Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi:
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana:
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Tofauti ya wazi kabisa baina yao na wale wenye kuzihalalisha dhuluma au uharamia kwa sababu zozote wazi wazi, kunyamaza au kuifumbia macho haki!
"Ama kwa hakika, haki husimama wala haiwezi kuinama!"