GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga mkono.
Kauli ya "wakaendelee kucheza Sinema zao" kwa Context ya wakati husika na kwa jambo husika kutumiwa na Rais wa TFF Wallace Karia wala hajakosea na tena Mimi GENTAMYCINE namsifu na kumpongeza kwani ameonyesha ni jinsi gani anaweza Kucheza na Lugha na Mbinu zake huku Wapumbavu wasimuelewe.
Neno tu Sinema linaama ya kwamba ni Maigizo yenye Uhalisia wa Jambo au Utani wa Jambo fulani kulingana na muda lililotokea au kinachoendelea. Hivi kama Yanga SC waliweza kupeleka Timu yao Uwanjani kwa Mkapa huku tayari Mechi ikiwa imeshahairishwa na bado tena Kesho yake wakaenda Bunju na Basi lao kuwachokoza Simba SC kwa kutaka Kucheza nao huku kila mara wakisema hawatacheza Mchezo wa marudiano wakijua fika kuwa Wao wenyewe wako chini ya TFF kikanuni na kwamba kujulikana Kwao kunatokana na TFF kuwa Mwakilishi wao CAF na FIFA hivi Rais wa TFF Karia akisema kuwa wanafanya Maigizo na kwamba wakaendelee na Sinema zao ana Makosa kama ukiwa na Akili timamu na Umesoma vyema na Kuelimika?
Kwa kifupi Haji Manara huna Akili period