Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

fanya hivii ako karafiki chako katoto kapotezee maana unaweza ukapata majanga labda akacheza ile michezo ya watoto kibaba baba akaaribiwa kwenye papuchi yake ukaja kamatwa ww..!kingine kaa mbali na huyo mtalaka wa watu maana hujui nini kitakachokupata x-hubby wake akijua
 
Mtu mzima haogopi mende chooni......mueleweshe kuwa huitaji mahusiano zaid ya hayo uliyokuwa nayo kwake!!!Short n clear bhana,be precisely.

Huyu inaonekana haelewi
Sijui hadi nimwambie kwa lugha gani!!
 
fanya hivii ako karafiki chako katoto kapotezee maana unaweza ukapata majanga labda akacheza ile michezo ya watoto kibaba baba akaaribiwa kwenye papuchi yake ukaja kamatwa ww..!kingine kaa mbali na huyo mtalaka wa watu maana hujui nini kitakachokupata x-hubby wake akijua

Nimekuelewa sana charty !!
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha vitoto vya siku hzi ni talented hivi huwa mnapiga story gani na haka kadogo ka miaka4 mpaka streess zikutoke

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
We mwanaume bwana.......cheza na akili yake tu!!!!

Ni kweli,lakini kumbuka this is not the matter of winning someone's love but run away from it

Naman ya ku deal na vitu hivi ni tofauti kabisa!
 
Inaonyesha vitoto vya siku hzi ni talented hivi huwa mnapiga story gani na haka kadogo ka miaka4 mpaka streess zikutoke

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

Unapokuwa na hivi vitoto huwa muda mwingi ni kutabasamu tu
Kumbuka ili uwezane navyo ni lazima wakati mwingine ufanane navyo kivitendo na kimaongezi
Bado hujaondoa stress tu?
 
Mzee wa ku assume bado unaendelea tu

Unaweza ukaja siku moja ku assume wewe ni mwanamke na ukataka waku do
Shauri yako!

Yamekuwa haya tena! Cha msingi acha hiyo tabia chafuchafu ya kurubuni watoto wa watu. Haiwapendezi wazazi na jamii. Ukitaka kuentertain watoto wadogo hakikisha unawachanganya na wakwako and give fun as a group, siyo msela anatoka from no where anaanza kuwapa watoto wa watu vijiazam halafu anakuja kufanya promo JF. Utafanywa hamna na wanaume wenye hasira. Shauri yako!
 
Ni kweli,lakini kumbuka this is not the matter of winning someone's love but run away from it

Naman ya ku deal na vitu hivi ni tofauti kabisa!

Cheza na akili yake.......sijamaanisha umpate bali kufikisha haja ya moyo wako!!!
 
Yamekuwa haya tena! Cha msingi acha hiyo tabia chafuchafu ya kurubuni watoto wa watu. Haiwapendezi wazazi na jamii. Ukitaka kuentertain watoto wadogo hakikisha unawachanganya na wakwako and give fun as a group, siyo msela anatoka from no where anaanza kuwapa watoto wa watu vijiazam halafu anakuja kufanya promo JF. Utafanywa hamna na wanaume wenye hasira. Shauri yako!

Inaonekana una matatizo makubwa sana ya kuelewa!!
 
Cheza na akili yake.......sijamaanisha umpate bali kufikisha haja ya moyo wako!!!

Dah!
Sasa nikianza hizi pilika si ndio nitaanza kumfikiria kitendo ambacho mimi sikitaki?
 
Ni gud kuwapenda watt but kuwa mwangalifu ucpende kukaa na mtt wawatu ucku ukizingatia ww ni single na khs mama ake subiri akwambie umchane live or kama kero punguza mazoea kbs
 
You are destined for troubles.....! Weee cheza tu vitoto vya watu.....! Watu watakugeuza mtaji sasa hivi, Kwa isssues kama hizo mahakimu hata hawana mda wa kukusikiliza utapigwa mvua 30 Remember mama yake ana motive wewe hutaki kumpa bata eeeh!
 
Back
Top Bottom