Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

Khaaa!!!!!
Maua mengine hayanukii wala hayachanui...lol!!!!

Hahahahaaa!
Leave it!
...
Unajua nini kaka, UKARIMU unatucost sana sometimes!
Mi nna mifano miwili hai:
1 kuna mama mtu mzima tu (50s yrs) anapenda utoto sana, sasa mimi nilikua namsifia kiuongo uongo! "umependedha" "leo umeua" nk. Aaagh! Si aanze habari za kunitaka! Mpaka tajuuuta kumtania!
...
2 Chizi!
Nilimchukulia kama mtu mwenye akili timamu, sikumuonesha dharau au kumfanya ajiskie hana akili! Mmmh! Lol! Si aanze kutangazia watu eti mi mchumba wake!
...
Hiyo case yako ningekua mimi, ningeendelea na hako katoto vizuri tu but ningepunguza kwa kiasi kikubwa! Na nisingekubali aniletee usiku!
...
Sisi me ni dhaifu but hawa wenzetu wametuzidi!
Wanafall in love kwa vitu vidogo sana!
 
Stori yako inankumbusha mama Dani dah! Mtoto yule alinipenda sana na mim nilimpenda kama baba yake mzazi

Mkuu na mimi huyu mtoto nampenda kama baba yake
Tatizo huyu mama yake anataka kuniharibia urafiki wangu na huyu mtoto!!
 
Hahahahaaa!
Leave it!
...
Unajua nini kaka, UKARIMU unatucost sana sometimes!
Mi nna mifano miwili hai:
1 kuna mama mtu mzima tu (50s yrs) anapenda utoto sana, sasa mimi nilikua namsifia kiuongo uongo! "umependedha" "leo umeua" nk. Aaagh! Si aanze habari za kunitaka! Mpaka tajuuuta kumtania!
...
2 Chizi!
Nilimchukulia kama mtu mwenye akili timamu, sikumuonesha dharau au kumfanya ajiskie hana akili! Mmmh! Lol! Si aanze kutangazia watu eti mi mchumba wake!
...
Hiyo case yako ningekua mimi, ningeendelea na hako katoto vizuri tu but ningepunguza kwa kiasi kikubwa! Na nisingekubali aniletee usiku!
...
Sisi me ni dhaifu but hawa wenzetu wametuzidi!
Wanafall in love kwa vitu vidogo sana!

Ngoja nimDIPU Mtambuzi aje na utafiti ni kwanini wana fall in love "kwa vitu vidogo"

Mkuu yaani hapa najiandaa kuanza kupunguza mahusiano na huyu rafiki yangu kipenzi[mtoto]
Nina hasira na huyu dada acha tu!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza ninakawaida ya kuwapenda watoto sana bila kujali kama ni wa jinsia gani,kwangu nawakubali wote sana na wamekuwa marafiki wangu wa ukweli sana kwakuwa hawajui kupenda kwa masharti na wakikupenda wanakupenda ki-ukweli hasa

Sasa uswahilini kwetu kuna katoto kamoja ka miaka mi-4 hivi,jinsia yake ni ya kike huwa napenda sana siku nikiwa nyumbani au nikiwahi kurudi huwa nakaa nako na kupiga story nako sana na hunifanya mastress yangu ya kutafuta hela kuisha kama sio kupungua

Katoto haka kananipenda sana nami nakapenda sana kwani ni karafiki kangu sana,tatizo linakuja kwa mama yake,anadai kuwa inafika wakati wa usiku kanalia kaletwe kwangu nae anadai anakuwa hataki

Lakini tatizo kubwa zaidi ni kwamba huyo mama yake anadai eti napendeza sana kuwa baba yake huyo mtoto na anadai kwakuwa mtoto wake ananipenda nae ananipenda na ameanzisha visa wakati mwingine hukaleta hako ka rafiki kangu usiku wa saa 4 hadi 5 usiku akidai eti kanalia akalete nami huwa nakapokea na kukaa nako hadi kanapolala kisha nampa mama yake na kisha kuondoka

Mama wa haka karafiki kangu alikuwa ameolewa lakini ameachika kwa mumewe kwa sababu yule jamaa hakuwa ametulia

Sasa hizi vurugu zimekuwa zinazidi sana hadi naanza kukereka kwasababu sina mpango kabisa na huyo dada kwani ana mahusiano na jamaa mmoja hapa mtaani na nafahamiana nae sana

Naanza kuwaza kukakatia line kale ka rafiki kangu lakini roho inaniuma sana

Nimejaribu kumwambia aache tabia hiyo lakini naona kama nampigia mbuzi gitaa

Sijaamua kuchukua maamuzi yoyote hadi sasa lakini naona kama huyu dada ananiharibia urafiki wangu na huyu mtoto na hili sio halali na halikubaliki kabisaaa

Yaani hapa nina hasira sana na huyu mama wa rafiki yangu huyu na leo nikirudi nitakuwa nimeshapata dawa yake

Enyi akina dada hebu mtuache na hawa marafiki zetu na msituvurugie urafiki wetu bana!

Nasikitika sana kukueleza ukweli.

Hayo maelezo yako yote yanaashiria una "symptoms" za u "pedophilia". Dah, mtu kama wewe ni hatari sana kwa jamii na kwa watoto;

Soma zaidi:

6. The always available babysitter
Often a single male with no friends, this sort of paedophile will place himself in a situation where he becomes the trusted babysitter, often for the children of several, usually single parent families.

The mothers regard him as a godsend, who will safely mind their children while they go to work, or go out with their friends.
In many cases the single parent is unable to provide the support the children need, leaving the scene wide open for the child molester to play "uncle" and provide care, attention and "fun".
Many paedophiles seek out mothers of single-parent families for the purpose of victimising their children, which may have been the case with loner Michael Guider, who regularly babysat a group of children and while their mothers were absent, drugged the girls and photographed them naked.
He was most fond of Samantha Knight, the pretty Bondi nine-year-old who went missing in 1986.
Guider eventually pleaded guilty to her manslaughter, claiming he had accidentally overdosed her. Samantha's body has never been found.

Source: Could you spot a paedophile? Here are the warning signs | News.com.au

Natamani nimuone huyo mama nimpe darsa la watu kama wewe.
 
mama wa mtotot kakupenda na yawezekana upo single hapo kukata uzi ni kumtesa karafiki kako jamani..... mpe ukweli mama wa mtoto kwamba haupo tayari kuwa nae na ikiwezekana huyo karafki kako usikae nako tena kwa sababu yaweza zuka mzkubwa zaidi usijiambiwa ......................
 
hako karafiki kako kana umri gani? hebu tutafte marafiki tunaoendana nao baba paroko. lol
 
Mshirikishe rafiki yako. Mwambie mama yako ananisumbua so sitakua nacheza na wewe. Rafiki yako atamfikishia ujumbe na mama ataelewa. Watoto nawaheshimu sana. Huwa nawaita watu wadogo.
Mwenyewe utashangaa.
 
Nasikitika sana kukueleza ukweli.

Hayo maelezo yako yote yanaashiria una "symptoms" za u "pedophilia". Dah, mtu kama wewe ni hatari sana kwa jamii na kwa watoto;

Soma zaidi:

6. The always available babysitter
Often a single male with no friends, this sort of paedophile will place himself in a situation where he becomes the trusted babysitter, often for the children of several, usually single parent families.

The mothers regard him as a godsend, who will safely mind their children while they go to work, or go out with their friends.
In many cases the single parent is unable to provide the support the children need, leaving the scene wide open for the child molester to play "uncle" and provide care, attention and "fun".
Many paedophiles seek out mothers of single-parent families for the purpose of victimising their children, which may have been the case with loner Michael Guider, who regularly babysat a group of children and while their mothers were absent, drugged the girls and photographed them naked.
He was most fond of Samantha Knight, the pretty Bondi nine-year-old who went missing in 1986.
Guider eventually pleaded guilty to her manslaughter, claiming he had accidentally overdosed her. Samantha's body has never been found.

Source: Could you spot a paedophile? Here are the warning signs | News.com.au

Natamani nimuone huyo mama nimpe darsa la watu kama wewe.

I doubt kama una uwezo wa kuelewa mambo

Hukuielewa mada niliyoiandika kwa lugha yako mwenyewe uliyozaliwa nayo,nina uhakika hata hayo maelezo uliyo copy na kisha kuya past hapa hujayasoma na ukaelewa!
 
Nawewe pia upo single?? Kama upo single basi anaona labda trick yako ya kucheza na mtoto ni namna ya kumpata yeye ndo mana ana kurahisishia kukuletea mtoto ucheze nae hata usiku.

Ebu msome kwanza kama vipi kuna siku ataamua kufunguka kama ataona ausomeki then mchane uepuke usumbufu.

Inawezekana kwa mawazo yake uyo mama mtoto, Kukuona wewe unapenda kucheza na mwanae AKADHANI UNAMTAKA YEYE. NDO MAANA NIKAKWAMBIA MCHUNGUZE KWANZA KABLA YA KUFIKIA MUAFAKA WA KUONA ANAKUTAKA
 
Huo urafiki na katoto sio salama tena,ukimtolea nje mama anaweza akamtumia mtoto wake kukudhalilisha.
Anza sasa kupunguza ukaribu na mtoto,wala hakataumia kwani watoto ni rahisi kusahau na kuhamisha mapenzi.
Kama vipi mlete mama parokiani kwa huduma......lol
 
I doubt kama una uwezo wa kuelewa mambo

Hukuielewa mada niliyoiandika kwa lugha yako mwenyewe uliyozaliwa nayo,nina uhakika hata hayo maelezo uliyo copy na kisha kuya past hapa hujayasoma na ukaelewa!

Tafadhali nipatie namba ya simu ya huyo mama nikutane nae nimpe darsa la watu kama wewe.

Nakushauri uonane na wataalam wa saikolojia, unahitaji msaada wa haraka sana. Kabla hujapoteza maisha ya watoto na yako mwenyewe.
 
Jana kuna hadithi ya Mzizimkavu niliisoma humu, kuna kakipengele jamaa aliambiwa ana nyota ya fisi, yeye hawezi kuwa na kitu kipya akaambiwa hata mke aliyekuwa nae aliachwa ndio yeye akaoa. Naanza kupata hisia si ajabu hata wew unaweza kuwa na hiyo nyota.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom