; bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao
Tukibeba vibaya maana ya ukweli ya haki sawa tutaishia kutengeneza jamii sio tuu ya wanaume wa ajabuajabu bali hata wanawake wa ajabuajabu
View attachment 2392857
Muwe na jioni njema
Kuna siku nilikuwa nawaambia wanawake kuwa kama wanapenda haki sawa basi wasiolewe
Kwenye ndoa hakunaga haki sawa,mwanamke lazima ukubali kuwa abiria
Sasa washauri wenu ni hawa walioachika kwenye ndoa saba, eti wanajiita super woman Sasa unategemea nini?Wazee wetu walikua na akili sana
Ila kizazi hiki sijui tunatengeneza jamii ya aina gani
Tatizo wapumbavu fulani huko kweny mitandaoya kijamii wanawadanganya haki sawa kisa wamesoma nje na wanajua kingereza ...ila wanakuja kuzeeka utawasahau . Elimu hazijawasaidia kabisa hamna haki sawa ndani ya ndoa.
Umenena vyema. Maana wanawake wengine wanataka tuwe kama waoWanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia
Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume; bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao
Tukibeba vibaya maana ya ukweli ya haki sawa tutaishia kutengeneza jamii sio tuu ya wanaume wa ajabuajabu bali hata wanawake wa ajabuajabu
View attachment 2392857
Muwe na jioni njema
Umenena vyema. Maana wanawake wengine wanataka tuwe kama wao
View attachment 2392906
Si ndo hapo sasa.... Sisi kazi yetu ni moja. Kuipambania familia kwa nguvu zote. Kwa hali na mali
View attachment 2392915
Na sisi hatuangalii sura, tunaangalia uwezo wa mwanaume kuwa mwanaume🤣👍
siyo ulaya tu, hata Tanzania ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya jambo hiliCc Makiseo, Rebecca, n.k.
Kiujumla huo utaratibu ndiyo chachu kubwa haswa ya ndoa nyingi kuvunjika, mfano ni Ulaya ambapo 60% ya ndoa za mikataba zimetaradadi sana.