Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

That mama mtoto ana mtu mtaani kwenu nawewe una unamfahamu,Mtoto wake wa miaka mi nne ni rafiki yako sana, then anadai unapendeza sana kua baba wa mtoto. Ndomana nikakushauri kama nilivyo kushauri.

Bado sijaiona sababu ya wewe kufikiri kuwa mimi nilitumia hiyo trick ili kumpata mama yake huyo rafiki yangu

Sina kawaida ya kufanya hivyo
Na pia bado hujaielewa vyema mada!
 
Hahahahaaaa!
Hata mimi napendaga sana vitoto na vinanikubaligi sana. So, naomba nö ya mama katoto!

Unavipenda vitoto kwasababu unampango na mama zao?

Kama sio bado sijaiona sababu ya wewe kuhitaji namba ya mama katoto!!
 
kaka kwanza pole sana kwa janga hilo (maana hilo ni janga aisee). Sasa cha kufanya ni kukata huo urafiki na huyo motto IMMEDIATELY! Maana kama mama mtu mwenyewe ndio yuko walu walu namna hiyo , anaweza kukuzushia umebaka motto wake bure na akakublak mail uwe naye ili atunze siri..kuna watu akili zao zinawatosha wenyewe tu. Najua itakuuma kupoteza urafiki wako na huyo dogo lakini kwa usalana na heshima yako, ni bora usitishe kabisa urafiki huo. Pia usionekane km umewanunia au una kisirani Fulani, we kuwa kawaida tu ila KAA NAO MBALI......! huyo mtoto hata kama akijifunza matusi huko mtaani utasingiziwa wewe ndio unamfundisha. Kuwa makini mkuu.
Kwanza ninakawaida ya kuwapenda watoto sana bila kujali kama ni wa jinsia gani,kwangu nawakubali wote sana na wamekuwa marafiki wangu wa ukweli sana kwakuwa hawajui kupenda kwa masharti na wakikupenda wanakupenda ki-ukweli hasa

Sasa uswahilini kwetu kuna katoto kamoja ka miaka mi-4 hivi,jinsia yake ni ya kike huwa napenda sana siku nikiwa nyumbani au nikiwahi kurudi huwa nakaa nako na kupiga story nako sana na hunifanya mastress yangu ya kutafuta hela kuisha kama sio kupungua

Katoto haka kananipenda sana nami nakapenda sana kwani ni karafiki kangu sana,tatizo linakuja kwa mama yake,anadai kuwa inafika wakati wa usiku kanalia kaletwe kwangu nae anadai anakuwa hataki

Lakini tatizo kubwa zaidi ni kwamba huyo mama yake anadai eti napendeza sana kuwa baba yake huyo mtoto na anadai kwakuwa mtoto wake ananipenda nae ananipenda na ameanzisha visa wakati mwingine hukaleta hako ka rafiki kangu usiku wa saa 4 hadi 5 usiku akidai eti kanalia akalete nami huwa nakapokea na kukaa nako hadi kanapolala kisha nampa mama yake na kisha kuondoka

Mama wa haka karafiki kangu alikuwa ameolewa lakini ameachika kwa mumewe kwa sababu yule jamaa hakuwa ametulia

Sasa hizi vurugu zimekuwa zinazidi sana hadi naanza kukereka kwasababu sina mpango kabisa na huyo dada kwani ana mahusiano na jamaa mmoja hapa mtaani na nafahamiana nae sana

Naanza kuwaza kukakatia line kale ka rafiki kangu lakini roho inaniuma sana

Nimejaribu kumwambia aache tabia hiyo lakini naona kama nampigia mbuzi gitaa

Sijaamua kuchukua maamuzi yoyote hadi sasa lakini naona kama huyu dada ananiharibia urafiki wangu na huyu mtoto na hili sio halali na halikubaliki kabisaaa

Yaani hapa nina hasira sana na huyu mama wa rafiki yangu huyu na leo nikirudi nitakuwa nimeshapata dawa yake

Enyi akina dada hebu mtuache na hawa marafiki zetu na msituvurugie urafiki wetu bana!
 
Dah!
Huyu mtoto anaadhibiwa kwa makosa ya mama yake
Hii ni halali kweli?
 
akiona husomeki atasema umebaka katoto kake... Maana mbwai, mbwai tu....
 
Ukimkataa kuna siku atakusingizia kuwa umemnajisi mwanae... Unayaweza ya Yusufu wa kwenye bibilia wewe?...
 
Hivi mkuu,hujiulizi siku moja isiyo na jina likatokea bazazi likakanajisi katoto kale halafu likasepa bila kujulikana,unadhani suspect wa kwanza atakuwa nani?Unajua kesi kama hiyo huwa haiwasumbui sana mahakimu?Acha hii kitu na hakuna mtu atakayekuelewa eti kalikuwa karafiki kako siku likitokea lolote kama watu wasivyomwamini kapuya kuwa alikuwa anatoa tu msaada

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Tangu dawa za vvu ziwe zinapatikana bure, matangazo ya ukimwi kuwa upo na unaua yamepotea kabisa maredioni.
 
Stori yako inankumbusha mama Dani dah! Mtoto yule alinipenda sana na mim nilimpenda kama baba yake mzazi
 
Hivi mkuu,hujiulizi siku moja isiyo na jina likatokea bazazi likakanajisi katoto kale halafu likasepa bila kujulikana,unadhani suspect wa kwanza atakuwa nani?Unajua kesi kama hiyo huwa haiwasumbui sana mahakimu?Acha hii kitu na hakuna mtu atakayekuelewa eti kalikuwa karafiki kako siku likitokea lolote kama watu wasivyomwamini kapuya kuwa alikuwa anatoa tu msaada

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

CC: Tuko !!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom