Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam

Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam

GtTZralWIAAg6Iv.jpg
 
wakuu
======
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central.

Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
View attachment 3366701
Itakuwa ishu ya kumsema mwijaku kuhusu makalio, kwa hiyo nahisi mwijaku atakuwa ameenda polisi kumshtaki na polisi wamemuita ili ajibu kuhusiana na tuhuma hiyo.
 
wakuu
======
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central.

Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
View attachment 3366701
Watz hawahitaji kujua nani kashikiliwa na polisi. Wanahitaji kuwa na kiongozi mchapq kazi kama mama Samia.
 
Back
Top Bottom