- Thread starter
- #21
Ukikutana na mtu anajiita MLOKOLE TAMBUA UMEKUTANA NA MPUMBAVU SIYO MTAKATIFU.
Ngoja niwaite walokole waisiraeli wa kwetu goba huku:
Echolima1, kyagata, matunduizi kwa utambuzi.
Ukikutana na mtu anajiita MLOKOLE TAMBUA UMEKUTANA NA MPUMBAVU SIYO MTAKATIFU.
Ni ujinga na upumbavu kuweka mada ya Uchaguzi wa Tanzania na kinachoitwa Haki za wapalestina huu ni Ujinga na Upumbavu wa hali ya juu sana.Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi:
View attachment 3480327
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana:
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Tofauti ya wazi kabisa baina yao na wale wenye kuzihalalisha dhuluma au uharamia kwa sababu zozote wazi wazi, kunyamaza au kuifumbia macho haki!
"Ama kwa hakika, haki husimama wala haiwezi kuinama!"
Ni ujinga na upumbavu kuweka mada ya Uchaguzi wa Tanzania na kinachoitwa Haki za wapalestina huu ni Ujinga na Upumbavu wa hali ya juu sana.
Kwa wapalestina waliofanya mauaji ya kutisha Oct 07,2023 zaidi kabisa waliweza kuwaua kikatili Watanzania wenzetu wawili. Unyama wao huu hautasaulika kabisa kwenye mioyo ya watanzania wapenda Amani.
Ni ujinga na Upumbavu uliopindukia kusema kuwa wana haki waliua wayahudi 1,200 na kuwateka nyara wengine 251 kisha kuwaua Watanzania wenzetu wawili!!! Wote waliowaua waliwaona kuwa hawana haki ya kuishi Sasa sisi kwa nini tuwape wao haki wakati wao ni wauaji wakubwa??? Wafuga midevu na Majini tu ndiyo watawapa haki wauaji wenzao!!
Magufuli hakuuza bandari, mbuga na viwanja vya ndege lakini. Alikemea ufisadi waziwazi, huyu mama lini umewahi kumsikia akikemea ufisadi, zaidi sana anahamasisha watu wale kwa urefu wa kamba yao. Anayafanya kwa sababu this is not her country and we are not her people.Toeni hoja kwanza Ili tujibu hoja, kwanini mliichekea na kuikatia viuno ya 2019/2020 lakini mnajifanya kuikataa ya Sasa wakati ni ile ile?!!!!!!! Do you think we are not clever enough to figure out the reasons behind?!!!!! We are.